Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Wasije wakathubutu. Hivi mnajua RC ni zaidi ya kanisa? For an institution that has been around for centuries Haiwezi kutishwa na serikali ambayo hata century moja haijafika. Wasije wakajichanganya. Mafia hao.
 
CCM imekuwa confused 100% .

Leo nimeingia misa ya kwanza pembeni nilikuwa Nimekaa na RPC wa mkoa fulani.

Tamko la Mkataba wa DP world nimesomwa naye analifurahia vema.

Sasa nimeelewa Roma ni kanisa kubwa.!!
Wanasiasa, polisi, wanajeshi, Tiss nk wote ni raia. Wote wanapitia anachopitia mwananchi yeyote, mengine huwa majukumu tu yanayowagombanisha na raia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je kanisa linaweza kuishinda serikali?

Unafkiri wakatoliki kutoa waraka wameanza leo.

Tangu enzi za JK wamekuwa wskija na waraka mbalimbali za kupinga kukosoa na hata kuamrisha.

JK alipuuza na hakuna chochote kilichotokea

Na hata waraka huu utapuuzwa na serikali na bandari atapew DP world na hakuna mtakachofanya.

Unabisha?
Hili halitapuuzwa kwa sababu mbili, mosi mkataba mbovu pili uhasimu wa kidini.

TEC hawatakubali na ni powerful

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kabisa, ila Tu tunawaomba Baraza la maaskofu watafakari upya maamuzi Yao Kwa maslahi mapana ya Nchi. Kabisa katoliki limejijengea heshima kubwa Duniani, watajisikiaje kukitokea machafuko kabisa likaonekana ndio chanzo cha machafuko ? Kanisa lazima litambue kuwa Rais Samia anapendwa na watu wengi, na kamwe hawatakubali kuona Rais anadhalilishwa Kwa VITU VYA kutengenezwa. Kikundi cha baadhi ya waislamu walipoanza kuleta Dalili za uvunjifu WA Amani pale mwembechai, Serikali iliamua kuwanyorosha na wakanyoroka, ingawa mambo yaliyofanyika na nguvu zilizotumika zilivunja mpaka katiba ya Nchi, lakini Hali ya Amani ilirejea na mambo yakaendelea. Naishauri Serikali itumie busara na njia za kistaarabu kama kawaida yake, lakiki wakishindwa, waamue kuwanyorosha wale wote wanataka kusababishs uvunjifu WA Amani.
Hakuna cha machafuko wala nini, tuondoleeni limkataba hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni jambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Hii nchi sio ya TEC pekee yao. Acha wasome ikibidi wausome mpaka VATICAN nashauri waislam na iman nyingne tujikite kweny kushauri.

Hope bakwata hawatotoa tamko lao
 
Siyo too late, boss.
Serikali iwakamate hao mapdre wanaowashwawashwa iwasweke ndani, kwa kesi ya uhaini, halafu jioni wawasafirishe kwenda kutalii mbeya kwa siku tano. Baada ya siku tano, wawarudishe Dar. shitaka libadilishwe liwe uchochezi, wajidhamini, warudi nyumbani kwao. Mchezo umeisha
Niko Dubai, nimekuja kuchukua land cruiser lx 200 langu la mgao wa pili.
 
Serikali Ina shida gani na huo mkataba wa kijinga. Wasije wakatuumiza Kama kwenye gesi Leo tumebakia kulipa tozo tu.
 
It is too late mkuu. Umeshasomwa leo.
Na mm nilitaka kumwambia amechelewa waraka umesomwa leo kuanzia ibada ya kwanza...poleni sana....na tumeambiwa next week jumamosi utasomwa kwenye jumuiya zetu tuhudhurie kwa wingi.Ivi unajua karibu kila jumuiya ina group la whats up???basi leo wanajadili waraka tu
 
