City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Huwezi shindana na taifa la Mungu.Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?