Serikali itunge sheria kuhusu uzazi wa mpango angalau watoto wawili kila familia maana kasi ya uzazi Tanzania inatisha

Mkuu napingana na dhana ya uzazi wa mpango. Nyuma yake kuna roho ya ukatili na uaji.
Sungura wanazaliana... ushawahi kusikia kila wametapakaa kila mahali ukiweka mguu unawakanyaga?
Maskini anayetaka kupunguza idadi ya watoto wa kuzaa anajipunguzia powerful resources!
Nchi masikini inayotaka kupanga uzazi inajiangamiza yenyewe!
Ukatili wa kiwango cha juu zaidi ni kuzaa watoto kisha uje kuwalaza njaa, ushindwe kuwasomesha au kuwaachia urithi bora
Sungura wanawindwa na kuliwa na binadamu na wanyama wengine, sisi binadamu tushatoka huko
Watoto wengi kwa masikini ni silaha ya kumuangamiza mwenyewe, hataweza kujiletea maendeleo atakuwa ni kutunza watoto tu
 
Kama sungura anavyowindwa binadamu naye anawindwa na vingi!
Lemme tell you; kama hofu ya kuogopa watoto wengi ni kushindwa kuwahudumia basi tuwekeze katika kuwapa vijana wetu elimu bora ili wasiwe wajinga na wazembe, waje kuwa na nafasi nzuri zaidi kuwahudumia watoto wao.
Pili, kuna wengi wanaotoka familia bora... wamezaliwa wachache lakini wanaishi maisha ya anasa, kufuru na hatari kuliko hata hao wanaolala njaa!
Tatu, hakuna bingwa anayejua kuyaishi maisha.
Nne, hakuna ajuaye ya kesho... Waliozaliwa kwa mpango unaweza kukuta wamepukutika wote wale waliozaliwa wengi wengi walahu wamebaki kiasi!
Tano, mkitaka kupanga uzazi kwa mafanikio wekweni mkataba na maradhi na kifo viwaache muone matunda ya mipango yenu kwa walahu uhakika wa miaka 50-100!

Tofauti na hapo, uzazi wa mpango ni mkakati wa shetani kuingilia kazi na maagizo ya MUNGU kwa binadamu!
 
Nature haijui hivyo.

Kuna wengi hawana akili na ujuzi wa kupanga, lazima waongozwe.
Uzazi wa mpango kila mtu apange mwenyewe.
Tukilazishwa na wanasiasa tutaishia pabaya zaidi!
Nature inajua kwa nini kila kiumbe kipo!
 
Sababu mojawapo inayowafanya vijana wetu kukosa elimu nzuri ni wingi wao unaolemea miondombinu na watumishi wa elimu mwishowe wengi wao wanamaliza shule na vyuo wakiwa vilaza tu.
Kama sungura anavyowindwa binadamu naye anawindwa na vingi!
Lemme tell you; kama hofu ya kuogopa watoto wengi ni kushindwa kuwahudumia basi tuwekeze katika kuwapa vijana wetu elimu bora ili wasiwe wajinga na wazembe, waje kuwa na nafasi nzuri zaidi kuwahudumia watoto wao.
Pili, kuna wengi wanaotoka familia bora... wamezaliwa wachache lakini wanaishi maisha ya anasa, kufuru na hatari kuliko hata hao wanaolala njaa!
Tatu, hakuna bingwa anayejua kuyaishi maisha.
Nne, hakuna ajuaye ya kesho... Waliozaliwa kwa mpango unaweza kukuta wamepukutika wote wale waliozaliwa wengi wengi walahu wamebaki kiasi!
Tano, mkitaka kupanga uzazi kwa mafanikio wekweni mkataba na maradhi na kifo viwaache muone matunda ya mipango yenu kwa walahu uhakika wa miaka 50-100!

Tofauti na hapo, uzazi wa mpango ni mkakati wa shetani kuingilia kazi na maagizo ya MUNGU kwa binadamu!
 
Sababu mojawapo inayowafanya vijana wetu kukosa elimu nzuri ni wingi wao unaolemea miondombinu na watumishi wa elimu mwishowe wengi wao wanamaliza shule na vyuo wakiwa vilaza tu.
🙄🙄🙄🤔🤔
Duuuh hoja gani hii??
Walipokuwa wachache elimu ilikuwaje?
 
Nchi hii ni kubwa sana. Mfano kutoka Chalinze mpaka Morogoro ni mapori na misitu yenye utajiri mkubwa. Kwa maoni yangu tuendelee kuzaana ili tuwe na uhakika wa soko la ndani. Uwingi sio tatizo tatizo ni fikra na juhudi.
Uchumi ni adui mkubwa sana wa mazingira, ... jambo la ajabu sana!
 
Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi

Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.

Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.

Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.

Asanteni.
We have 967k++ of land wacha watuwazalieni
 
Kama sungura anavyowindwa binadamu naye anawindwa na vingi!
Lemme tell you; kama hofu ya kuogopa watoto wengi ni kushindwa kuwahudumia basi tuwekeze katika kuwapa vijana wetu elimu bora ili wasiwe wajinga na wazembe, waje kuwa na nafasi nzuri zaidi kuwahudumia watoto wao.
Pili, kuna wengi wanaotoka familia bora... wamezaliwa wachache lakini wanaishi maisha ya anasa, kufuru na hatari kuliko hata hao wanaolala njaa!
Tatu, hakuna bingwa anayejua kuyaishi maisha.
Nne, hakuna ajuaye ya kesho... Waliozaliwa kwa mpango unaweza kukuta wamepukutika wote wale waliozaliwa wengi wengi walahu wamebaki kiasi!
Tano, mkitaka kupanga uzazi kwa mafanikio wekweni mkataba na maradhi na kifo viwaache muone matunda ya mipango yenu kwa walahu uhakika wa miaka 50-100!

