Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Wanachokifanya kusoma waraka huu ni sahihi au sio sahihi?

Ushauri anaoutoa mwandishi kwamba serikali iingilie Kati usisomwe ni sahihi au siyo sahihi?

🙏🙏🙏🙏

Buti haliwezi ingizwa Kanisani, hiyo ni Moja.
Hivyo ushauri wa Mtoa mada hauwezikani.

Wanachokifanya kinaweza kuwa sahihi au kisiwe sahihi. Itategemea na wanafanya hivyo Kwa manufaa ya Nani.

Kama ni Kwa manufaa ya waumini na Watanzania ni Sahihi.
 
Acha kujidharu ha kuhandle over sovereinity yako. We huna sautu kweli? Umeipelwka wapi. Hivi mbona mnawaona maaskofu kwa miungu hivi. Karibu I kwenye uislam dini ya haki ambapo kila mtu ni sawa hakuna kuabudiana. Dini ya mwenyezi mungu Huwa Haina superior over others.
Bora niwe Mpagani kuliko kuwa wa hio Imani. Binafsi naichukulia ni Imani ya wajinga.
 
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
Uwe unajipa muda kusoma angalau vitini, majarida, vitabu na any other sources kabla ya kuchangia jambo mbele ya umma ukadhihirisha ujinga wako au kutokuelewa mambo.

Tafuta kwanza maana ya neno propaganda. Kinachozungumzwa na Kanisa sio propaganda ni mambo yaliyo dhahiri na wazi na yametolewa ushauri Nini kifanyike as per mkataba wenu na dipii world

kwahiyo kanisa haikusudii kushawishi au kudanganya au kusema uwongo ili kuweza kukubalika Bali inaeleza mambo Kwa uwazi na ukweli wake.
 
Acha kujidharu ha kuhandle over sovereinity yako. We huna sautu kweli? Umeipelwka wapi. Hivi mbona mnawaona maaskofu kwa miungu hivi. Karibu I kwenye uislam dini ya haki ambapo kila mtu ni sawa hakuna kuabudiana. Dini ya mwenyezi mungu Huwa Haina superior over others.
Unaelewa maana ya neno Kiongozi? Huko kwenye Uislam wenu hamna viongozi? Je, yale matamko ya kuanza na kumalizika kwa mfungo wenu wa Ramadhan huwa yanatolewa na miungu ya kiislam?

Jitahidi kuficha unafiki Sheikh.
 
Tulifikirie hili swala bila jazba. Kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi.
Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.
TEC imetoa tamko na serikali imesikia. Hiyo inatosha.
Serikali iingize buti Kanisani. That is my robotic advice.
Vinginevyo sasa,tutakuwa na serikali ngapi?
Huu ni ushauri wa kijinga sana
 
Nadhani hujui muundo na mfumo wa kanisa katoliki duniani
 
Buti haliwezi ingizwa Kanisani, hiyo ni Moja.
Hivyo ushauri wa Mtoa mada hauwezikani.

Wanachokifanya kinaweza kuwa sahihi au kisiwe sahihi. Itategemea na wanafanya hivyo Kwa manufaa ya Nani.

Kama ni Kwa manufaa ya waumini na Watanzania ni Sahihi.
Mtoa mada ni type ya viongozi tulip nao au askari tulio nao! Kama wamewapa watu kesi ya ugaidi kelele zikazidi wakaiondoa, wakwawapa watu kesi ya uhaini kelele zikazidi wakaiondoa, sioni wakishindwa kupeleka Buti kanisani na kelele zikianza wanakimbia!
Hawa watu akili hawana wakaifungie na radio Maria na Tumaini pamona na Radio Kwizera mana zinarusha ibada live ili na wale walioko home wapate ujumbe!
 
Buti haliwezi ingia Kanisani hasa kanisa Katoliki. Hiyo haiwezekaniki.

Na hakuna kiongozi yeyote anayeweza kuthubutu kufanya hivyo labda kama hajui Dunia imetoka wapi na ilipo na wapi inaenda.

Ukatoliki ni zaidi ya Dini.
 
