Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa Kama dege lilipoteza control umetoa wapi au black box iliingia matakoni mwakoWewe umesikia imeonekana ?
Mkuu wengine hawajawahi panda ndege. Hata hajui masafa marefu yakojePrecision inafanya masafa marefu yapi mkuu, safari ya Dar-Mwanza? you are not serious!
Kuna ka ukweli flani hapa nimewahi kupanda hii kitu kama mara tatu hivi kwa Route za Dar to Mwanza na Dodoma to Kilimanjaro ni kweli hizi ndege za Precision air ni kama zimeanza kuchoka flani hivi.!Nakubaliani kuwa ile Route ya Mwanza to Bukoba ni hectic one. Mwaka fulani nilipita ile distance ya Mwanza to Bukoba dakika 5 niliziona ni kama Miaka 100.
Ni kama ndege ilikuwa inavutwa kwa lazima back and forth... kibaya zaidi Rubani hakutangaza chochote.
Ni siku ambayo nilisikia Yesu akitajwa zaidi kuliko siku yoyote. Wapo waliozimia kwa Hali ile.
Mimi na Mzungu tulikuwa tumechili.... ndani ya nafsi yangu nikajisemea. Kama leo ndio mwisho wangu .... let the shit happen .... I can’t deny death . Only to realize that I was born to die.
So nikawasha ipad yangu na kuanza kusikiliza the Beatles, waiting for my destiny.
I was eager to see my new beginnings.
Well , baadae ndege ikatua and from that moment nikasema hii ruti sipiti tena. Ikiwa nina Safari ya Bukoba... nina segment safari kwa Lami kwa siku 2.
Ile Distance Mwanza to Bukoba kupitia ziwa , There must be something wrong apart from Nguvu ya Mvutano.
Hoja yangu ya Msingi ni kuhusu hizi ndege za Precision
Mwaka 2011, pale KIA nikiwa na Lowasa na Sumaye, Tairi ya Precision ilipasuka wakati wa kutua , kukatokea taharuki kidogo lakini tukatoka salama.
2018 pale Tabora, tulitumia 30 minutes kutua kwa sababu tairi za ndege zilikataa kuchomoka, kila jamaa akijaribu tairi hazitoki.... baadae tukatua , Jamaa wakadai kuwa ni kawaida kwenye ndege.
Mwaka 2021, Hapo ndio nikaanza kuwaza kuhusu Precision, pale JNIA, tulitua kwa vibaya snaa kana kwamba tupo vitani.
Nimepanda ndege nyingi But ule mtuo, kila mtu alistuka na tukauliza nini shida... hawakutoa majibu.
Hapo hapo JNIA siku nyingine , wakati wa kutua , tairi ni kama iliwaka moto yaani ile kutoa cheche nyingi .... na ilipotua ilitua kwa kishindo ambacho sio cha Kawaida na kila mtu alihoji na wote tulistuka sana.
Baada ya hapo nikawa nimeona Red light , nikasema sipandi tena hizi ndege za
Precision
. Majibu yao baada ya kuhoji yalikuwa ni Joto la Dar ni kubwa ndio maana tairi zimewaka moto.
/
Inawezekana kabisa hali ya hewa ilichangia kutokea ajali lakini Inawezekana kwa asilimia kubwa ndege ilikuwa na shida kama kawaida yao.
Rubaga ni Rubani wa zaidi ya Miaka 25 kwenye kazi hiyo , anajua well enough nini cha kufanya kwenye mazingira hayo ya hali ya hewa...alikuwa anaweza kurudi mwanza na ni mara nyingi alishafanya Hivyo.
Ile ya juzi , ni tatizo la ndege ilipoteza control na ikagoma kutua kwa kutokana na itilafu ndani ya mfumo wa matairi na mfumo wa injini. Ukijumlisha na hali ya hewa , mambo yakaharibika zaidi.
Naishauri Serikali , Isimamishe shughuli zote za Precision na kufanya uchunguzi yakinifu.
Kufanya special inspection ya ndege zote zinazomilikiwa na Precision Airways ikiwa ni pamoja na kufanya Age analysis. usikute haya mandege yamesha Expiry muda wake wa matumizi.
Kufanya special inspection kwa injinia wote wa Precision wanaokagua ndege kabla na baada kama kweli wanavigezo.
