Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hawa nia yao ilikuwa posho ya safari na walipewa si chini ya sh 40,000/= kwa siku, wazirudishe bora wakabidhiwe wafiwa kama wapo.Inasikitisha sana.
Familia yote iliuawa yeye wa 7.Angekuwa wa familia fulani,mtoto wa mtu maarufu...angepelekwa kwa ndege na kupata michango ya kutaka sifa watu
Ila kwa sababu mtoto hyo katokea familia ya kawaida/chini watu hawana habari
Ova
Bora niwe na wivu kuliko kuuchekelea upumbavu huu.Ni wivu tu
Angekuwa wa familia fulani,mtoto wa mtu maarufu...angepelekwa kwa ndege na kupata michango ya kutaka sifa watu
Ila kwa sababu mtoto hyo katokea familia ya kawaida/chini watu hawana habari
Ova
We ulishawahi panda hiyo ndege,ndege sio bajajUongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza!
Walizipita hospitali za Kitete Tabora, Mkapa Morogoro na wakawa na nia ya kuipita ya Morogoro na mtoto akawafia njiani mkoani Morogoro! Hiki kitendo ni cha kijinga sana.