TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Kumekuwa na zuio la watanzania wanaopata chance kwenda kufanya kazi ugaibuni kuzuiwa kusafiri hasa hasa siku ya safari,licha ya kwamba mtu anakuwa na vielelezo na viambata vyote muhimu kwa madai kwamba wanaenda kufanyiwa vitendo vibaya,Yamkini wapo mabosi wanafanya hivyo la kini si wote .
Suala la ajira nchini ni kitendawili ambacho chief ameshindwa kutegua,kwa watu ambao elimu hawana ndio kabisa,sasa wanapopata nafasi ya ajira mnawazuia ni deformity,mnaziba riziki za watu.
Serikali itengeneze utaratibu maalumu wakuwatambua watu wake badala ya kuwazuia,kuwa na mfumo maalumu wa komputa utakaotumiwa na balozi zetu katika nchi husika ambapo watu wote nwanaofanya kazi huko wataweza kutuma taarifa zao endapo kuna vikwazo wanakutana navyo ,na kuwe na option yakuwasiliana na waajiri.
Mtu ameshipatewa passport lakini bado mnamkqmia,waliotoa passport maana yake si wanajua kuwa amekizi vigezo?,suala la kufanyiwa vitendo vya ho yo mbona hata hapa wanafanyiwa tu,,hebu tumieni bongo zenu acheni kukumbatia madhaifu na hoja nyepesi.