Mkurugenzi wa Precision awekwe chini ya ulinzi to extend further special inspection..... machozi yake yana maana nyuma ya pazia , wanajua wazi kuwa hawalipi vyema mainjinia wa Technical inspection. Matokeo yake wanafanya kazi les affairs na kisela.
Wanakagua ndege na kuziba ziba pancha kama waziba daladala za buza.
Hali ya hewa inachukua nafasi ndogo sana kwenye ile ajali, ile ndege ilikuwa ni MBOVU.
Rubani aliyeendesha ni Experienced one , kwa hali ya hewa alikuwa na option nyingi na kwa kufanya mawasiliano na watu wa nchi kavu angeenda kutua Mwanza.
Hapo chini ni uzoefu wa Rubaga... ni zaidi ya 30 years
Captain Buruhani Rubaga
Captain
Precision Air Services PLC
2003 - Present · 19 yrs 11
Zantas Air
1993 - May 2003 · 10 yrs 5 mos
First Officer
AIR TANZANIA COMPANY LIMITED
1990 - 1993 · 3 yrs Bachelor's degree, Mechanical Engineering
1983 - 1987 Sri Jayachamarajendra College of Engineering, Mysore (QIP Centre)
Serikali TAKE Action au Mtazika watanzania wengi
Black box itaachaje kuonekana? Hata ndege ingeteketea yote kwa Moto, black box lazima ingeonekana.Umeongea Vyema
Black box imeonekana
Anataka ziwe zinafanya Dar to Chalinze au Dar to Moro basiPrecision inafanya masafa marefu yapi mkuu, safari ya Dar-Mwanza? you are not serious!
Mkuu, unajua kuwa black box inakaa pale mkiani kwenye ndege? Sasa watatangazaje wameipata wakati haikupotea?
Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
Kwa kosa gani?Nakubaliani kuwa ile Route ya Mwanza to Bukoba ni hectic one. Mwaka fulani nilipita ile distance ya Mwanza to Bukoba dakika 5 niliziona ni kama Miaka 100.
Ni kama ndege ilikuwa inavutwa kwa lazima back and forth... kibaya zaidi Rubani hakutangaza chochote.
Ni siku ambayo nilisikia Yesu akitajwa zaidi kuliko siku yoyote. Wapo waliozimia kwa Hali ile.
Mimi na Mzungu tulikuwa tumechili.... ndani ya nafsi yangu nikajisemea. Kama leo ndio mwisho wangu .... let the shit happen .... I can’t deny death . Only to realize that I was born to die.
So nikawasha ipad yangu na kuanza kusikiliza the Beatles, waiting for my destiny.
I was eager to see my new beginnings.
Well , baadae ndege ikatua and from that moment nikasema hii ruti sipiti tena. Ikiwa nina Safari ya Bukoba... nina segment safari kwa Lami kwa siku 2.
Ile Distance Mwanza to Bukoba kupitia ziwa , There must be something wrong apart from Nguvu ya Mvutano.
Hoja yangu ya Msingi ni kuhusu hizi ndege za Precision
Mwaka 2011, pale KIA nikiwa na Lowasa na Sumaye, Tairi ya Precision ilipasuka wakati wa kutua , kukatokea taharuki kidogo lakini tukatoka salama.
2018 pale Tabora, tulitumia 30 minutes kutua kwa sababu tairi za ndege zilikataa kuchomoka, kila jamaa akijaribu tairi hazitoki.... baadae tukatua , Jamaa wakadai kuwa ni kawaida kwenye ndege.
Mwaka 2021, Hapo ndio nikaanza kuwaza kuhusu Precision, pale JNIA, tulitua kwa vibaya snaa kana kwamba tupo vitani.
Nimepanda ndege nyingi But ule mtuo, kila mtu alistuka na tukauliza nini shida... hawakutoa majibu.
Hapo hapo JNIA siku nyingine , wakati wa kutua , tairi ni kama iliwaka moto yaani ile kutoa cheche nyingi .... na ilipotua ilitua kwa kishindo ambacho sio cha Kawaida na kila mtu alihoji na wote tulistuka sana.
