DOKEZO Serikali itupie macho viwanda vya wahindi, kuna unyonyaji mkubwa dhidi ya wafanyakazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inasikitisha sana, waafrika tunadharaulika sababu viongozi wetu hawawezi kabisa kusimamia ustawi wa watu wao. Jamani wahindi na wachina wanatunyoosha vibaya sana. Rushwa Rushwa, wakija wakaguzi wanapewa pesa wanaondoka.
So painful brother watu wanateseka huko kuna kiwanda kimoja huko kisemvule kinawapigisha watu kazi kuanzia asubuhi hadi saa 8 usiku kwa elfu8 (8,000) just imagine ni watanzania wanaoteswa na wageni ndani ya nchi yao na wageni alafu wanaopaswa viongozi wanaopaswa kusimamia ndio wanakula nao.
 
Kwahiyo wakati wa Magufuri walikuwa wana lipa zaidi ya 7000 ila baada ya kuondoka ndo wakaanza kulipwa 7000?
Saa nyingine mpunguzage upumbavu.
Kwani nani kataja Magufuli hapa sometimes ni bora kukaa kimnya kuliko kujionesha ulivyo empty set
 
Unatia huruma duniani dunia haiana huruma mzee
Sawa bro ila hiyo dunia ina utawala pia sasa viongozi wanawatumikia kina nani kama citizen wanasuffer
Sometimes usioneshe umwamba kwenye serious ishu bro tuna serikali inayopaswa kuwajibika kwa watu wake
 
Msiende kufanya kazi muone km watafunga kiwanda au watachukua hatua gani tatizo watanzania hawana umoja
Tatizo sera zinazowapendelea wageni na hata ufuatiliaji wake umejaa rushwa no body care
 
Sawa bro ila hiyo dunia ina utawala pia sasa viongozi wanawatumikia kina nani kama citizen wanasuffer
Sometimes usioneshe umwamba kwenye serious ishu bro tuna serikali inayopaswa kuwajibika kwa watu wake
Mbona hata Walimu hua wanalalamika mishahara yao mpaka leo?
Ni kada gani isiyolalamikia mishahara yao?

Dunia inahitaji kupambana na sio kutafuta huruma,huu ndio ukweli mchungu nakuambia,
Ukiona Viwandani ni mateso,rudi Kijijini kwenu,maisha sio rahisi kama unavyofikiria,

Unalalamika humu kuhusu viwanda vya wahindi,nimekuuliza,viwanda vya wabongo wao wanalipaje?
Ila naona umelikwepa swali langu.
 
Mkuu tutake radhi elf 7 ina uhalali gani kishera gharama ya maisha ni kubwa sana wao wanaingiza pesa nyinyi kwa siku tungelipwa elfu kumi kwa siku ingekuwa afadhali tunaitaji utetezi kwa wanasiasa na raisi kwa ujumla
 
kuna kiwanda cha oil kule tanga kinawalipa wafanyakazi wake 4500 kwa siku, na kazi wanafanya saa moja asubuhi hadi saa moja usiku sometimes hadi saa 4 usiku, still siku za malipo wanashikana mashati.
 
Na serikali hipo, uwezo na ufahamu wa watumishi wengi wa umma ni mdogo sana ndiyo unapelekea matatizo yote haya kwa wananchi.
 
Sawa bro ila hiyo dunia ina utawala pia sasa viongozi wanawatumikia kina nani kama citizen wanasuffer
Sometimes usioneshe umwamba kwenye serious ishu bro tuna serikali inayopaswa kuwajibika kwa watu wake
Wewe dunia Haina huruma ni pamoja ya wewe kuwekwa chini ya watu hiyo serikali ni binadamu kama wewe tumia akili hapo unaendeshwa kama mtumwa mpaka kifo chako kitapokukuta tena ukiwa Africa ndio utazidi kuuona huu msemo wa dunia Haina huruma Kwa asilimia 100
 
Kwani tukiacha wote kwenda kiwandani kwa mwezi mmoja au zaidi sibatajipanga vizuri!???? Tatizo linaanzia kwetu tunanyanyaswabila kila siku tunaenda.
 
Hapo mtu anaishije kodi labda 30 000 kwa mwezi. Nauli 40,000 kwa mwezi. Chakula 60,000 kwa mwezi. Na ukute huyu mtu ana familia.
Anaishi tu mbona,
7000×30=210000/ matumizi ulotaja ni (30000+40000+60000)
So 210000-130000=80000/
 
kuna kiwanda cha oil kule tanga kinawalipa wafanyakazi wake 4500 kwa siku, na kazi wanafanya saa moja asubuhi hadi saa moja usiku sometimes hadi saa 4 usiku, still siku za malipo wanashikana mashati.
kwa nn wasiache kazi wote ilibtuone kama kiwanda kitafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…