Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
TatuUlifirwa mara ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TatuUlifirwa mara ngapi?
Hakuna anayecheza na dini naamini kila mtu anauheshimu ukubwa wa taasisi katoliki.Ninaamini wanaufahamu na uzoefu wa Jambo Hilo. Ni tofauti na jpm yeye nafikiri hakuwa na ufahamu huo labda ni Kutokana na kusoma masomo ya sayansi. Lakini Kwa waliosoma history na Siasa hawawezi kufanya Makosa kama hayo.
Kuna mambo ya kucheza nayo lakini sio MTU acheze na serikali.
Au serikali icheze na Dini kubwa kama Ukatoliki. Lazima ianguke. Hiyo ni utake usitake.
Hakuna anayecheza na dini naamini kila mtu anauheshimu ukubwa wa taasisi katoliki.
Huu ni uwekezaji wa pili hapo bandarini unaotarajia kufanyika kuanza mwezi wa kumi mwaka huu, kutakuwa na uwekezaji wa tatu hapo hapo bandarini pia kutakuwa na uwekezaji wa bagamoyo port.
Inategemea uwezo wa mtu mmoja wa kutazama hii mipango ya kiserikali imekaa vipi, maana serikali kuu inapokea malalamiko kila siku kutoka kwa mataifa ya jirani kwamba kuna uzembe hapo bandarini na wateja wanaikimbia hiyo bandari kila siku, sidhani kama viongozi wa kanisa wanayatazama yanayotokea katika muktadha huo,kwa kweli sidhani.
Tatizo letu kitaifa ni pana zaidi ya uadilifu. Kuna masuala ya teknolojia za kisasa kukosekana hapo bandarini. Kuna masuala ya sekta nzima ya usafiri majini kuhitaji kuongezewa uwezo wa kielimu.Unajaribu kueleza kuwa serikali inashindwa kudhibiti uadilifu hapo bandarini?
Tatizo letu kitaifa ni pana zaidi ya uadilifu. Kuna masuala ya teknolojia za kisasa kukosekana hapo bandarini. Kuna masuala ya sekta nzima ya usafiri majini kuhitaji kuongezewa uwezo wa kielimu.
Inasikitisha kuona maaskofu wanaingia kirahisi kwenye huu mtego wa 'mwarabu' kutaka kupewa bandari na kuiuza nchi!.
TPA tu hapo kurasini, gati namba tatu mpaka namba nane yaani ni asilimia nane ya eneo zima la bandari ya Tanzania.Kwa mujibu wa mkataba, unahusisha Bandari ngapi?
Umri wa mkataba?
Na unazungumziaje kuhusu baadhi ya sheria za nchi kubadilishwa kisa huu mkataba?