Serikali itumie njia hii kuwakamata hawa wahuni

Mwalimu yaan umeongea kisimpo sana utazan tz inaukubwa wa shule,eti waulize kila mtu nani kampa eti iwe chain,kwan we unazan kila unaefanya nae biashara mnafahamiana
 
Wewe ni zaidi ya mpumbavu.
 
Watu hawataishia kuandika kwenye noti tu.

Wataandika mpaka kwenye matako ya machawa ukiwamo wewe.
 
Chai
 
uku kwetu hazijafika, binafsi ndo naziona leo humu jf, but vijana wameamua na wewe uliyepost hizo noti umewaongezea chura hatua
 
ujumbe umefika hata mimi nitachukua laki moja nitaandika jumbe mbalimbali za kuwaondoa samia muuwaji na ccm wauwaji alafu nitawapa masikini wa ccm wazisambaze laazima mashetani ya ccm tuyaondoe katika taifa letu yametia laana ardhi na taifa letu
 
Nyie wajinga hamuwezi kuiondoa CCM trust me.
Nyie ni wapumbavu na hamna akili.
Mmekosa focus na maono kazi yenu ni kudandia kila jambo.
Leo hii tunaweza kuwachallenge kwa mwana CCM kuanzisha chama kipya, miezi miwili kazi yenu itakuwa kujadili jambo hilo tu.
Kwa ufupi ni Matahira
 
Noti ya elfu kumi itapendeza ujumbe uwe na tusi ili itrend haraka

bi chura are you there?
 
Yani hapo hakuna come back mana huwez trace ni nani aliye kupa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…