Serikali isikilize kilio cha hawa waathirika wa mafuriko

Wabongo huwa hawatumii akili. Kwann ujenge bondeni au karibu na mto?
 
Kwanini wanajenga pembeni ya mto hivyo? Huwa hawafikirii swala la maji???
Inashangaza na kufikirisha sana. Halafu utakuta hawajui hata kuogelea na wana kiburi cha punda- wakiambiwa kuondoka wanakaza shingo. :KEKBye:
 
Hizo ni dharau tu.
Walidharau ushauri kutojenga karibu na mto, wakadharau nguvu ya maji.
Sasa wanalipia gharama za dharau.
 
Nakazia: "Sasa wanalipia gharama za dharau". Gharama ya bei mbaya.
 
Yakiwakuta, lawama kwa serekale, hii sio sawa.....

Pole zao lakini kwa hayo wanayopitia.
Wacha tu wayapitie ili next time wawe makini zaidi halafu pia liwe ni funzo kwa wengine watakaofanya kama hao.
 
Wabongo huwa hawatumii akili. Kwann ujenge bondeni au karibu na mto?
Wakati wanajenga haukuwa mto. Kalikuwa ka mfereji kado tu..na wao walikuwa mbali na hako ka mfereji.

Kamfereji kakawa kanaongezeka time after time hadi ikawa hivyo.

May be swala la kujiuliza ni kwa nini hawakuchukua hatua mapema.

Jibu ni kwamba ni gharama kubwa sana kutengeneza kingo ya mifereji. Mtu binafsi hawezi. Ni lazima itengwe bajeti ya serikali.
 
Kwenye jibu lako(para ya mwisho) kipi ni gharama kubwa -Hicho kinachowapata sasa au kujihami kudhibiti kingo kadri kamfareji kalipokuwa kanaongezeka mdogo-mdogo taaaratib??
Tena mbona hawakuhama zilipokuwa zinatolewa Tahadhari kutoka Serikalini?
Bahati mbaya inazidi kuwatafuna hao kwani watasubiri sana hadi hapo Bajeti itakapopitishwa Julai 2024.
Inaelekea hao jamaa ni wagumu kuelewa somo lakini sasa wataelewa kuwa walikuwa hawajui.
Na wewe unasema " Ni lazima itengwe bajeti ya serikali". Mbona Serikali ilishagharamia kutoa Tahadhari? Hiyo lazima inatoka wapi tena wakati ilikuwa ni lazima wao wahame japo kwa muda ili kupisha Janga?
 
Either wewe bado mtoto mdogo au mtoto wa mama.
 
Back
Top Bottom