Robert naomba kutofautiana na wewe Kwa muktadha ufuatao.

Kwa sasa tuna viongozi wa chama na serikali ambao wamengia kwenye siasa bila kuandaliwa ili wajue mipaka yao hasa wanapokua na madaraka au power.

Aina ya watu tulionao hawamwogopi Mungu ndio maana wanafanya mambo hovyo hivyo na mpaka kuwa na ujasiri wa kuwakemea viongozi wa dini wanapowaletea ujumbe wa amani.
Kwa maana hiyo usishangae wakashauriana na wakapeleke Buti kanisani au kula njama za kuwadhuru maaskofu au viongozi wa dini ambapo Kwa tafsiri nyepesi Buti inakua kanisani
 
CCM imekuwa confused 100% .

Leo nimeingia misa ya kwanza pembeni nilikuwa Nimekaa na RPC wa mkoa fulani.

Tamko la Mkataba wa DP world nimesomwa naye analifurahia vema.

Sasa nimeelewa Roma ni kanisa kubwa.!!
Wengine wapo majumbani Radio Tumaini na Radio Maria Live bila chenga hata wagonjwa na wazee wasioweza kwenda ibadani wanafuatilia mubashara! Kitima aliposema tunaweza kupata habari za nchi nzima at a go. Alimaanisha
 
Ukienda pale Bugando Referral Hospital Mwanza....utakuta waislamu wengi pia wakristo wengi wakiendelea kupewa huduma.

Ukienda seminary schools zote nchini utakutana na wanafunzi wa madhehebu yote.

Acha upumbavu wako na kobazi lako mjinga wewe.

TEC hakuna vilaza pale,wala TEC huwa hawachapani bakora makanisani kugombea umiliki wa misaada toka uarabuni....

Shika adabu yako!
TEC sio Phd za kupewa
 
Robert naomba kutofautiana na wewe Kwa muktadha ufuatao.

Kwa sasa tuna viongozi wa chama na serikali ambao wamengia kwenye siasa bila kuandaliwa ili wajue mipaka yao hasa wanapokua na madaraka au power.

Aina ya watu tulionao hawamwogopi Mungu ndio maana wanafanya mambo hovyo hivyo na mpaka kuwa na ujasiri wa kuwakemea viongozi wa dini wanapowaletea ujumbe wa amani.
Kwa maana hiyo usishangae wakashauriana na wakapeleke Buti kanisani au kula njama za kuwadhuru maaskofu au viongozi wa dini ambapo Kwa tafsiri nyepesi Buti inakua kanisani

Buti haliwezi ingia Kanisani hasa Kanisa Katoliki. Hata aje kiongozi mjinga kiasi gani Hilo haliwezekaniki.

Kiongozi yeyote awe wa dini au wq kisiasa akifanya Wema huyo anampendeza Muumbaji.

Hapa tunazungumzia mifumo.
Serikali ni nchi tuu Wakati ukatoliki ni Dunia nzima.
Ni Sawa na mtu mmoja ajiingize mkenge kupambana na serikali (taifa) Hilo haliwezekaniki.
Huwezi shindana na Ukatoliki ukatoboa.

Ni Sawa na vyama vya upinzani haviwezi kushindana na CCM vikatoboa Kwa sababu mifumo iliyopo ni ya kiccm.
Bado hujanipata
 
Hahahaaa buti kanisani? Unaota au ndio hiyo AI . Serikali ni Moja lazima isikie, zipo njia mbali mbali za upashanaji habari katika kanisa na Moja wapo ni barua zi kaskofu au kipapa kusomwa makanisani na katika jumuiya ndogo ndogo! Kwamba Serikali imeshupaza shingo na wapambe wake wanazidi kuizamisha, mama kanisa ameamua na yeye kuwafikishia wananchi ujumbe wake.
Huyo polisi anayeingiza buti kanisani na yeye ni muumini ambaye anamhofia Mungu anayemlinda katika shughuli zake za Kila siku. Jaribuni muone
Anafikiria kila mtu anapigwa pigwa tu......watu wa mudi bana akili kisoda kweli
 
Back
Top Bottom