KERO Serikali itufikirie Wahandisi wa Halmashauri tunalipwa mishahara midogo tofauti na kada nyingine

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali.

Mfano Engineer wa Halmashauri ajira mpya anaanza na mshahara wa Shilingi 1,110,000 kabla ya Makato, halafu Engineer Ajira mpya wa TARURA anaanza na mshahara 2,310,000 kabla ya makato...

Hii inasababisha Wahandisi wa Halmashauri kupitia kipindi kigumu na pia wengi wanaomba kuhama kwenda kwenye Taasisi kama TARURA au TANROADS na nyinginezo...

Sisi kama Wahandisi wa Halmashauri nasi pia tunaiomba Serikali yetu ituangalie ituongezee mishahara kama wanayopokea Wahandisi wenzetu waliopo kwenye Taasisi nyingine.

Hii itachochea utulivu na kazi zitafanyika kwa upendo...kwani hiki ni kilio kikubwa sana... kwani ukienda buchani hakuna bucha utauziwa nyama kwa kujitambulisha kwamba mimi ni Mhandisi wa Halmashauri napokea mshahara mdogo naomba unipunguzie kilo ya nyama.
 
-Hoja yako Ina msingi kabisa, Engineers wa Hizo agencies ulizotaja wanalipwa salary scale more than 2.2m, ambayo ni mara 2 ya halmashauri
  • hao Engineers wa kwenye agencies wana- miradi wanasimamia ambayo kimsingi kuna chance ya kupiga 'magumashi ' kwa contractors
  • Kazi wanazofanya engineers wa halmashauri na kwenye agencies ni zile zile,tena unakuta engineer wa halmashauri pengine ana kazi nyingi sana this is not fair.
-Tengeneza CV yako ishibe ukiona consultancy zimetangazwa kwenye agencies apply ukipata umetoboa wengi wanalipwa more than 10m per month as service fee ambayo ni zao la professional service.
 
Huko halmashauri hakuna anae lipwa Vizuri Mkuu, Woote ni Vumbi tupu.

Hata huko TARURA Enginneers Kinachowaokoa ni Perdiem tu, Ila 2M bado ni kisanga tu.

Tupambanie, halmashauri mishahara ipande ifanane na Taasisi, Uzuri wa Taasisi wanajipangia mishahara kulingana na mapato, ila Halmashauri mpaka msubiri mei mosi 🤣
 
Wakuu wa idara wanalipwa angalau kidogo vizuri 3.5m
 
-Hoja yako Ina msingi kabisa, Engineers wa Hizo agencies ulizotaja wanalipwa salary scale more than 2.2m, ambayo ni mara 2 ya halmashauri
  • hao Engineers wa kwenye agencies wana- miradi wanasimamia ambayo kimsingi kuna chance ya kupiga 'magumashi ' kwa contractors
  • Kazi wanazofanya engineers wa halmashauri na kwenye agencies ni zile zile,tena unakuta engineer wa halmashauri pengine ana kazi nyingi sana this is not fair.
-Tengeneza CV yako ishibe ukiona consultancy zimetangazwa kwenye agencies apply ukipata umetoboa wengi wanalipwa more than 10m per month as service fee ambayo ni zao la professional service.
Kwenye engineering hadi ufanye kazi za consultancy inabidi uwe senior kweli kweli na ERB wana vigezo vigumu kidogo ku certify consultancies.
 
U
Mimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali.

Mfano Engineer wa Halmashauri ajira mpya anaanza na mshahara wa Shilingi 1,110,000 kabla ya Makato, halafu Engineer Ajira mpya wa TARURA anaanza na mshahara 2,310,000 kabla ya makato...

Hii inasababisha Wahandisi wa Halmashauri kupitia kipindi kigumu na pia wengi wanaomba kuhama kwenda kwenye Taasisi kama TARURA au TANROADS na nyinginezo...

Sisi kama Wahandisi wa Halmashauri nasi pia tunaiomba Serikali yetu ituangalie ituongezee mishahara kama wanayopokea Wahandisi wenzetu waliopo kwenye Taasisi nyingine.

Hii itachochea utulivu na kazi zitafanyika kwa upendo...kwani hiki ni kilio kikubwa sana... kwani ukienda buchani hakuna bucha utauziwa nyama kwa kujitambulisha kwamba mimi ni Mhandisi wa Halmashauri napokea mshahara mdogo naomba unipunguzie kilo ya nyama.
Ukubwa wa kazi je?
 
Mimi nikiona kuna watu nawajua na sio ma engineer wametoboa maisha ndani ya miaka 4 hadi 6 kupitia kufungua kampuni za ujenzi na hawakuwa na mitaji mikubwa, halafu nikakuta kuna mtu tena ni engineer wa halmashauri ninayehisi ana nafasi kubwa kupata connection kibao za ujenzi serikalini, yupo analalamikia mshahara ni mdogo huwa nashangaa sana sana. Hivi inawezekana kuna watu duniani wameumbwa kulilia ajira maisha yao yote!???🤔
 
Mimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali.

Mfano Engineer wa Halmashauri ajira mpya anaanza na mshahara wa Shilingi 1,110,000 kabla ya Makato, halafu Engineer Ajira mpya wa TARURA anaanza na mshahara 2,310,000 kabla ya makato...

Hii inasababisha Wahandisi wa Halmashauri kupitia kipindi kigumu na pia wengi wanaomba kuhama kwenda kwenye Taasisi kama TARURA au TANROADS na nyinginezo...

Sisi kama Wahandisi wa Halmashauri nasi pia tunaiomba Serikali yetu ituangalie ituongezee mishahara kama wanayopokea Wahandisi wenzetu waliopo kwenye Taasisi nyingine.

Hii itachochea utulivu na kazi zitafanyika kwa upendo...kwani hiki ni kilio kikubwa sana... kwani ukienda buchani hakuna bucha utauziwa nyama kwa kujitambulisha kwamba mimi ni Mhandisi wa Halmashauri napokea mshahara mdogo naomba unipunguzie kilo ya nyama.
Kwani huko Halmashauri mnafanya kazi gani?
 
Back
Top Bottom