Sielewi chochote kuhusu mambo ya ajira za serikali. Niulize kuhusu ajira za sekta binafsiHao wakuu wa vitengo ndo akina nan pale halmashauri?
Sielewi chochote kuhusu mambo ya ajira za serikali. Niulize kuhusu ajira za sekta binafsiHao wakuu wa vitengo ndo akina nan pale halmashauri?
Hapo huo mshahara PAYE yake nizaidi ya laki 8, bado NSSF, bado bima ya afya hapo hujaweka bodi ya mkopo kwa wanaodaiwa. Take home hapo nipungufu ya mil 2.1, tungesema iyo pesa ni nyingi kama hio 3 or 3.5 ingekua baada ya makato lkn kama ni kabla ya makato bado ni ndogo.Kwa tanzania huo ni mshahara mkubwa sana.. wtz wachache sanaaaaa wanaweza kutengeneza mil 3 ndani ya mwez mmoja.
Mjifunze kuwa na shukrani
1. Nakushauri uwe na taarifa sahihi kabla ya kuweka maoni yako kwenye hilo eneo.Hapo huo mshahara PAYE yake nizaidi ya laki 8, bado NSSF, bado bima ya afya hapo hujaweka bodi ya mkopo kwa wanaodaiwa. Take home hapo nipungufu ya mil 2.1, tungesema iyo pesa ni nyingi kama hio 3 or 3.5 ingekua baada ya makato lkn kama ni kabla ya makato bado ni ndogo.
Kabisa ,watu wanaona figure tu mshahara gross 2.3m kumbe wakilima makato anabakiwa na net ya 1.5m ,Engineers wa Sector binafsi wanakula wengine hadi 8m net kwa hao juniors ila kwa maseniors wanacheza hadi 20m.Huko halmashauri hakuna anae lipwa Vizuri Mkuu, Woote ni Vumbi tupu.
Hata huko TARURA Enginneers Kinachowaokoa ni Perdiem tu, Ila 2M bado ni kisanga tu.
Tupambanie, halmashauri mishahara ipande ifanane na Taasisi, Uzuri wa Taasisi wanajipangia mishahara kulingana na mapato, ila Halmashauri mpaka msubiri mei mosi 🤣
Mshahara unaozidi TZS 1,000,000: Unakatwa TZS 128,000 jumlisha asilimia 30 ya kiasi kinachozidi TZS 1,000,000.1. Nakushauri uwe na taarifa sahihi kabla ya kuweka maoni yako kwenye hilo eneo.
2. Kodi au hiyo PAYE haifiki hata laki 4
3. Kama anadaiwa na bodi ya mikopo unatakiwa kuelewa deni lake litakuwa linazidi kupungua kadri anavyolipa.
4. Watumishi wa umma hawachangii kupitia NSSF bali PSSSF. NSSF ni kwa walio sekta binafsi.
Upo sahihi mkuu.Mshahara unaozidi TZS 1,000,000: Unakatwa TZS 128,000 jumlisha asilimia 30 ya kiasi kinachozidi TZS 1,000,000.
Haifiki vipi laki nne mkuu PAYE?.
Mganga mkuu wa wilaya[DMO],Afisa elimu wilaya msingi,Afisa elimu wilaya Sec,Afisa kilimo wilaya,Afisa mifugo wilaya,Afisa Ardhi wilaya,Afisa Utumishi wilaya...wengine siwakumbuki vizuri..Hao ndo wanalamba Leaders salary scale[LSS]Hao wakuu wa idara ndo akina nan pale halmashauri?
AiseeMganga mkuu wa wilaya[DMO],Afisa elimu wilaya msingi,Afisa elimu wilaya Sec,Afisa kilimo wilaya,Afisa mifugo wilaya,Afisa Ardhi wilaya,Afisa Utumishi wilaya...wengine siwakumbuki vizuri..Hao ndo wanalamba Leaders salary scale[LSS]
Hao ndo wakuu wa Idara mzee,DMO ni Boss kule idara ya Afya..anasimamia masuala yote ya Afya kuanzia Hosp ya wilaya,vituo vya Afya Mpaka zahanati..Aisee
Bado salary Ndogo, wanazidiwa na Senior engineer I wa TaruraMganga mkuu wa wilaya[DMO],Afisa elimu wilaya msingi,Afisa elimu wilaya Sec,Afisa kilimo wilaya,Afisa mifugo wilaya,Afisa Ardhi wilaya,Afisa Utumishi wilaya...wengine siwakumbuki vizuri..Hao ndo wanalamba Leaders salary scale[LSS]
Ni sawa lakini wana posho pia mkuu,kuna House allowance,mawasiliano,Usafiri maalumu wa mkuu wa idara n.kBado salary Ndogo, wanazidiwa na Senior engineer I wa Tarura
Afisa biashara wilayaMganga mkuu wa wilaya[DMO],Afisa elimu wilaya msingi,Afisa elimu wilaya Sec,Afisa kilimo wilaya,Afisa mifugo wilaya,Afisa Ardhi wilaya,Afisa Utumishi wilaya...wengine siwakumbuki vizuri..Hao ndo wanalamba Leaders salary scale[LSS]
Tarura pia wanazo mbona.Ni sawa lakini wana posho pia mkuu,kuna House allowance,mawasiliano,Usafiri maalumu wa mkuu wa idara n.k
Ni haki yenu kulipwa hiyo Mishahara mkuu, sisi wahandisi huwa tunafungua Makampuni yetu ya kihandisiMimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali.
Mfano Engineer wa Halmashauri ajira mpya anaanza na mshahara wa Shilingi 1,110,000 kabla ya Makato, halafu Engineer Ajira mpya wa TARURA anaanza na mshahara 2,310,000 kabla ya makato...
Hii inasababisha Wahandisi wa Halmashauri kupitia kipindi kigumu na pia wengi wanaomba kuhama kwenda kwenye Taasisi kama TARURA au TANROADS na nyinginezo...
Sisi kama Wahandisi wa Halmashauri nasi pia tunaiomba Serikali yetu ituangalie ituongezee mishahara kama wanayopokea Wahandisi wenzetu waliopo kwenye Taasisi nyingine.
Hii itachochea utulivu na kazi zitafanyika kwa upendo...kwani hiki ni kilio kikubwa sana... kwani ukienda buchani hakuna bucha utauziwa nyama kwa kujitambulisha kwamba mimi ni Mhandisi wa Halmashauri napokea mshahara mdogo naomba unipunguzie kilo ya nyama.
Kwa huu uandishi huwezi kuwa mhandisi. Itaje hiyo engineering yako unayoiona ni bora kuliko Civil.Ni haki yenu kulipwa hiyo Mishahara mkuu, sisi wahandisi huwa tunafungua Makampuni yetu ya kihandisi
Kama umesoma ule uhandisi urahisi wa Civil Engineering - huu tunaoiita Uhandisi wa Kimama ambao ndiyo rahisi kuliko zote Duniani unastahili mshahara huo, toshekeni na mishahara yenu
Karibu kwenye Uhandisi niliousomea tupige hela, Miradi kama yote