Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

Mnasubiri black bbox wakati abiria walio hai wapo?
 
Subiri uchunguzi ufanyike
 
Mnasubiri black bbox wakati abiria walio hai wapo?
Hao abiria walisikia puuu wapo majini , hawajui pilot alikuwa anapambana na nini , hao sio reliable, hata ruban angekuwepo naye sio reliable , black box ndio trusted source of information , walioiweka sio mafala
 

Sawa sawa. Hawa watu hawapo Serious . Nimesha Experience dharuba na hizi ndege za Precision, kwanza wakati mwingine hazifanyiwi proper inspection. Inspection yao ni kusafisha ndani na kupakia watu wengine

Nasema Serikali ifanyie kazi hili . Na nasema wananchi waachane na hili shirika.... otherwise tutazika ndugu sana , or else , walate brands new Precision .

Na mkibadili jina ku mislead wa TZ , tutawaanika hapa hapa.

Maisha ni thamani bwana , hatutaki majaribu. Mmeua injia, doctors, pharmacist, bankers , na specialist nyinginezo ...... msituletee mambo ya kipumbavu kwa poor management skills
 
Nyie watu mna ushetani mwingi sana, mumetoa roho za watu ili mpate justification ya kuifuta Precision Air !!!
 
Nyie watu mna ushetani mwingi sana, mumetoa roho za watu ili mpate justification ya kuifuta Precision Air !!!

Ulishawahi kumuona Shetani au ni hear say . Why una claim sisi ni shetani yamkini hujawahi hata kumuona shetani.

Jadili hoja, Acha arguments za mtaani
 
Upo so defensive, sipo Hapa kuharibu reputation yenu . Umekosa mental maturity

Hakuna mahal nime mention ATCL
Sasa matatizo uliyotaja hayapo kwenye airlines nyingine?
Alafu mental maturity is very subjective labda kama ungekuwa na approved testing kits
 
Jamaa yupo Datacentre ya hizo Blackbox .
 
Hivi ni ngumu kutoa andiko tu kutumia lugha moja tu aidha Kiswahili pekee au Kiingereza pekee !
 
hizi ndege kwa mataifa ya wenzetu zishapigwa ban, hazitumiki hasa US hakuna ndege aina hiyo inabeba abilia. kuna hoja ya msingi hapa.
 
Ni kweli lakini kwa hawa Jamaa, nashauri serikali ipitie records zote za maintenance na hizo inspection. Pamoja na kuangalia team unayofanya hivyo vigezo vyao
Uchunguzi ni muhimu sana, ila shida huwa inakuwa kwenye matokeo ya uchunguzi, yakuwa yamejaa siasa kuliko utaalamu na hivyo kupindisha ukweli. Pia tukumbuke kuna maslahi ya watu kwenye hii biashara.
 
Ulishawahi kumuona Shetani au ni hear say . Why una claim sisi ni shetani yamkini hujawahi hata kumuona shetani.

Jadili hoja, Acha arguments za mtaani
Nimeyashuhudia matendo ya kishetani, hiki kiherehere chako cha kutoa hoja ya kusimamishwa Precision Air kabla hata ripoti ya uchunguzi wa chanzo cha ajali kutoka ndiyo inathibitisha nia yenu ovu na ndiyo ushetani wenyewe huo.
 
Tatizo la nchi yetu siasa ni nyingi sana, na zinaingia hadi kwenye mambo ambayo hayahitaji siasa. Kiukweli mimi binafsi sioni haja ya kusubiri taarifa yao ya uchungui maana najua itakuwa ni ya kupikwa tu ili watu fulani fulani wasiwajibishwe. So tushukuru mungu mambo mengine yaendelee ila I'm sure report yao ya uchunguzi itatu disappoint
 

Hari!!???
Mbona gharika umeandika vizuri??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…