Serikali itwambie ukweli kuhusu inflation na thamani halisi ya pesa. Gharama za maisha zimepanda sana

Sasa subirini, miaka michache ijayo watapiga hodi IMF kuomba mkopo wa kufufulia uchumi ndipo hili la thamani halisi ya shilingi itakapofichuka.

Wataambiwa sarafu iwe floated ili ijitafutie thamani yake yenyewe ndipo hili ninalolisema hapa litakapo dhihiri na serikali italazimishwa kupunguza matumizi yake ya (Recurrent Expenditure) na ndipo itabidi wapunguze mikoa na wilaya kwani ndio chanzo cha gharama ya uendeshaji kuongezeka.

Lazima watalazimishwa kufanya (Restructuring characterized by reducing the bloated civil service), pia watatakiwa kuacha kutoa ruzuku kwa mashirika mizigo kama Atcl nk. It will be a bitter pill to swallow.
 
Ndio hivyo ila exchange rate imekuwa fixed, hawataki kuiacha itafute thamani yake yenyewe.
Kwani IMF wanasemaje mkuu ina maana wanaweza kuachia mtu afanye manipulation mchana kweupe
 
Ibilisi Jiwe alikuwa na mazuri gani?? angalau siku hizi watu wana hata pakupazia sauti.
Kupaza sauti na inflation !!!!
Issue hapa ni inflation, hili la nafasi ya kupaza sauti ni Kati ya Yale mabaya yake.
 
Au ndo pesa imemwagika mitaani kufuatia yale madai ya ''mama rudisha pesa mtaani''

Nafikiri haya yatakuwa mazao yake.

mtoa mada umeniduwaza kdg kuutaja mchele kama moja ya bidhaa ghali.

Niliko huku ni elf 1 @ kg
 
Kwani Nchi inaongozwa na Chadema?
Mbona mlisema wapinzani walituchelewesha Sana kupata maendeleo Sasa kelele za nini?
CHADEMA ndoo mtaa gani ? Hatujadili habari za marehemu aliyejifia siku mwenyekiti wao alipobadili gia angani mwaka 2015.
 
Eti...'mazuri ya JPM"...!😝😝😝😝😝
 
Tuendelee kuimba tu.
Mamaa mama mama huyo mamaa mama huyo mamaa mama.
Asante sana.
 
Kwani IMF wanasemaje mkuu ina maana wanaweza kuachia mtu afanye manipulation mchana kweupe
Wapo wanaoshusha thamani ya fedha yao kwa makusudi kama China na wapo wanaopandisha pia kwa makusudi kama Tanzania tatizo litakuja pale utakapohitaji mkopo.
 
Wapo wanaoshusha thamani ya fedha yao kwa makusudi kama China na wapo wanaopandisha pia kwa makusudi kama Tanzania tatizo litakuja pale utakapohitaji mkopo.
Kumbe ndio maana Jiwe alikuwa ameshindwa kupata mikopo nafuu mpaka akaanza kukopa Bayport & Finca
 
Here we go, maisha ni magumu mno
Quality ya maisha inazidi kushuka maana watu hawaafford tena vitu walivyokuwa wakiviafford zamani
 
Haki gharama za maisha zimepanda sana...
 
Wamtoe yule anaejisifia mchumi wa Taifa kila kukicha huku Nchi ikienda shimoni kwa mbinu zake za hovyo za kuongeza gharama kwenye kipindi kigumu cha Covid...
 
Ngoja tathmini ya ugaidi wa Mbowe ifanyike utapata jibu.
 
Hii Kweli Mkuu Ilowa
Sijui Itakauka Lini
 
Tuendelee kuimba tu.
Mamaa mama mama huyo mamaa mama huyo mamaa mama.
Asante sana.
Ameupiga Mwingi Mpaka Pambio Sasa Hivi Ni Hili:-
Uganda, Kenya, Msumbiji, Malawi, Rwanda,US

Nchi Ngumu Sana Hii
 
Haya nilishaliona muda nimebuni mchanganuo ambao unaweza ng'amua tatizo linaloweza kutokea kwenye biashara ama taasisi "IPYANA analysis' bado sijapata alama ya utambulisho(patent)
 
Hali ni mbaya sana
Mafuta ya kula, Bidhaa za vyakula kama vile mchele , unga na nyinginezo kama gesi vimepanda bei sana.
Hapo hujazungumzia kuadimika kwa vitu vya msingi kama vile maji etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…