Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Nafikiri wengi hawajui maana ya Kanisa.
Je kanisa linaweza kuishinda serikali?

Unafkiri wakatoliki kutoa waraka wameanza leo.

Tangu enzi za JK wamekuwa wskija na waraka mbalimbali za kupinga kukosoa na hata kuamrisha.

JK alipuuza na hakuna chochote kilichotokea

Na hata waraka huu utapuuzwa na serikali na bandari atapew DP world na hakuna mtakachofanya.

Unabisha?
 
Hii ishu ya TEC sio sahihi... huu sasa ndo uhaini. Huu uchochezi unaofanywa na TEC lengo lake ni ovu. Nitaishangaa serikali kushindwa kuwadhibiti hawa wahuni. Hii itasababisha watu waliokuwa wakisema nchi yetu ina mfumo kristo kuthibitisha kauli yao. Kwa tulipofikia serikali inabidi iwadhibiti TEC ili kulinda heshima na hadhi yake.
 
Hii ishu ya TEC sio sahihi... huu sasa ndo uhaini. Huu uchochezi unaofanywa na TEC lengo lake ni ovu. Nitaishangaa serikali kushindwa kuwadhibiti hawa wahuni. Hii itasababisha watu waliokuwa wakisema nchi yetu ina mfumo kristo kuthibitisha kauli yao. Kwa tulipofikia serikali inabidi iwadhibiti TEC ili kulinda heshima na hadhi yake.
Mashehee si mmeamua kuunga Juhusii bhasi msilazimishe kila mtu awe Kubwaa jingaaa...!! Na nyiee someni zenu kuunga mkono msikitini
 
Je kanisa linaweza kuishinda serikali?

Unafkiri wakatoliki kutoa waraka wameanza leo.

Tangu enzi za JK wamekuwa wskija na waraka mbalimbali za kupinga kukosoa na hata kuamrisha.

JK alipuuza na hakuna chochote kilichotokea

Na hata waraka huu utapuuzwa na serikali na bandari atapew DP world na hakuna mtakachofanya.

Unabisha?

Siku ukijua maana ya Kanisa hayo maswali yako utajijibu mwenyewe.

Hatupo hapa kubishana, Kanisa limeushinda Ulimwengu wewe unazungumzia serikali? Hivi unaakili Kweli?

Muhimu; Maslahi ya taifa yazingatiwe. Hayo ya ushindani kama ikitokea utokee tunajua atakayeshinda ni nani.

Mimi sio mfia dini, Ila nazungumzia uhalisia.
 
Acha kujidharu ha kuhandle over sovereinity yako. We huna sautu kweli? Umeipelwka wapi. Hivi mbona mnawaona maaskofu kwa miungu hivi. Karibu I kwenye uislam dini ya haki ambapo kila mtu ni sawa hakuna kuabudiana. Dini ya mwenyezi mungu Huwa Haina superior over others.
Jawa waislam wanaowaona waarabu kama Miungu?
 
Siyo too late, boss.
Serikali iwakamate hao mapdre wanaowashwawashwa iwasweke ndani, kwa kesi ya uhaini, halafu jioni wawasafirishe kwenda kutalii mbeya kwa siku tano. Baada ya siku tano, wawarudishe Dar. shitaka libadilishwe liwe uchochezi, wajidhamini, warudi nyumbani kwao. Mchezo umeisha
Hakuna mwenye jeuri hiyo. Pia utambue fika hilo tamko limetolewa na Maaskofu wote wa Kanisa Katoliki nchini. Na siyo Mapadre. Ingawa siwezi kukataa Maaskofu wote ni Mapadre.
 
Pumbavu, hivi wafikili, katoliki ni kama makanisa yenu ya mchongo ,ya Mwamposa, au Gwajima , katolic hata mkisema leo hii iendeshe nchi inaweza ,
Tunasubili tamko la kkt

Ngoma inaanza upya , alisema aliekua mbunge , mzee Bwege
Uoga wao Kwa mamlaka ni kufutiwa usajili wa hivyo vikanisa. Ndio mana wanaufyata mbele ya mamlaka za kidunia.

View: https://youtu.be/Ot1Vslt6bC4
 
Kanisa si jengo tu watu wanapokusanyika kusali
Au mi sielewi??
Kanisa ni watu kanisa sio Jengo! Kanisa ni waumini wakuatanapo Kwa ajili ya kumuabudu Mungu . Kanisa yawexa kuwa uwanjani, chini ya mtu au popote pale. Ndio mana inaitwa Jengo la Kanisa. Tafuta maarifa
 
Huhitaji kuelezwa na mmoja wao unaona tu hulka zao za wakati wa SSH na zile za wakati wa JPM. Father Kitima wa wakati wa JPM sio huyu wa sasa. Nimetumia neno baadhi kwani nasali kanisa katoliki hivyo nawafahamu.
Acha uongo wako wewe. Hatabwakati wa Magufuli, TEC walisimama kukemea maovu.

Na ushahidi wa wazi kabisa ni ule Waraka wa Kwaresma ambao ulisababisha baadhi ya Maaskofu akiwemo Severine Niwemuguzi wa Kagera kuanza kusumbuliwa na uhamiaji.

Na ukija kwa Fr. Kitima ndiyo kabisaa! Mara zote alizohudhuria hafla za Ikulu, alitumia muda wake mwingi kumchallenge Rais wa wakati huo kwa kitoa hoja zisizo na chembe ya unafiki, kiasi cha kuonekana ana itikadi za upinzani.
 
Kwenye haya mambo wewe bado ni Mdogo.
Ingefaa ukajifunze kwanza Mkuu.
Wewe ndiyo ukajifunze dogo.

Huwezi kufikia hata robo ya historia ya dunia ninayoifahamu mimi.

Simply huna cha kunifundisha kuhusu kanisa na movement zake.

Ndiyo maana unavyoniambia kanisa linatawala dunia nzima nakushangaa na nimekuuliza Saudia,china,north korea nako kanisa linatawala?

Au huko sio dunia nzima?
 
Kanisa si jengo tu watu wanapokusanyika kusali
Au mi sielewi??

Kanisa ni Watu.
Misheni ya Kanisa ni kuwafanya Watu kuwa Wanafunzi wa Kristo.
Kanisa limejengwa katika msingi kuwa Kristo alishinda mauti.
Msingi Mkuu wa kanisa ni kushinda Mauti, kushinda Giza.

Kanisa muasisi wake ni Nani?
Alafu angalia missions zao ni zipi?
Alafu waliopambana nalo ni kina Nani na nini kilitokea?
Sasa hivi limefikia wapi?
 
Back
Top Bottom