Vato
JF-Expert Member
- Feb 15, 2009
- 249
- 139
Mkuu unajua hao wamasai wameanza kukaa hapo ngorongoro lini? Kama hujui kaa kimya
Haijalishi wameanza kukaa lini. Ishu ni kwamba wapo kwenye eneo la hifadhi. Uwepo wao na mifugo yao hakuna faida yoyote kwenye ecosystem ya hifadhi, zaidi zaidi in long run kunaleta competition for resources kama ardhi na malisho. Wawe relocated.
Serikali, kwa maana ya umma ndio mmiliki wa ardhi kisheria, sio Wamasai au kabila lingine lolote linalokaa eneo lolote. Hivyo ardhi inayokaliwa na watu fulani ikihitajika kwa ajili ya matumizi yenye positive impact kwa maslahi mapana ya nchi then watu hao inabidi wawe relocated na kupisha uendelezaji wa eneo husika. Wamasai sio watu wa kwanza kuwa evacuated, wametolewa watu wa Kipawa pale, Jangwani nk. Watu kibao wamebomolewa nyumba zao kupisha ujenzi wa miundo mbinu yenye faida kwa jamii nzima wao wamasai ni kina nani hasa mpaka iwe exception kwao?