Tofauti na hapo, uzazi wa mpango ni mkakati wa shetani kuingilia kazi na maagizo ya MUNGU kwa binadamu!
We jamaa bana..mzee inaongea kwa nadharia mimi nakueleza vitu vilivyo huku mtaani
Ni kuwa 95% ya familia masikini watoto wao huishia kuwa masikini kama wao, sababu ya malezi duni, elimu duni, na hakuna cha maana mzazi anachomuachia akiwa mkubwa ili kumsaidia ajitegemee

Muda mwingi masikini hao sababu wana watoto wengi hutumia kwenye kutafuta chakula cha kulisha watoto na matumizi mengine, yaani uzalishaji wote unaishia kwenye consumption badala ya kufanya maendeleo kama kujenga nyumba bora, kuongeza mashamba, viwanja, kuweka akiba n.k

Mtu mwenye kipato kidogo na familia ndogo akitumia vizuri kipato chake anafanya maendeleo makubwa na kuitoa familia kwenye umasikini. Haya nayaongea kwa kushuhudia na sio nadharia

Hata matajiri wakiwa na familia kubwa utajiri wao unasambaratika sababu unakuta watoto 12 wanapigania hiyo mali
 
We jamaa bana..mzee inaongea kwa nadharia mimi nakueleza vitu vilivyo huku mtaani
Ni kuwa 95% ya familia masikini watoto wao huishia kuwa masikini kama wao, sababu ya malezi duni, elimu duni, na hakuna cha maana mzazi anachomuachia akiwa mkubwa ili kumsaidia ajitegemee

Muda mwingi masikini hao sababu wana watoto wengi hutumia kwenye kutafuta chakula cha kulisha watoto na matumizi mengine, yaani uzalishaji wote unaishia kwenye consumption badala ya kufanya maendeleo kama kujenga nyumba bora, kuongeza mashamba, viwanja, kuweka akiba n.k

Mtu mwenye kipato kidogo na familia ndogo akitumia vizuri kipato chake anafanya maendeleo makubwa na kuitoa familia kwenye umasikini. Haya nayaongea kwa kushuhudia na sio nadharia
Unapoteza mda kuelimisha hao viazi ambao wengi wao wapo kwenye kundi hili 👇

JamiiForums-2119221646.jpg

IMG_20220118_123054.jpg

Screenshot_20220506-163547.png

Screenshot_20220326-214754.png
 
Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi

Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.

Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.

Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.

Asantenikuna litle correlation kati ya popn growth na economic developement
 
Acha watu wazaliane,
Wajanja wanaongezeka,
Kwa kifupi, Ile 10%, 5%, na 1% inakuwa kubwa.
Hao 10% ndo wapiga kazi wazuri, ambao wanazalisha hela za kutosha kulisha 50% ya nchi,
5% ndo cream ambao wanaweza tumika kwenye kutoka direction ya makampuni makubwa, tukiwatumia vzr nchi itasonga mbele haraka,
1% hao walitakiwa wawe wanafungiwa sehem wao ndo big innovators, entrepreneurs, Yaani hao ndo kunapokuwa na tatizo kubwa la nchi ndo wanakutana kutatua tatizo.
Sasa population ikiongezeka na hizo % zinaongezeka, maana yake inakuwa rahisi nchi kutoboa.
 
Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi

Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.

Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.

Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.

Asanteni.
Correction:
Australia ina watu milioni 25+ na si million 7
 
Mapori haya yaliyoyaa tz, unasema tuzae watoto 2? Haupo serious
Mkuu huko kwenye mapori nako kuna viumbe vingine vya mnyaazi Mungu na vina haki pia ya kuishi huko bila kuingiliwa au kubugudhiwa na binadamu!
 
Walikuwa wanakula mikate ya siagi na chai ya maziwa mashuleni na vyuoni. Pia walikuwa wanapewa kazi wakati hata hawajamaliza mitihani yao ya mwisho vyuoni.

Kaa na wazee wa zamani ambao hawakukimbia umande wakupe hizo stori.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]
Duuuh hoja gani hii??
Walipokuwa wachache elimu ilikuwaje?
 
Wafugaji wanapewa mapori makubwa, hawalazimishwi kupunguza idadi ya mifugo na kuifanya iwe bora zaidi lakini Binadamu tupunguze uzazi - Sawa.
Nilishuhuhudia wakati wa sikukuu ya pasaka katika centre moja walichinja ng'ombe 13; lakini nilivyoona kila mmoja alikuwa na nyama isiyofika kilo 100! Hivyo zilikuwa kilo 1,300. Ufugaji bora wa ng'ombe wa nyama, mmoja anakuwa na kilo 800. Ina maana hapo wangechinjwa wawili tu na nyama ingebaki.
Fikiria uharibifu wa mazingira wa hao 13 linganisha na wawili. Umefika wakati wa kuwalazimisha na wafugaji wafuge kisasa siyo kuwaongezea maeneo kwa kisingizi cha wingi wa mifugo.
 
Back
Top Bottom