peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hawa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao ndiyo waliyafuata majiHawa hapa
Inashangaza na kufikirisha sana. Halafu utakuta hawajui hata kuogelea na wana kiburi cha punda- wakiambiwa kuondoka wanakaza shingo.Kwanini wanajenga pembeni ya mto hivyo? Huwa hawafikirii swala la maji???

Yakiwakuta, lawama kwa serekale, hii sio sawa.....Inashangaza na kufikirisha sana. Halafu utakuta hawajui hata kuogelea na wana kiburi cha punda- wakiambiwa kuondoka wanakaza shingo.![]()
Nakazia: "Sasa wanalipia gharama za dharau". Gharama ya bei mbaya.Hizo ni dharau tu.
Walidharau ushauri kutojenga karibu na mto, wakadharau nguvu ya maji.
Sasa wanalipia gharama za dharau.
Wacha tu wayapitie ili next time wawe makini zaidi halafu pia liwe ni funzo kwa wengine watakaofanya kama hao.Yakiwakuta, lawama kwa serekale, hii sio sawa.....
Pole zao lakini kwa hayo wanayopitia.
Wakati wanajenga haukuwa mto. Kalikuwa ka mfereji kado tu..na wao walikuwa mbali na hako ka mfereji.Wabongo huwa hawatumii akili. Kwann ujenge bondeni au karibu na mto?
Kwenye jibu lako(para ya mwisho) kipi ni gharama kubwa -Hicho kinachowapata sasa au kujihami kudhibiti kingo kadri kamfareji kalipokuwa kanaongezeka mdogo-mdogo taaaratib??Wakati wanajenga haukuwa mto. Kalikuwa ka mfereji kado tu..na wao walikuwa mbali na hako ka mfereji.
Kamfereji kakawa kanaongezeka time after time hadi ikawa hivyo.
May be swala la kujiuliza ni kwa nini hawakuchukua hatua mapema.
Jibu ni kwamba ni gharama kubwa sana kutengeneza kingo ya mifereji. Mtu binafsi hawezi. Ni lazima itengwe bajeti ya serikali.
Either wewe bado mtoto mdogo au mtoto wa mama.Kwenye jibu lako(para ya mwisho) kipi ni gharama kubwa -Hicho kinachowapata sasa au kujihami kudhibiti kingo kadri kamfareji kalipokuwa kanaongezeka mdogo-mdogo taaaratib??
Tena mbona hawakuhama zilipokuwa zinatolewa Tahadhari kutoka Serikalini?
Bahati mbaya inazidi kuwatafuna hao kwani watasubiri sana hadi hapo Bajeti itakapopitishwa Julai 2024.
Inaelekea hao jamaa ni wagumu kuelewa somo lakini sasa wataelewa kuwa walikuwa hawajui.
Na wewe unasema " Ni lazima itengwe bajeti ya serikali". Mbona Serikali ilishagharamia kutoa Tahadhari? Hiyo lazima inatoka wapi tena wakati ilikuwa ni lazima wao wahame japo kwa muda ili kupisha Janga?
Mkuu, iwe iwavyo lakini huo ndo ukweli na uhalisia wa matokeo bayana.Either wewe bado mtoto mdogo au mtoto wa mama.