Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Angetuambia analenga dini gani: Islam au Christian?Kwani hao Watu wa Serikali hawana Dini? 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angetuambia analenga dini gani: Islam au Christian?Kwani hao Watu wa Serikali hawana Dini? 😀😀
Hatutaki kuletewa Udini katika Taifa letu.Ni mjinga pekee anayeweza kufurahia kupandwa kwa mbegu ya Udini nchini mwetu... kama kutetea rasilimali za nchi ni udini wacha na iwe hivyo! Mmekosa hoja mnakimbilia udini mkiongozwa na fisadi la mafisadi! Pumbavu!

Nani kaleta udini wewe kiazi? Eleza huo udini uko wapi?Hatutaki kuletewa Udini katika Taifa letu.Ni mjinga pekee anayeweza kufurahia kupandwa kwa mbegu ya Udini nchini mwetu
Alikuwa hajui hata smart phone ni niniMaaskofu waliposema "KIKWETE NI CHAGUO LA MUNGU" HII HEKIMA YAKO YA KIPUMBAVU ULIKUWA UMEIFICHA WAPI?
Ili CCM Waibe vizuriNdugu zangu watanzania,
Kwangu mimi suala la amani ,utulivu ,mshikamano na umoja wa kitaifa ni jambo nyeti sana kwangu,ni masuala yanayonigusa sana,ni Masula ambayo huwa sipo Tayari kuona yakichezewa au kutoneshwa au kuyumbishwa na kuwekwa Hatarini na Rehani na mtu yeyote yule au kikundi au Taasisi au chama bila kujali cheo chake ,wadhifa wake,jina lake,umri wake na historia yake katika Taifa letu.kwangu mimi Taifa ni kubwa kuliko maslahi yangu Binafsi na mapenzi yangu Binafsi kwa mtu au Taasisi au chama au chochote kile. Amani na utulivu ni Tunu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zetu zote,ni wajibu wa kila mtanzania unaopaswa kutekelezwa kwa weledi wa hali ya juu sana pasipo kuhitaji malipo ya aina yoyote ile,huu ni wajibu unaopaswa kubebwa katika mioyo na mikono yetu watanzania.
Viongozi wetu wa Dini ni Binadamu wa kawaida ,ni watanzania wenzetu walioitwa kutumikia wito wa kiheshima katika kuilea mioyo ya watu wa aina zote ,vyama vyote,rika zote,vipato vyote,rangi zote na jinsia zote iweze kuenenda na kutenda kulingana na mapenzi ya mwenyezi Mungu kama yalivyo ainishwa katika Biblia Takatifu au kurani.
Viongozi wetu hawa kuwa viongozi wa kidini hakuwaondolei ubinadamu wao na wala hakuwafanyi kuwa Daraja moja na Mwenyezi Mungu wala hawawi malaika au watakatifu watembeao, ndio maana baadhi yao hukumbwa na kashifa za kimaadili au kukiuka maadili na viapo vyao.
Hivyo katika ubinadamu wao nao kuna wakati wanakosea,wanateleza kimaadili,kimiiko,kiviapo na hata kimwenendo,. Kuna wakati kama binadamu japo ni watumishi wa Mungu wanajikuta wanatanguliza hisia za moyo kuliko uhalisia wa mambo,kuna wakati wanatanguliza na kuchambua mambo kwa kutanguliza mapenzi binafsi kwa mtu au chama au Taasisi au kiongozi anayekuwepo madarakani au mamlakani na hivyo kujikuta wakiibua maswali mengi na kuleta mitafaruko na sintofahamu katika jamii yetu na kuwachanganya waumini wanaokuwa wanashindwa washike nini ,wamfuate nani na wamsikilize nani kutokana na kupewa misimamo isiyo na rejea yoyote kutoka katika Biblia na yenye utata kikatiba na kisheria.
Ikumbukwe ya kuwa sisi waumini hatuendi kanisani au misikitini kuwaabudu viongozi wa Dini,Hayupo mtu wa aina hiyo maana viongozi wa Dini siyo Mungu au Miungu watu na hatuwaabudu wao bali mwenye kuabudiwa na kupewa sifa na utukufu ni Mwenyezi Mungu pekee,huyo ndiye alfa na omega,huyo hakosei wala kukosolewa,huyo ni wa haki na hukumu zake ni za haki.
