King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Uliochoandika hakieleweki. Hujui matumizi ya angalau in english at least rudi shule!Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi.Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miladi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha.Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi .
Asanteni.
Ujinga ni mzigo kuelimimika sio kukariri tumia akili yako kuitambua tz walau kidogo Jambo lolote uamuliwa na uhitaj na ugaviKatika watu vilaza unashika namba za juu sana. Hiyo hela ya kujenga madarasa unayoisema kutoka kwa serikali inatoka wapi kama sio population?? Umeshuhudia makato ya tozo kutoka kwenye population ndani ya mwezi tu yanaenda kujenga madarasa 500+ na vutuo vya afya vya kumwaga. Unafikiri mkizaa hao watoto wawili wawili hiyo population ya kutosha kufanya maendeleo mtaiotoa wapi??
Watu ndio mtaji wa kwanza kiuchumi (kama taifa hakitaingiliwa na mataifa makubwa kwa vita, magonjwa ya kutengeneza,n.k). Angalia nchi zote zilizopiga hatua kubwa kiuchumi duniani mfano China, USA, India, Nigeria na nyingine zina watu wengi sana. Wewe unadanganywa na akina Bill Gates ambao wanajua wanachokitafuta wanapokwambia watu wakiwa wengi hali itakuwa mbaya.
Acha upopoma. Mtuache tuzae. Bila kuwa na watu hayo maendeleo ni ya nini??
China wameachana na hiyo ya watoto 2, corona imewapiga na nchi yao pia ina wazee wengi sana kuliko vijana nguvu kazi hakuna... ina ajiri watu kutoka nchi za jirani..Wawili imekuwa China? Mpemba hamna hamna 10 kwa mke mmoja ,akiwa na wake wanne basi anapiga 50.
Yes ndio kinachofanyika immigrants/expat..Acha huo upuuzi umewacost ulaya hadi sasa wanachukua wakimbizi toka afrika na Uarabuni kupata nguvu kazi
Umeuliza swali la msingi sana maana mwanaume mmoja anaweza kuwa na wake hadi watatu na mwanamke anaweza kuwa aliolewa akazaa watoto wawili kisha akaachika na kuja kuolewa tena na mwanaume ambaye hana kabisa mtoto.Iwe watoto wawili kwa kila mwanamke au kila mwanamme?
Ndiyo.Hali mbaya kwa Nani? Kuna mtu kakuomba akupe watoto wake umsaidie kulea?
Mkuu ni kweli population ya Tanzania inakua haraka sana. Kuna haja ya serikali kuwaekimisha watu ili wazae watoto wanaonudu kuwatunza vizuri. Watu wengi Bongo wanaamini kama mlo unapatikana then everything is done. Mungu atasadia.Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi.Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miladi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha.Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi .
Asanteni.
Watoto wa mitaani siyo matokeo ya kuzaa watoto wengi. Utakuta huyo Ni mtoto pekee Ila yupo mitaani sababu ya mimba zisizotarajiwa,;kuvunjika kwa ndoa, umaskini uliokithiri, ukatili wa wazazi na mambo kama hayo.Ndiyo.
Isitoshe hapa jijini Mwanza nakutana na watoto omba omba mitaani.
Ni wengi hadi inatia huruma, wengine wana miaka 6.
Ni ukatili kuzaa mtoto bila kuwa na plan ya future yake. Anaishia kuwa mtoto wa mtaani, kisha mdokozi na kibaka halafu wananchi wenye hasira wanamuua.
we Ni akili ndogo kusema watu wasizae watoto wengi Bali serikali inatakiwa iongeze production ya social services, kutanua na kuimarisha fursa za uchumi kwa Kasi ili hao wanaozaliwa waje kuwa productive.Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi.Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miladi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania H