JMWAKA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 739
- 652
- Thread starter
- #41
So painful brother watu wanateseka huko kuna kiwanda kimoja huko kisemvule kinawapigisha watu kazi kuanzia asubuhi hadi saa 8 usiku kwa elfu8 (8,000) just imagine ni watanzania wanaoteswa na wageni ndani ya nchi yao na wageni alafu wanaopaswa viongozi wanaopaswa kusimamia ndio wanakula nao.Inasikitisha sana, waafrika tunadharaulika sababu viongozi wetu hawawezi kabisa kusimamia ustawi wa watu wao. Jamani wahindi na wachina wanatunyoosha vibaya sana. Rushwa Rushwa, wakija wakaguzi wanapewa pesa wanaondoka.