Baada ya hapo nikawa nimeona Red light , nikasema sipandi tena hizi ndege za
Precision
. Majibu yao baada ya kuhoji yalikuwa ni Joto la Dar ni kubwa ndio maana tairi zimewaka moto.
/
Inawezekana kabisa hali ya hewa ilichangia kutokea ajali lakini Inawezekana kwa asilimia kubwa ndege ilikuwa na shida kama kawaida yao.
Rubaga ni Rubani wa zaidi ya Miaka 25 kwenye kazi hiyo , anajua well enough nini cha kufanya kwenye mazingira hayo ya hali ya hewa...alikuwa anaweza kurudi mwanza na ni mara nyingi alishafanya Hivyo.
Ile ya juzi , ni tatizo la ndege ilipoteza control na ikagoma kutua kwa kutokana na itilafu ndani ya mfumo wa matairi na mfumo wa injini. Ukijumlisha na hali ya hewa , mambo yakaharibika zaidi.
Naishauri Serikali , Isimamishe shughuli zote za Precision na kufanya uchunguzi yakinifu.
Kufanya special inspection ya ndege zote zinazomilikiwa na Precision Air ikiwa ni pamoja na kufanya Age analysis. usikute haya mandege yamesha Expiry muda wake wa matumizi.
Kufanya special inspection kwa injinia wote wa Precision wanaokagua ndege kabla na baada kama kweli wanavigezo.
Mkurugenzi wa Precision awekwe chini ya ulinzi to extend further special inspection..... machozi yake yana maana nyuma ya pazia , wanajua wazi kuwa hawalipi vyema mainjinia wa Technical inspection. Matokeo yake wanafanya kazi les affairs na kisela.
Wanakagua ndege na kuziba ziba pancha kama waziba daladala za buza.
Hali ya hewa inachukua nafasi ndogo sana kwenye ile ajali, ile ndege ilikuwa ni MBOVU.
Rubani aliyeendesha ni Experienced one , kwa hali ya hewa alikuwa na option nyingi na kwa kufanya mawasiliano na watu wa nchi kavu angeenda kutua Mwanza.
Hapo chini ni uzoefu wa Rubaga... ni zaidi ya 30 years
Captain Buruhani Rubaga
Captain
Precision Air Services PLC
2003 - Present · 19 yrs 11
Zantas Air
1993 - May 2003 · 10 yrs 5 mos
First Officer
AIR TANZANIA COMPANY LIMITED
1990 - 1993 · 3 yrs Bachelor's degree, Mechanical Engineering
1983 - 1987 Sri Jayachamarajendra College of Engineering, Mysore (QIP Centre)
Serikali TAKE Action au Mtazika watanzania wengi
Mimi nilihairisha kupanda precision siku tulipotoka Arusha tunakuja mwanza tukashindwa kutua kukatangaziwa tunaweza kitua bukoba au Uganda ikashindikana tukarudi Arusha baada ya hapo nikarudi nyumbani usiku nikaondoka na Air Tanzania Kilimanjaro nikatua mwanza safi kabisa.Toka wakati huo mimi ni mteja mwaminifu wa Air Tanzania.Siku hiyo nilitubu zaidi ya mara 20 ,watu walisali sana Sasa safari kama hizi za Nini Sasa.Nakubaliani kuwa ile Route ya Mwanza to Bukoba ni hectic one. Mwaka fulani nilipita ile distance ya Mwanza to Bukoba dakika 5 niliziona ni kama Miaka 100.
Ni kama ndege ilikuwa inavutwa kwa lazima back and forth... kibaya zaidi Rubani hakutangaza chochote.
Ni siku ambayo nilisikia Yesu akitajwa zaidi kuliko siku yoyote. Wapo waliozimia kwa Hali ile.
Mimi na Mzungu tulikuwa tumechili.... ndani ya nafsi yangu nikajisemea. Kama leo ndio mwisho wangu .... let the shit happen .... I can’t deny death . Only to realize that I was born to die.
So nikawasha ipad yangu na kuanza kusikiliza the Beatles, waiting for my destiny.
I was eager to see my new beginnings.
Well , baadae ndege ikatua and from that moment nikasema hii ruti sipiti tena. Ikiwa nina Safari ya Bukoba... nina segment safari kwa Lami kwa siku 2.
