Serikali itunge sheria kuhusu uzazi wa mpango angalau watoto wawili kila familia maana kasi ya uzazi Tanzania inatisha

Ila unapo kuwa na watu wengi ambao ni jobless si mtaji tena ni hasara kwa taifa
Utakuwaje na watu jobless Afrika ambako maji yapo na ardhi ipo? Hali hiyo itakuwa imesababishwa na viongozi wajinga na wapumbavu!

Wananunua ndege ya mabilioni kwa cash wakati wangeweza kununua power tiller elfu kumi na pembejeo zingine za kilimo wakawapa vijana wapige kazi!

Shithole country!
 
Acha watu wazaliane sifa sifa za kijinga mnazoiga kwamba uzazi wa mpango,una haki gani ya kuongea hvo,wangefanya hvo pengne tangu mwanzo usinge kuwepo wewe,unaweza ukasema wewe n wa kwanza lkn pengine bibi yako ni wa kumi na mbili,unauwezo wa kujaza dunia wewe!? Dunia hii kwa umri wake inakadiliwa zaidi ya binadam Bilione 124 wamewahi kuishi duniani leo hii unareta upumbavu wa uzazi wa mpango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole bana. Usichukulie dhati sana haya mambo.

Wewe endelea kufyatua tu.
 
Mtaji wa AFRICA Kwa sasa ni population kuwa kubwa, muda Si mrefu hao wa magharibi watakuja kununua labor kwetu. Mabinti zao wamegoma kuzaa.
 
Mtaji wa AFRICA Kwa sasa ni population kuwa kubwa, muda Si mrefu hao wa magharibi watakuja kununua labor kwetu. Mabinti zao wamegoma kuzaa.
Wazungu wanatengeneza roboti siku hizi. Roboti zinafanya kazi bure, hazichoki, hazihitaji bima ya afya, wazungu hawana haja na Waafrika. Hayo ni mawazo ya kizamani siyo siku hizi. Cheap labor zilizokuwa zinahitajika ulaya zamani, siku hizi zimekuwa automated.
 
Ndio maana hii Nchi haisogei
 
Kwa uelewa wako mdogo hujui Nchi za magharibi Kwa sasa more than 50 percent ni above 55 years? Na vijana wengi wameamua hawazai watoto tena?Hao ndo watacontrol robots.?
 
Kwa uelewa wako mdogo hujui Nchi za magharibi Kwa sasa more than 50 percent ni above 55 years? Na vijana wengi wameamua hawazai watoto tena?Hao ndo watacontrol robots.?
Hao hao unaosema watanunua cheap labor yenu ndiyo hao hao wata control robots. Wakimalizika na Europe inamalizika. Unafikiri Ufaransa au UK wazungu wote wakifa zitabaki tena kuwa kama Ufaransa na UK? Au mtaziharibu hizo nchi kama mlizoharibu nchi za Afrika mlizoachiwa na hao hao wakoloni.
 
Ni amri ya Mungu watu wazae. Kaz pia wafanye sana Hasa kilimo Cha kisasa.
 
Fyatueni , elimu ni bure - Magufuli
 
Ni amri ya Mungu watu wazae. Kaz pia wafanye sana Hasa kilimo Cha kisasa.
Sawa lakini usitegemee wazungu wataajiri vizazi vyako. Kilimo cha kisasa siku hizi kinafanywa na mashine. Trekta linalima, linapanda mbegu, linavuna, hakuna haja ya kuajiri vijakazi kibao kufanya kazi.
 
Africa ni TAJIRI, tunaponzwa na viongozi wabovu ndo wanaleta umaskini. Wazae sana. Achana na wazungu wanarithisha mbwa Mali sababu hawatak kuzaa.
 
Africa ni TAJIRI, tunaponzwa na viongozi wabovu ndo wanaleta umaskini. Wazae sana. Achana na wazungu wanarithisha mbwa Mali sababu hawatak kuzaa.
Kwa nini unasubiri viongozi wakati utajiri upo? Na kama unaona viongozi wabovu kwa nini unataka watu wazae sana? Wataishije?
 
Kwa nini unasubiri viongozi wakati utajiri upo? Na kama unaona viongozi wabovu kwa nini unataka watu wazae sana? Wataishije?
Wazae tu, dawa ya viongozi uchwara, waizi imechemka. Zaeni Watanzania tutasomesha watoto msijal
 
Kwa nini unasubiri viongozi wakati utajiri upo? Na kama unaona viongozi wabovu kwa nini unataka watu wazae sana? Wataishije?
Wazazi wako wangepanga uzaz usingezaliwa. Kansa ya uzaz inashamiri Africa nowadays sababu ya kujizuia kuzaa na kupanga uzaz.
 
Mathanzua na safuher mnakubaliana na hoja ya huyu jamaa ?...
 
Wazazi wako wangepanga uzaz usingezaliwa. Kansa ya uzaz inashamiri Africa nowadays sababu ya kujizuia kuzaa na kupanga uzaz.
Kansa ya uzazi inaletwa na magonjwa ya zinaa kama HPV na mengineyo. Usisingizie mipango ya uzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…