Hivyo Rai yangu ni kwa serikali yangu inayoongozwa na mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kuwaasa na kuwakumbusha viongozi wetu wa Dini kuzingatia viapo vyao vya kumtumikia Mungu,kuzingatia maadili na weledi katika kutumikia Dini na wito huo wa heshima kabisa walioitiwa hapa Duniani.wajiepushe ,kujitenga na kutojaribu kuingiza siasa katika Dini,kutochanganya mapenzi binafsi kwa chama fulani katika Dini,kutopandikiza hisia na mbegu za Udini kwa waumini,kutowachanganya na kugeuza madhabahu kuwa mahali pa kuhubiri siasa maana sicho tunachokifuata makanisani mwetu,siyo tunachokitarajia kutoka kwa viongozi wetu hawa wa Dini.
Viongozi wetu hawa wa Dini watambue hatari kubwa wanayoweza kuitengeneza kwa Taifa letu ikiwa watataka na kuamua kuchanganya siasa na Dini,kuingiza siasa makanisani,kuwasaidia watu au vyama kisiasa kwa kutumia nyumba za ibada.Jambo hilo litaleta hatari kubwa kwa Taifa letu na kuweka Rehani amani na utulivu wetu. serikali yetu iwaambie waziwazi kama ambavyo imekuwa ikiwakumbusha juu ya wajibu wao.
suala la kulinda na kuendeleza amani na utulivu wetu ni letu sote.Hivyo mimi binafsi nitaendelea kupigania kimaandishi kuhakikisha kuwa Taifa letu halibomolewi na yeyote yule kwa maslahi yake binafsi au ya kumsaidia yeyote katika kutwaa madaraka. Atakayeshindwa kutwaa madaraka au uongozi kwa njia ya kidemokrasia hapaswi kuchochea na kuleta au kuingiza dini katika siasa au siasa katika Dini. Nitaendelea kuandika na kuandika hata nikibaki na kusimama mwenyewe ,hata nikishambuliwa kwa matusi ,kejeri au vitisho vya aina yoyote ile bado nitaendelea kuipigania Tunu hii ya kipekee tuliyolithishwa na waasisi wa Taifa letu.
Viongozi wetu wa Dini wasitumie mwanya wa kiimani wa kuaminika machoni pa waumini katika kuwagawa na kupandikiza mbegu au mawazo yatakayoleta hisia za Udini katika Taifa letu,Tusitake kuwafikisha huko watanzania,Tusitake kuleta mitafaruko ya kidini ,Tusitake kuleta mitikisiko isiyo na sababu,.Ni rahisi kuuwasha moto wa kidini kuliko kuuzima ,ni rahisi kupandikiza mbegu ya Udini kwenye mioyo ya watanzania kuliko kuing'oa mbegu ya Udini ndani ya mioyo ya watanzania.hivyo tujiepushe na dhambi na mtego huu unaoweza kulitafuna na kuliangamiza Taifa letu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Maendeleo ni siasa?Ndugu zangu watanzania,

Nchi inakwenda siko kabisa,sifurahishwi na mijadara ya namna hii kabisaa.
Uislamu na uzungu vyote sawa tu, kwahiyo unaacha utamaduni wako unachukua wa kuja?Ila umesahau anayejivunia Imani ya Kairabu.
Ngoja nikwambie, Imani ni sehemu ya utamaduni, ( culture) kama ilivyo lugha mavazi nk.
Utamaduni na desturi za watu huweza kuathiriwa au kubadilika kutokana na mwingiliano wa watu ambao unatokana na sababu mbali mbali kama vita, biashara nk.
Kama lugha hii unayotumia Hapa haikua lugha asili yako ila imetokana na muingulianao wa lugha anuwai. Hivyo basi kutokana na muingiliano na wazungu dini za asili zilikufa au ziliathiriwa kiasi cha kutoweka kabisa. Jifunxe acha kushupaza fuvu
Utapoteza muda wako kusoma thread za huyu jamaa? Always rubbish.Maendeleo ni siasa?
Ujinga mwingi sana unaandika.
Watu hawasomi bali wanajibu headings zako tu
Dogo hili sakata kuhusu DPW lipo juu sana ya uelewa wako. Ni vyema ukatulia wakati watu makini wakilitafutia ufumbuzi wa kudumu.Ndugu zangu watanzania,