Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni jambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
 
Unateseka ukiwa wapi? It is too late to fight the Church of God.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hahahaaa buti kanisani? Unaota au ndio hiyo AI . Serikali ni Moja lazima isikie, zipo njia mbali mbali za upashanaji habari katika kanisa na Moja wapo ni barua zi kaskofu au kipapa kusomwa makanisani na katika jumuiya ndogo ndogo! Kwamba Serikali imeshupaza shingo na wapambe wake wanazidi kuizamisha, mama kanisa ameamua na yeye kuwafikishia wananchi ujumbe wake.
Huyo polisi anayeingiza buti kanisani na yeye ni muumini ambaye anamhofia Mungu anayemlinda katika shughuli zake za Kila siku. Jaribuni muone
 
It is too late mkuu. Umeshasomwa leo.
 
TEC Taasisi kubwa sana, binafsi nakiri ya kwamba wametusemea tusio na sauti!
Acha kujidharu ha kuhandle over sovereinity yako. We huna sautu kweli? Umeipelwka wapi. Hivi mbona mnawaona maaskofu kwa miungu hivi. Karibu I kwenye uislam dini ya haki ambapo kila mtu ni sawa hakuna kuabudiana. Dini ya mwenyezi mungu Huwa Haina superior over others.
 
Hiyo ndiyo demokrasia - mawazo tofauti yanakubalika, mnashindana kwa hoja. Ukiingiza buti Kanisani itabidi uingize buti misikitini na majamatini. Lete hoja za maana - siyo kupiga vuvuzela tu!
 
 

Attachments

  • 92E7B866-6CEB-4AF3-80E8-0EACFBBFF43E.jpeg
    29.7 KB · Views: 2
Mabuti yenyewe yanaliheshimu kanisa, hayatakubali huo ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…