A
Wakuu wa idara wanalipwa angalau kidogo vizuri 3.5mHuko halmashauri hakuna anae lipwa Vizuri Mkuu, Woote ni Vumbi tupu.
Hata huko TARURA Enginneers Kinachowaokoa ni Perdiem tu, Ila 2M bado ni kisanga tu.
Tupambanie, halmashauri mishahara ipande ifanane na Taasisi, Uzuri wa Taasisi wanajipangia mishahara kulingana na mapato, ila Halmashauri mpaka msubiri mei mosi 🤣
Kwenye engineering hadi ufanye kazi za consultancy inabidi uwe senior kweli kweli na ERB wana vigezo vigumu kidogo ku certify consultancies.-Hoja yako Ina msingi kabisa, Engineers wa Hizo agencies ulizotaja wanalipwa salary scale more than 2.2m, ambayo ni mara 2 ya halmashauri
-Tengeneza CV yako ishibe ukiona consultancy zimetangazwa kwenye agencies apply ukipata umetoboa wengi wanalipwa more than 10m per month as service fee ambayo ni zao la professional service.
- hao Engineers wa kwenye agencies wana- miradi wanasimamia ambayo kimsingi kuna chance ya kupiga 'magumashi ' kwa contractors
- Kazi wanazofanya engineers wa halmashauri na kwenye agencies ni zile zile,tena unakuta engineer wa halmashauri pengine ana kazi nyingi sana this is not fair.
Ukubwa wa kazi je?Mimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali.
Mfano Engineer wa Halmashauri ajira mpya anaanza na mshahara wa Shilingi 1,110,000 kabla ya Makato, halafu Engineer Ajira mpya wa TARURA anaanza na mshahara 2,310,000 kabla ya makato...
Hii inasababisha Wahandisi wa Halmashauri kupitia kipindi kigumu na pia wengi wanaomba kuhama kwenda kwenye Taasisi kama TARURA au TANROADS na nyinginezo...
Sisi kama Wahandisi wa Halmashauri nasi pia tunaiomba Serikali yetu ituangalie ituongezee mishahara kama wanayopokea Wahandisi wenzetu waliopo kwenye Taasisi nyingine.
Hii itachochea utulivu na kazi zitafanyika kwa upendo...kwani hiki ni kilio kikubwa sana... kwani ukienda buchani hakuna bucha utauziwa nyama kwa kujitambulisha kwamba mimi ni Mhandisi wa Halmashauri napokea mshahara mdogo naomba unipunguzie kilo ya nyama.
Jitahidi usajiliwe as Professional engineer, mbona kuna viijana wanafanya consultanciesKwenye engineering hadi ufanye kazi za consultancy inabidi uwe senior kweli kweli na ERB wana vigezo vigumu kidogo ku certify consultancies.
Bado mshahara mdogo.Wakuu wa idara wanalipwa angalau kidogo vizuri 3.5m
Kwani huko Halmashauri mnafanya kazi gani?Mimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali.
Mfano Engineer wa Halmashauri ajira mpya anaanza na mshahara wa Shilingi 1,110,000 kabla ya Makato, halafu Engineer Ajira mpya wa TARURA anaanza na mshahara 2,310,000 kabla ya makato...
Hii inasababisha Wahandisi wa Halmashauri kupitia kipindi kigumu na pia wengi wanaomba kuhama kwenda kwenye Taasisi kama TARURA au TANROADS na nyinginezo...
Sisi kama Wahandisi wa Halmashauri nasi pia tunaiomba Serikali yetu ituangalie ituongezee mishahara kama wanayopokea Wahandisi wenzetu waliopo kwenye Taasisi nyingine.
Hii itachochea utulivu na kazi zitafanyika kwa upendo...kwani hiki ni kilio kikubwa sana... kwani ukienda buchani hakuna bucha utauziwa nyama kwa kujitambulisha kwamba mimi ni Mhandisi wa Halmashauri napokea mshahara mdogo naomba unipunguzie kilo ya nyama.
Kwa tanzania huo ni mshahara mkubwa sana.. wtz wachache sanaaaaa wanaweza kutengeneza mil 3 ndani ya mwez mmoja.Wakuu wa idara wanalipwa angalau kidogo vizuri 3.5m
Hao wakuu wa idara ndo akina nan pale halmashauri?Kwa tanzania huo ni mshahara mkubwa sana.. wtz wachache sanaaaaa wanaweza kutengeneza mil 3 ndani ya mwez mmoja.
Mjifunze kuwa na shukrani