Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na cheap labour yenye akili ya ubunifu sio ya kindezi kama sisi.Wazungu wanatengeneza roboti siku hizi. Roboti zinafanya kazi bure, hazichoki, hazihitaji bima ya afya, wazungu hawana haja na Waafrika. Hayo ni mawazo ya kizamani siyo siku hizi. Cheap labor zilizokuwa zinahitajika ulaya zamani, siku hizi zimekuwa automated.
Sahihi.Waende wakalime ardhi imejaa,wabuni miradi!Tatizo ni kwamba tunachagua kazi.Fanya chochote,bora mkono uende kinywani.
Mjini na vijijini ni wapi kuna maisha duni na chakula cha shida?Udumavu ni siasa za NGOs kula pesa za donors. Vijijini wanakula vyakula vya aina mbalimbali na hawana kipimo.
Nenda familia za mjini Asubuhi mkate na kikombe kidogo cha chai ya rangi, mchana ugali dagaa na mchicha, jioni wali maharage na kipande (robo) cha chungwa. Ikinunuliwa nyama vinahesabiwa vipande. Matokeo yake ndo hayo nguvu hafifu za kiume.
Kwa hizi akili za wanyonge zilizoharibiwa na mwendazake ni serikali gani itafanya hivyo ikaeleweka?😂😂Kwa nini unatofautisha mtu na mwanamke?
Kuna njia mbalimbali za kufanikisha hili
1.Serikali inaweza kuongeza umri wa ndoa hadi miaka 21
2.Serikali inaweza kutoa elimu bure na scholarships kwa watoto wawili tu kwa wengine wa ziada ikaweka ada kubwa. Pia ikatoa mikopo ya elimu kwa familia zenye watoto wawili tu.
3.Serikali inaweza kutoa nafuu ya kodi kwa familia zenye watoto wawili tu.
4.Serikali inaweza kutoa huduma bure za uzazi kwa familia zenye watoto wawili tu na wengine baada hapo wakaweka gharama kubwa.
Kanda ipi hiyo, kanda ya ziwa?Wale watu hawazaliani kama uyoga na wako vizuri kiuchumi kuanzia family level.
Ktk kusoma kwangu enzi zangu sijawahi kukutana na rafiki anayetoma kanda hizo akaniambia kuwa kwao ni watoto saba au 10. Sana sana utasikia siai kwetu ni watoto 3 wakiwa wengi ni wa nne. Na kila mtoto amesoma vizuri au kaka au Dada ana nyazifa nzuri kielimu na kiuchumi.
Sisi akina kajamba nani ambao wazazi walikuqa kwenye ligi ya kuzaa hata boom tu la chuo ndilo lilikuwa linatumika kusomesha wadogo zetu na kutibia wengine wakiumwa huko vijijini.
Ukishindwa kupangilia Idadi ya familia kuoingana na uwezo wako basi umepanga kuwa maskini maiaha yako yoote.
Unashauri tuzae wangapi?Tz Bado watu hawana elimu ya kujua athari za popln kubwa! Kukiwa na mapori ndiyo sababu ya kuzaa kama mbwa twitu? Kanda ya ziwa mama 1 anazaa watoto 17 kweli ni haki/halali hiyo? Wa tz tuache kuzaa kama panya!
Watakuja kununua wakati hivi sasa Waafrika wanafia baharini wakijaribu kwenda Ulaya? Tena wakifika wengi wanarudishwa, Nani anunue Waafrika?🤣🤣 Wakati maroboti yapo?Mtaji wa AFRICA Kwa sasa ni population kuwa kubwa, muda Si mrefu hao wa magharibi watakuja kununua labor kwetu. Mabinti zao wamegoma kuzaa.
Si bora uzae hivyo ukawa na uwezo pia. Lakini mtu anafyatua halafu watoto wanaishi in Hell worldTz Bado watu hawana elimu ya kujua athari za popln kubwa! Kukiwa na mapori ndiyo sababu ya kuzaa kama mbwa twitu? Kanda ya ziwa mama 1 anazaa watoto 17 kweli ni haki/halali hiyo? Wa tz tuache kuzaa kama panya!
Kanda ya kusiniKanda ipi hiyo, kanda ya ziwa?
Town Good life asikwambie mtu.Mjini na vijijini ni wapi kuna maisha duni na chakula cha shida?
Unaongea kw takwimu rasmi au kwa story za vijiweni?
Mbona kanda ya kusini nasikia ndio kuna wtoto wengi hawaendi shule, labda ndio inachangia madarasa kuwa na wanafunzi wachache kuliko kanda ya ziwaKanda ya kusini
Kanda ya Kaskazini ndio wanazaa kwa kiasi kutokana na uwezo wa familia matokeo yake wana familia zilizostawi vizuri sana.Mbona kanda ya kusini nasikia ndio kuna wtoto wengi hawaendi shule, labda ndio inachangia madarasa kuwa na wanafunzi wachache kuliko kanda ya ziwa
Unashauri tuzae wangapi?
Dah!...fanya angalau 5Wawili
Mi nimetokea kanda ya kaskazini,Kanda ya Kaskazini ndio wanazaa kwa kiasi kutokana na uwezo wa familia matokeo yake wana familia zilizostawi vizuri sana.
Huku kwetu kusini ni majanga.
Wanashindana kuitiisha dunia lakini inaonekana Mungu kawakataa. Maisha magumu sana
Dah!...fanya angalau 5
Kaskazini Thumbs up. Watu wengine wamebaki kuw ana wivu na nyinyi lakini wazee wenu walishtuka mapema sana.Mi nimetokea kanda ya kaskazini,
Ukilinganisha na kipindi chetu tukiwa tunakua ambapo nyumba zilikuwa na watoto wengi na hata mkieda mtaani mnaunda timu kubwa ya kucheza mpira, kwa sasa hivi hali inatisha, hakuna watu, Nyumba zimebaki na wazee, vijana na watoto ni wa kuhesabu, na kuna nyumba nyingine hazina watu kabisa, actually miaka 15-20 ijayo nyumba nyingi zitakuwa zimebaki mahame maana wazee waliopo watakuwa wamekufa
unaweza ukakatokwa na machozi hasa ukikumbuka utotoni kulivyokuwa kumechangamka
Hii lakini inaweza kuwa na faida kimazingira maana kuna ukijani mwingi na vyanzo vya maji vimekuwa vikirudi, maana population kubwa inaua sana uoto na vyanzo vya maji
Yaani katika sensa ya mwaka huu nahisi Kilimanjaro itakokuwa na ongezeko hasi la watu
Mkuu population kupungua ni very depressing, ni jambo la fadhaa na huzuniKaskazini Thumbs up. Watu wengine wamebaki kuw ana wivu na nyinyi lakini wazee wenu walishtuka mapema sana.
Mkuu population kupungua ni very depressing, ni jambo la fadhaa na huzuni
Mimi naunga mkono kuwa na population ambayo ni constant au inayokuwa kwa kasi ndogo, sio inayopungua. Inayoungua ni mbaya kama inayokuwa kwa kasi kubwa