ismaili sogora
New Member
- May 24, 2024
- 4
- 3
Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya kazi zao za kiufundi binafsi umekuwa ni changamoto na kupelekea wahitimu wengi kukata Tamaa katika fani zao walizosomea
Upvote
2