Mtanzania anajivunia imani ya kizungu[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila umesahau anayejivunia Imani ya Kairabu.
Ngoja nikwambie, Imani ni sehemu ya utamaduni, ( culture) kama ilivyo lugha mavazi nk.
Utamaduni na desturi za watu huweza kuathiriwa au kubadilika kutokana na mwingiliano wa watu ambao unatokana na sababu mbali mbali kama vita, biashara nk.
Kama lugha hii unayotumia Hapa haikua lugha asili yako ila imetokana na muingulianao wa lugha anuwai. Hivyo basi kutokana na muingiliano na wazungu dini za asili zilikufa au ziliathiriwa kiasi cha kutoweka kabisa. Jifunxe acha kushupaza fuvu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndugu zangu watanzania,

Kwangu mimi suala la amani ,utulivu ,mshikamano na umoja wa kitaifa ni jambo nyeti sana kwangu,ni masuala yanayonigusa sana,ni Masuala ambayo huwa sipo Tayari kuona yakichezewa au kutoneshwa au kuyumbishwa na kuwekwa Hatarini na Rehani na mtu yeyote yule au kikundi au Taasisi au chama bila kujali cheo chake ,wadhifa wake,jina lake,umri wake na historia yake katika Taifa letu.kwangu mimi Taifa ni kubwa kuliko maslahi yangu Binafsi na mapenzi yangu Binafsi kwa mtu au Taasisi au chama au chochote kile. Amani na utulivu ni Tunu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zetu zote,ni wajibu wa kila mtanzania unaopaswa kutekelezwa kwa weledi wa hali ya juu sana pasipo kuhitaji malipo ya aina yoyote ile,huu ni wajibu unaopaswa kubebwa katika mioyo ,mikono na mabega yetu watanzania.

Viongozi wetu wa Dini ni Binadamu wa kawaida ,ni watanzania wenzetu walioitwa kutumikia wito wa kiheshima katika kuilea mioyo ya watu wa aina zote ,vyama vyote,rika zote,vipato vyote,rangi zote na jinsia zote iweze kuenenda na kutenda kulingana na mapenzi ya mwenyezi Mungu kama yalivyo ainishwa katika Biblia Takatifu au kurani.

Viongozi wetu hawa kuwa viongozi wa kidini hakuwaondolei ubinadamu wao na wala hakuwafanyi kuwa Daraja moja na Mwenyezi Mungu wala hawawi malaika au watakatifu watembeao, ndio maana baadhi yao hukumbwa na kashifa za kimaadili au kukiuka maadili na viapo vyao.

Hivyo katika ubinadamu wao nao kuna wakati wanakosea,wanateleza kimaadili,kimiiko,kiviapo na hata kimwenendo,. Kuna wakati kama binadamu japo ni watumishi wa Mungu wanajikuta wanatanguliza hisia za mioyo kuliko uhalisia wa mambo,kuna wakati wanatanguliza na kuchambua mambo kwa kutanguliza mapenzi binafsi kwa mtu au chama au Taasisi au kiongozi anayekuwepo madarakani au mamlakani na hivyo kujikuta wakiibua maswali mengi na kuleta mitafaruko na sintofahamu katika jamii yetu na kuwachanganya waumini wanaokuwa wanashindwa washike nini ,wamfuate nani na wamsikilize nani kutokana na kupewa misimamo isiyo na rejea yoyote kutoka katika Biblia na yenye utata kikatiba na kisheria.

Ikumbukwe ya kuwa sisi waumini hatuendi kanisani au misikitini kuwaabudu viongozi wa Dini,Hayupo mtu wa aina hiyo maana viongozi wa Dini siyo Mungu au Miungu watu na hatuwaabudu wao bali mwenye kuabudiwa na kupewa sifa na utukufu ni Mwenyezi Mungu pekee,huyo ndiye alfa na omega,huyo hakosei wala kukosolewa,huyo ni wa haki na hukumu zake ni za haki.

Hivyo Rai yangu ni kwa serikali yangu inayoongozwa na mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kuwaasa na kuwakumbusha viongozi wetu wa Dini kuzingatia viapo vyao vya kumtumikia Mungu,kuzingatia maadili na weledi katika kutumikia Dini na wito huo wa heshima kabisa walioitiwa hapa Duniani.wajiepushe ,kujitenga na kutojaribu kuingiza siasa katika Dini,kutochanganya mapenzi binafsi kwa chama fulani katika Dini,kutopandikiza hisia na mbegu za Udini kwa waumini,kutowachanganya na kugeuza madhabahu kuwa mahali pa kuhubiri siasa, maana sicho tunachokifuata makanisani mwetu,siyo tunachokitarajia kutoka kwa viongozi wetu hawa wa Dini kuhubiriwa madhabahu ni.

