Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

Toa mfano mmoja tu wa nchi moja ambayo wamejifungia na hawajapata maambukizi, janga hili hakuna nchi itakayobaki salama
Kunamambo mengine unaangalia upepo tu unajua kabisa kwamba si la kuzuia Kwa nguvu za binadamu, kama ni hivyo, ma Raisi wote wa nchi za ulaya na America wajiudhuru basi
 
Kwakweli hili gonjwa ni hatari na haswa linaua zaidi wazee na watu ambao tayari wana magonjwa mengine kama Ukimwi Presha Kisukari nk

Mimi nilikesha jana kwenye maombi ili hata kama kuanza lianzie huko huko kwenye muhimili uliojichimbia zaidi

Kumpiga Tundu Lissu risasi hakusaidii sana kajiletea Laana tu.
 
Naam, hii si ajabu kwa serikali inayowateka, kuwatesa na kuwaua raia wake, serikali inayowabambikia kesi wawakilishi wa wananchi, serikali inayowafunga, kuwamiminia risasi na kuwadhalilisha wabunge, serikali inayotumia vyombo vya dola kutafuta na kung'ang'ania madaraka yanayowazidi kimo na uwezo, serikali inayoongozwa na viongozi wasio na hekima wala busara...
 
Hili suala la kuruhusu safari za ndege ziendelea na mipaka kuwa wazi lina defy logic kabisa kipindi hiki cha majanga.
Yaani unafunga shule na vyuo, halafu ndege kutoka nchi high risk zinaendelea kuingia!
Wananchi tupaze sauti. Wenye mamlaka, please,restrict entry for travellers from Europe, Iran, US and China.
 
Wewe kula kulala una matatizo makubwa sana na mbaya zaidi shule na vyuo zimefungwa.
 

Unaongelea Bunge gani mkuu, hili la Ndugai?
 
Mleta mada tafuta chuki nyingine na aliyewaloga amekufa, na dua la kuku ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…