Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kwanini wapewe kesi ya ugaidiKuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.
Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi .
Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu.
Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania.
Hii fedha bila shaka ipo mtaani inazunguka kwenye mizunguko ya kawaida.
Atakayekutwa nayo mahali popote analipia bidhaa ashikwe asiachiwe mpaka amwonyeshe aliyempa. Chain iendelee mpaka apatikane mtu wa mwisho huyo ndo apewe kesi ya ugaidi.
View attachment 3531539
Nilisikia gen z wanjadili hii mbinu huko tiktok kumbe wapo serious 😃Aliyeanzisha wazo hilo amefanya vyema, very good idea.
Siku hizi kesi ni za kupeana tu mtu akijisikia, hamna utawala wa sheria na hakiKwanini wapewe kesi ya ugaidi
Wajinga sana hawaSiku hizi kesi ni za kupeana tu mtu akijisikia, hamna utawala wa sheria na haki
Hii ni hatariKuna mtu Arusha amenambia pesa zilizoandikwa zinazidi kuongezeka kitaaa
Wewe umezipata wapi?Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.
Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi .
Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu.
Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania.
Hii fedha bila shaka ipo mtaani inazunguka kwenye mizunguko ya kawaida.
Atakayekutwa nayo mahali popote analipia bidhaa ashikwe asiachiwe mpaka amwonyeshe aliyempa. Chain iendelee mpaka apatikane mtu wa mwisho huyo ndo apewe kesi ya ugaidi.
Pepo wa vurugu anatolewa kwa vurugu.
Kijana mmoja baada ya kuvuta bange shule ya bweni usiku akanya mahali pa wazi kwa kusudi walimu ili kukomesha ule upuuzi ikawapanga mstari wanafunzi wote washike mavi kwa mkono kisha wapasiane mpaka shimo la choo lilipo. Mpaka kufika mtu wa mwisho mavi yalipotelea mkono mwa wanafunzi. Kuanzia siku ile hata aliyekojoa mahali si sahihi alishikwa na kuadhibiwa na wanafunzi wenyewe.
View attachment 3531539
Ianze na wewe!!Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.

AKILI ZAKO ZA KIANITHIKuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.

Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.