Viongozi wetu hawa wa Dini watambue hatari kubwa wanayoweza kuitengeneza kwa Taifa letu ikiwa watataka na kuamua kuchanganya siasa na Dini,kuingiza siasa makanisani na madhabahuni,kuwasaidia watu au vyama kisiasa kwa kutumia nyumba za ibada. Jambo hilo litaleta hatari kubwa kwa Taifa letu na kuweka Rehani amani na utulivu wetu. serikali yetu iwaambie waziwazi kama ambavyo imekuwa ikiwakumbusha juu ya wajibu wao katika nyakati tofauti tofauti.

suala la kulinda na kuendeleza amani na utulivu wetu ni letu sote.Hivyo mimi binafsi nitaendelea kupigania kimaandishi kuhakikisha kuwa Taifa letu halibomolewi na yeyote yule kwa maslahi yake binafsi au ya kumsaidia yeyote katika kutwaa madaraka. Atakayeshindwa kutwaa madaraka au uongozi kwa njia ya kidemokrasia hapaswi kuchochea na kuleta au kuingiza dini katika siasa au siasa katika Dini. Nitaendelea kuandika na kuandika hata nikibaki na kusimama mwenyewe ,hata nikishambuliwa kwa matusi ,kejeri au vitisho vya aina yoyote ile bado nitaendelea kuipigania Tunu hii ya kipekee tuliyolithishwa na kuachiwa na waasisi wa Taifa letu.

Viongozi wetu wa Dini wasitumie mwanya wa kiimani wa kuaminika machoni pa waumini katika kuwagawa na kupandikiza mbegu au mawazo yatakayoleta hisia za Udini katika Taifa letu,Tusitake kuwafikisha huko watanzania,Tusitake kuleta mitafaruko ya kidini ,Tusitake kuleta mitikisiko isiyo na sababu,.Ni rahisi kuuwasha moto wa kidini kuliko kuuzima ,ni rahisi kupandikiza mbegu ya Udini kwenye mioyo ya watanzania kuliko kuing'oa mbegu ya Udini ndani ya mioyo ya watanzania.hivyo tujiepushe na dhambi na mtego huu unaoweza kulitafuna ,kulibomoa ,kulitikisa na kuliangamiza Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Kwangu mimi suala la amani ,utulivu ,mshikamano na umoja wa kitaifa ni jambo nyeti sana kwangu,ni masuala yanayonigusa sana,ni Masula ambayo huwa sipo Tayari kuona yakichezewa au kutoneshwa au kuyumbishwa na kuwekwa Hatarini na Rehani na mtu yeyote yule au kikundi au Taasisi au chama bila kujali cheo chake ,wadhifa wake,jina lake,umri wake na historia yake katika Taifa letu.kwangu mimi Taifa ni kubwa kuliko maslahi yangu Binafsi na mapenzi yangu Binafsi kwa mtu au Taasisi au chama au chochote kile. Amani na utulivu ni Tunu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zetu zote,ni wajibu wa kila mtanzania unaopaswa kutekelezwa kwa weledi wa hali ya juu sana pasipo kuhitaji malipo ya aina yoyote ile,huu ni wajibu unaopaswa kubebwa katika mioyo na mikono yetu watanzania.

Viongozi wetu wa Dini ni Binadamu wa kawaida ,ni watanzania wenzetu walioitwa kutumikia wito wa kiheshima katika kuilea mioyo ya watu wa aina zote ,vyama vyote,rika zote,vipato vyote,rangi zote na jinsia zote iweze kuenenda na kutenda kulingana na mapenzi ya mwenyezi Mungu kama yalivyo ainishwa katika Biblia Takatifu au kurani.

