Serikali itupie jicho mkata hotelini yanaposimama magari ya abiria kwa ajili ya chakula na" kuchimba dawa"

unatoka wilaya moja kwenda nyingine ndani ya mkoa mmoja hiyo njaa ya kula njiani unaipata wapi? Natoka mwanza hadi dar npiga maji na matunda tu nafika fresh
Wtz wengi wanapenda kula hovyo sn ndio maana wana vitambi vya ajabu ajabu!
 
Ila watu wa Tanga kwa Kula njiani, Kila kituo lazima wanunue Yai, half cake, soda. Yaani ni karaha.

Ila hili la hygiene litupiwe macho
😀😀safari ya masaa 6 wanakulakula hovyo tu.
 
Safarini usipende kula chakula kama wali au ugali.kula ndizi kavu au nyama ya ku kuchoma hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…