Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Mbinu ya udini inatumiwa na ccm kuuzima mjadala wa bandari ha ha ha ha ni akili ya kucheza na hisia za watu
CCM imetumia mbinu ya udini since then. Pale inapoona imeboronga hujaribu kujinasua kwa kuwachanganya wananchi kupitia udini. Upuuzi huo ukemewe vikali.
 
Buti haliwezi ingia Kanisani hasa kanisa Katoliki. Hiyo haiwezekaniki.

Na hakuna kiongozi yeyote anayeweza kuthubutu kufanya hivyo labda kama hajui Dunia imetoka wapi na ilipo na wapi inaenda.

Ukatoliki ni zaidi ya Dini.
Kanisa linaloongoza Kwa majasusi ( Jesuits) ni kanisa katoliki.
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni jambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Kwa kweli damage iliyotokea leo ni kubwa. Nashindwa kuelewa mamlaka zilikua wapi mpaka haya mambo yanafika huku. Chama Changu CCM shitukeni, mwambieni mwenyekiti arudi mezani, mkataba upitiwe upya.
 
DPW ni uwekezaji, sio siasa wala dini ile. Lakini kuna wachache wamei subject huko kwa makusudi kabisa.
Huyo mpumbavu anajua hilo? Wazalendo wanapigania rasilimali za nchi yao lenyewe linaleta ujinga humu!
 
Dogo hili sakata kuhusu DPW lipo juu sana ya uelewa wako. Ni vyema ukatulia wakati watu makini wakilitafutia ufumbuzi wa kudumu.

Si kila kitu kinatakiwa kufanyiwa propaganda za kijinga. Ni juzi kati tu hapa uliwananga na kuwabagaza wale waliohusishwa na kesi ya mchongo ya uhaini. Leo mkasa ule wa uhaini umeiumbua serikali, sasa unaleta andiko kuhusu udini.

Mambo mengine ni vyema ukapiga ukimya hapa jukwaani wakati yakishughuliwa na watu makini pasipo wewe kutia neno lolote lile. Kuweka namba ya simu kwa kila andiko lako hapa jukwaani ujue ni kitu cha kishamba sana!
Kwani wapi nimezungumzia habari za DP world katika andiko langu? Acha kukurupuka ndugu yangu
 
Mimi nasema serikali isiwaambie wala isiwajibu chochote, ikae kimya tu.

Waraka wao wa kijinga hauna tija yoyote, unataka serikali iseme tu. Serikali isiseme chochote wala huo waraka usiwasumbuwe. Waumini wao mwisho wa siku watawaona hao maaskofu mapoyoyo tu.
 
Ndiyo unavyojidanganya?Hao waliotoa waraka ni zaidi ya uvaaji wako wa nikabu.Kalagha baho!
 
Masikini Samia![emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi bado anatumia ile salamu yake ya Jmahuri ya Muungano, kazi iendelee?
 
Ndiyo unavyojidanganya?Hao waliotoa waraka ni zaidi ya uvaaji wako wa nikabu.Kalagha baho!
Hakuna aliyewajibu toka wameanza mitandaoni, wakaja mikutanoni, sasa wameanza makanisani, waingie na barabarani. Wawaambie na taasisi yao ya bakwata iwasaidie kusambaza waraka misikitini.

Watu hatuna muda na ujinga.
 
Wa kujibu yuko wapi?Wote mnaparua samaki tu.
 
Back
Top Bottom