Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ukatili wa kiwango cha juu zaidi ni kuzaa watoto kisha uje kuwalaza njaa, ushindwe kuwasomesha au kuwaachia urithi boraMkuu napingana na dhana ya uzazi wa mpango. Nyuma yake kuna roho ya ukatili na uaji.
Sungura wanazaliana... ushawahi kusikia kila wametapakaa kila mahali ukiweka mguu unawakanyaga?
Maskini anayetaka kupunguza idadi ya watoto wa kuzaa anajipunguzia powerful resources!
Nchi masikini inayotaka kupanga uzazi inajiangamiza yenyewe!
Sungura wanawindwa na kuliwa na binadamu na wanyama wengine, sisi binadamu tushatoka huko
Watoto wengi kwa masikini ni silaha ya kumuangamiza mwenyewe, hataweza kujiletea maendeleo atakuwa ni kutunza watoto tu