Sawa kabisa, ila Tu tunawaomba Baraza la maaskofu watafakari upya maamuzi Yao Kwa maslahi mapana ya Nchi. Kabisa katoliki limejijengea heshima kubwa Duniani, watajisikiaje kukitokea machafuko kabisa likaonekana ndio chanzo cha machafuko ? Kanisa lazima litambue kuwa Rais Samia anapendwa na watu wengi, na kamwe hawatakubali kuona Rais anadhalilishwa Kwa VITU VYA kutengenezwa. Kikundi cha baadhi ya waislamu walipoanza kuleta Dalili za uvunjifu WA Amani pale mwembechai, Serikali iliamua kuwanyorosha na wakanyoroka, ingawa mambo yaliyofanyika na nguvu zilizotumika zilivunja mpaka katiba ya Nchi, lakini Hali ya Amani ilirejea na mambo yakaendelea. Naishauri Serikali itumie busara na njia za kistaarabu kama kawaida yake, lakiki wakishindwa, waamue kuwanyorosha wale wote wanataka kusababishs uvunjifu WA Amani.