Serikali itumie njia hii kuwakamata hawa wahuni

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.
Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi .
Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu.
Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania.

Hii fedha bila shaka ipo mtaani inazunguka kwenye mizunguko ya kawaida.
Atakayekutwa nayo mahali popote analipia bidhaa ashikwe asiachiwe mpaka amwonyeshe aliyempa. Chain iendelee mpaka apatikane mtu wa mwisho huyo ndo apewe kesi ya ugaidi.
Pepo wa vurugu anatolewa kwa vurugu.

Kijana mmoja baada ya kuvuta bange shule ya bweni usiku akanya mahali pa wazi kwa kusudi walimu ili kukomesha ule upuuzi ikawapanga mstari wanafunzi wote washike mavi kwa mkono kisha wapasiane mpaka shimo la choo lilipo. Mpaka kufika mtu wa mwisho mavi yalipotelea mkono mwa wanafunzi. Kuanzia siku ile hata aliyekojoa mahali si sahihi alishikwa na kuadhibiwa na wanafunzi wenyewe.
1768752671916.jpg
 
View attachment 3531539
Kwanini wapewe kesi ya ugaidi
 
Wewe umezipata wapi?
 
Ianze na wewe!!
 
AKILI ZAKO ZA KIANITHI
 
Sasa nchi yenyewe inaongozwa na wahuni na vilaza! Kuna kosa gani hapo? Waache tu waandike mpaka siku tutakapo wapata viongozi halisi waliochaguliwa na wananchi, hayo yote yatakwishwa.
 
Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.
Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi .
Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu.
Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania.

Hii fedha bila shaka ipo mtaani inazunguka kwenye mizunguko ya kawaida.
Atakayekutwa nayo mahali popote analipia bidhaa ashikwe asiachiwe mpaka amwonyeshe aliyempa. Chain iendelee mpaka apatikane mtu wa mwisho huyo ndo apewe kesi ya ugaidi.
Pepo wa vurugu anatolewa kwa vurugu.

Kijana mmoja baada ya kuvuta bange shule ya bweni usiku akanya mahali pa wazi kwa kusudi walimu ili kukomesha ule upuuzi ikawapanga mstari wanafunzi wote washike mavi kwa mkono kisha wapasiane mpaka shimo la choo lilipo. Mpaka kufika mtu wa mwisho mavi yalipotelea mkono mwa wanafunzi. Kuanzia siku ile hata aliyekojoa mahali si sahihi alishikwa na kuadhibiwa na wanafunzi wenyewe.
View attachment 3531539

Wewe ni hakimu uchwara, tanzania ina sheria, watashitakiwa sawa na sheria. Tunajua mfumo ni kandamizi ndo maana watu wanaamua kufanya wayafanyayo.
 
Back
Top Bottom