Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini.
OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi,
Wanaposhangilia viongozi wao wakipata matatizo, wakiwekewa vikwazo, ama wanapofariki.
Siku Samia atakapolekwa ICC ama kupata matatizo msije kuwalaumu wananchi watakaposhangilia, tutawakumbusha.
Wananchi wakiwatenga wasanii, polisi na wanaoshiriki maovu, Mwigulu asiwatetee, huo ndio uzalendo unaojengwa na serikali.
Tusilaumiane wala kuwaona wananchi sio wazalendo kila mtu atakula alikopeleka mboga.