Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
resources tunazo nyingi sana za kuweza kuhudumia population ya billion people,tunachotakiwa Ni kupanua na kuboresha huduma za afya, kurekebisha mfumo wa elimu ili tuwe na elimu ya kisasa. kama madini, mistu, mafuta, gesi, water bodies , ardhi yenye rutuba, vivutio vya utalii vyote tunavyoSerikali isiingilie suala la uzazi lkni Vilevile watu wajitambue...
Kuna watu wanawaza ardhi tu,,jena una resources za kustahimili population hio yote!milioni 60 yenyewe hali ngumu,,tukifika milioni 100 sitamani kuona itakuaje
Mimi nilifika mji mdogo wa isaka, kila mwanamke inayokutana naye kama hanyonyeshi basi ana mimba. Hali kanda ya ziwa inatishaNdugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi.Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miladi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha.Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi .
Asanteni.
Hujui ulinenaloNdugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi.Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miladi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha.Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi .
Asanteni.
Asante kwa minajili ya Dr. Remy Ongala Super Matimila bandMaskini na familia yake tajiri na Mali zake
Kesho mtasema matajiri wawekewe kiwango cha kumiliki pesa
Ni ujinga sana kuleta kiumbe duniani wakati haujamuandalia mazingira ya kulea,ni utesaji,ujinga na laana. Ni kutengeneza majambazi,magaidi, dada poa n.k. tuepuke huu ujinga!Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
ππβUmeuliza swali la msingi sana maana mwanaume mmoja anaweza kuwa na wake hadi watatu na mwanamke anaweza kuwa aliolewa akazaa watoto wawili kisha akaachika na kuja kuolewa tena na mwanaume ambaye hana kabisa mtoto.
Naisikitikia Sana nchi yetu Mana watu wanabeza ushauri wangu wakati watoto wanaozaliwa hata mahitaji mhimu hawapati.Ukicheki watoto wengi wametelekezwa au wanalelewa na bibi kijijini ajabu Hawa ndo wanadai eti nchi kubwa Sana hii rasilimali kibao,ni ajabu Sana.Kwa kwel hali ni mbaya,ukiwa hospital kitengo cha watoto unaweza fanya kazi mpaka ukasahau kunywa chai,kuna mijitu mpaka unataman uipige makofi ni masikin la kutupwa hata kujenga limeshndwa lakin linazaa asubuhi na mchana
Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
mwendazake aliwaambie wafyatue, mana utajiri wa nchi ni utajiri wa watuNdugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Sio hivo mkuu Wala sikupangii tatizo lipo kuzaa watoto na kuwatelekeza .Zaa watoto ambao unaweza watunza na kuwaendeleza kielimu na kiuchumi.Cheki mtaana kwako watoto wengi wanalelewa na bibi Sasa huo ni ustarabu kweli?Hatupangiwi....acha kuingilia mambo ya watu
Utajiri gani wa watu ambao ni masikini? Hata mstaafu Jk Kikwete mwaka 2012 kipindi anapokea riport ya sensa ya watu na makazi alionya ongezeko kubwa la watu wakati uchumi ni mbovu.mwendazake aliwaambie wafyatue, mana utajiri wa nchi ni utajiri wa watu
Mkuu ulishawahi kufuga sungura au unajua sungura anazaa vitoto vingapi kwa uzao?.Tunazaliana kama Sungura.