Viongozi wetu hawa kuwa viongozi wa kidini hakuwaondolei ubinadamu wao na wala hakuwafanyi kuwa Daraja moja na Mwenyezi Mungu wala hawawi malaika au watakatifu watembeao, ndio maana baadhi yao hukumbwa na kashifa za kimaadili au kukiuka maadili na viapo vyao.

Hivyo katika ubinadamu wao nao kuna wakati wanakosea,wanateleza kimaadili,kimiiko,kiviapo na hata kimwenendo,. Kuna wakati kama binadamu japo ni watumishi wa Mungu wanajikuta wanatanguliza hisia za moyo kuliko uhalisia wa mambo,kuna wakati wanatanguliza na kuchambua mambo kwa kutanguliza mapenzi binafsi kwa mtu au chama au Taasisi au kiongozi anayekuwepo madarakani au mamlakani na hivyo kujikuta wakiibua maswali mengi na kuleta mitafaruko na sintofahamu katika jamii yetu na kuwachanganya waumini wanaokuwa wanashindwa washike nini ,wamfuate nani na wamsikilize nani kutokana na kupewa misimamo isiyo na rejea yoyote kutoka katika Biblia na yenye utata kikatiba na kisheria.

Ikumbukwe ya kuwa sisi waumini hatuendi kanisani au misikitini kuwaabudu viongozi wa Dini,Hayupo mtu wa aina hiyo maana viongozi wa Dini siyo Mungu au Miungu watu na hatuwaabudu wao bali mwenye kuabudiwa na kupewa sifa na utukufu ni Mwenyezi Mungu pekee,huyo ndiye alfa na omega,huyo hakosei wala kukosolewa,huyo ni wa haki na hukumu zake ni za haki.

Hivyo Rai yangu ni kwa serikali yangu inayoongozwa na mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kuwaasa na kuwakumbusha viongozi wetu wa Dini kuzingatia viapo vyao vya kumtumikia Mungu,kuzingatia maadili na weledi katika kutumikia Dini na wito huo wa heshima kabisa walioitiwa hapa Duniani.wajiepushe ,kujitenga na kutojaribu kuingiza siasa katika Dini,kutochanganya mapenzi binafsi kwa chama fulani katika Dini,kutopandikiza hisia na mbegu za Udini kwa waumini,kutowachanganya na kugeuza madhabahu kuwa mahali pa kuhubiri siasa maana sicho tunachokifuata makanisani mwetu,siyo tunachokitarajia kutoka kwa viongozi wetu hawa wa Dini.

Viongozi wetu hawa wa Dini watambue hatari kubwa wanayoweza kuitengeneza kwa Taifa letu ikiwa watataka na kuamua kuchanganya siasa na Dini,kuingiza siasa makanisani,kuwasaidia watu au vyama kisiasa kwa kutumia nyumba za ibada.Jambo hilo litaleta hatari kubwa kwa Taifa letu na kuweka Rehani amani na utulivu wetu. serikali yetu iwaambie waziwazi kama ambavyo imekuwa ikiwakumbusha juu ya wajibu wao.

suala la kulinda na kuendeleza amani na utulivu wetu ni letu sote.Hivyo mimi binafsi nitaendelea kupigania kimaandishi kuhakikisha kuwa Taifa letu halibomolewi na yeyote yule kwa maslahi yake binafsi au ya kumsaidia yeyote katika kutwaa madaraka. Atakayeshindwa kutwaa madaraka au uongozi kwa njia ya kidemokrasia hapaswi kuchochea na kuleta au kuingiza dini katika siasa au siasa katika Dini. Nitaendelea kuandika na kuandika hata nikibaki na kusimama mwenyewe ,hata nikishambuliwa kwa matusi ,kejeri au vitisho vya aina yoyote ile bado nitaendelea kuipigania Tunu hii ya kipekee tuliyolithishwa na waasisi wa Taifa letu.

Mmehama toka kwenye uzuri au ubaya wa mkataba wa DPW na mmeingia kwenye viongozi wa dini wasijadili ya kwenye mkataba wa DPW kwa sababu wakijadili ni udini..!! Hivi mnadhani wao viongozi wa dini siyo watanzania?
 
Unapinga waraka wa TEC ama?
 
Back
Top Bottom