Serikali ivunje Baraza la Madiwani Jiji la Arusha

Naomba nijibu para ya mwisho.Kwenye Halmashauri kuna mkaguzi wa ndani(Internal Auditor) huyu ndio jicho la madiwani ili akinusa anawaletea kisha madiwani mnachukua hatua,CAG anafanya kwa ujumla
Taarifa ya fedha hahitaji rocket science kuelewa,na kama kuna madiwani hawaelewi basi ni wale wa ccm wa darasa la saba na wabunge wao wa la saba,(hapa tunataka katiba mpya ili kubadilisha sifa za kuwa mbunge/diwani ) dereva wa mbunge sifa kidato cha nne,mbunge/diwani kujua kusoma na kuandika huu ni uchizi!

Ni ushamba kuwa na mbunge au diwani ambaye hawezi kuchambua taarifa ya fedha,akishindwa kuchambua hili basi hapo hakuna kitu, na kw kuwa Arusha wameshindwa ndio maana natoa wito kwa serikali. Kuvunja hili baraza as wanalipwa bure kabisa

Msingi wa hoja yangu tangu mwanzo ni kuwa baraza hili limekosa weledi na uwezo na hatuna sababu ya kuwa nalo inafaa livunjwe
 
Manunuzi yote yanasimamiwa na sheria ya manunuzi ya umma ya umma ya mwaka 2011,kama ukidanganywa wakati kuna e-goverment ni ushamba wako.Ukiwa diwani makini huwezi kudanganywa na mtu yeyote sheria zipo online why udanganywe?
Swala ni hawa madiwani michongo wa ccm hawana uwezo
 
Gambo amekosea , angefanya hayo kabla ya Kiongozi Mkuu wa Serikali kuja Arusha, kama Kweli Anajitambua...! Bado Gambo is Totally Coward.
 
Umejibu kwa ushabiki,ebu soma kwanza kwa utulivu,Gambo ana kikao kinachosimamia Mkurugenzi na timu yake,kwa nini wanamwacha hadi aibe ndio walalamike?
Hakika mkuu, Gambo ni mtu was mitego na kutengenezea WENZIE ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…