Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nijibu para ya mwisho.Kwenye Halmashauri kuna mkaguzi wa ndani(Internal Auditor) huyu ndio jicho la madiwani ili akinusa anawaletea kisha madiwani mnachukua hatua,CAG anafanya kwa ujumlaMhe.Diwani unaniabisha bhana, Ubunge mtu anaupata kwa sifa nyingine zilizoanishwa na katiba na kujua kuelewa taarifa za fedha sio kosa kwa Sababu taarifa za fedha ni za kitaalamu Sana.
Kuna mdau nimemwambia taarifa za fedha ni ripoti inayotokana na taarifa za vyanzo vingi Sana na kuielewa inahitaji utaalamu.
Kwa mfano, unapoona taarifa ya matumizi ya shs mil.200 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ndani yake kuna taarifa nyingi Sana. Kutakuwa na taarifa za zabuni na manunuzi ya vifaa vya ujenzi na taarifa hizo zinaandaliwa na wataalamu hivyo ikitokea wataalamu hao wakaamua kuwadanganya madiwani juu ya taratibu za manunuzi naamini mtaletewa taarifa feki na mtaijadili kwa ufeki huohuo.
Kwa kuliona hili, Serikali ikaone kuwe na ukaguzi wa nje chini ya ofisi ya CAG, hao ndio wataalamu wa kujua taarifa za fedha zinasema nini na je, ni halisi?
Swali langu ni moja tu mhe. Diwani, mbona licha ya kamati hizo kuwepo na kufanya kazi Kama unavyosema bado ripoti za CAG zinaonyesha madudu na ubadhilifu?
Manunuzi yote yanasimamiwa na sheria ya manunuzi ya umma ya umma ya mwaka 2011,kama ukidanganywa wakati kuna e-goverment ni ushamba wako.Ukiwa diwani makini huwezi kudanganywa na mtu yeyote sheria zipo online why udanganywe?Mhe.Diwani unaniabisha bhana, Ubunge mtu anaupata kwa sifa nyingine zilizoanishwa na katiba na kujua kuelewa taarifa za fedha sio kosa kwa Sababu taarifa za fedha ni za kitaalamu Sana.
Kuna mdau nimemwambia taarifa za fedha ni ripoti inayotokana na taarifa za vyanzo vingi Sana na kuielewa inahitaji utaalamu.
Kwa mfano, unapoona taarifa ya matumizi ya shs mil.200 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ndani yake kuna taarifa nyingi Sana. Kutakuwa na taarifa za zabuni na manunuzi ya vifaa vya ujenzi na taarifa hizo zinaandaliwa na wataalamu hivyo ikitokea wataalamu hao wakaamua kuwadanganya madiwani juu ya taratibu za manunuzi naamini mtaletewa taarifa feki na mtaijadili kwa ufeki huohuo.
Kwa kuliona hili, Serikali ikaone kuwe na ukaguzi wa nje chini ya ofisi ya CAG, hao ndio wataalamu wa kujua taarifa za fedha zinasema nini na je, ni halisi?
Swali langu ni moja tu mhe. Diwani, mbona licha ya kamati hizo kuwepo na kufanya kazi Kama unavyosema bado ripoti za CAG zinaonyesha madudu na ubadhilifu?
Hivi haya masisiem yanaelewa kweli.Manunuzi yote yanasimamiwa na sheria ya manunuzi ya umma ya umma ya mwaka 2011,kama ukidanganywa wakati kuna e-goverment ni ushamba wako.Ukiwa diwani makini huwezi kudanganywa na mtu yeyote sheria zipo online why udanganywe?
Swala ni hawa madiwani michongo wa ccm hawana uwezo
Juu ya Pima alisema toka mwaka Jana mwezi wa 10 au 11 hiviGambo amekosea , angefanya hayo kabla ya Kiongozi Mkuu wa Serikali kuja Arusha, kama Kweli Anajitambua...! Bado Gambo is Totally Coward.
Hakika mkuu, Gambo ni mtu was mitego na kutengenezea WENZIE ajaliUmejibu kwa ushabiki,ebu soma kwanza kwa utulivu,Gambo ana kikao kinachosimamia Mkurugenzi na timu yake,kwa nini wanamwacha hadi aibe ndio walalamike?