Ile Distance Mwanza to Bukoba kupitia ziwa , There must be something wrong apart from Nguvu ya Mvutano.
Hoja yangu ya Msingi ni kuhusu hizi ndege za Precision
Mwaka 2011, pale KIA nikiwa na Lowasa na Sumaye, Tairi ya Precision ilipasuka wakati wa kutua , kukatokea taharuki kidogo lakini tukatoka salama.
2018 pale Tabora, tulitumia 30 minutes kutua kwa sababu tairi za ndege zilikataa kuchomoka, kila jamaa akijaribu tairi hazitoki.... baadae tukatua , Jamaa wakadai kuwa ni kawaida kwenye ndege.
Mwaka 2021, Hapo ndio nikaanza kuwaza kuhusu Precision, pale JNIA, tulitua kwa vibaya snaa kana kwamba tupo vitani.
Nimepanda ndege nyingi But ule mtuo, kila mtu alistuka na tukauliza nini shida... hawakutoa majibu.
Hapo hapo JNIA siku nyingine , wakati wa kutua , tairi ni kama iliwaka moto yaani ile kutoa cheche nyingi .... na ilipotua ilitua kwa kishindo ambacho sio cha Kawaida na kila mtu alihoji na wote tulistuka sana.
Baada ya hapo nikawa nimeona Red light , nikasema sipandi tena hizi ndege za
Precision
. Majibu yao baada ya kuhoji yalikuwa ni Joto la Dar ni kubwa ndio maana tairi zimewaka moto.
/
Inawezekana kabisa hali ya hewa ilichangia kutokea ajali lakini Inawezekana kwa asilimia kubwa ndege ilikuwa na shida kama kawaida yao.
Rubaga ni Rubani wa zaidi ya Miaka 25 kwenye kazi hiyo , anajua well enough nini cha kufanya kwenye mazingira hayo ya hali ya hewa...alikuwa anaweza kurudi mwanza na ni mara nyingi alishafanya Hivyo.
Ile ya juzi , ni tatizo la ndege ilipoteza control na ikagoma kutua kwa kutokana na itilafu ndani ya mfumo wa matairi na mfumo wa injini. Ukijumlisha na hali ya hewa , mambo yakaharibika zaidi.
Naishauri Serikali , Isimamishe shughuli zote za Precision na kufanya uchunguzi yakinifu.
Kufanya special inspection ya ndege zote zinazomilikiwa na Precision Air ikiwa ni pamoja na kufanya Age analysis. usikute haya mandege yamesha Expiry muda wake wa matumizi.
Kufanya special inspection kwa injinia wote wa Precision wanaokagua ndege kabla na baada kama kweli wanavigezo.
Mkurugenzi wa Precision awekwe chini ya ulinzi to extend further special inspection..... machozi yake yana maana nyuma ya pazia , wanajua wazi kuwa hawalipi vyema mainjinia wa Technical inspection. Matokeo yake wanafanya kazi les affairs na kisela.
Wanakagua ndege na kuziba ziba pancha kama waziba daladala za buza.
Hali ya hewa inachukua nafasi ndogo sana kwenye ile ajali, ile ndege ilikuwa ni MBOVU.
Rubani aliyeendesha ni Experienced one , kwa hali ya hewa alikuwa na option nyingi na kwa kufanya mawasiliano na watu wa nchi kavu angeenda kutua Mwanza.
Hapo chini ni uzoefu wa Rubaga... ni zaidi ya 30 years
Captain Buruhani Rubaga
Captain
Precision Air Services PLC
2003 - Present · 19 yrs 11
Zantas Air
1993 - May 2003 · 10 yrs 5 mos
First Officer
AIR TANZANIA COMPANY LIMITED
1990 - 1993 · 3 yrs Bachelor's degree, Mechanical Engineering
1983 - 1987 Sri Jayachamarajendra College of Engineering, Mysore (QIP Centre)
Serikali TAKE Action au Mtazika watanzania wengi
Acha chuki kapande kampuni yenu ya Costal.airKama mtu unaweza kuchagua ndege please don't choose precision air, Nimewahi kupanda mara moja sitarudia tena
Sio chuki, Precision Airways ni ndege mbovu sana na ni very risky sana kuzitumiaAcha chuki.