Serikali iwachukulie hatua hawa Maaskofu wa KKKT kwa kuleta fujo katika Jamii ya waumini

Serikali iwachukulie hatua hawa Maaskofu wa KKKT kwa kuleta fujo katika Jamii ya waumini

Jidu La Mabambasi naamini unajua mengi ya upande mmoja. Ndio maana umeuchagua huo upande kama uko sahihi.

Hii waweza ifananisha na yale maamuzi ya Magufuli, kuhamishia makao makuu Dodoma.

Sema uzuri yeye alikuwa na dola.
 
Dini ijikite kwenye UTASHI na UBINADAMU tu.

Ijiondoe kwenye TAMADUNI!

hivyo
1.kusiwe na majengo ya Ibada wala Taasisi zake, watu wasali majumbani mwao.

2. Kusiwe na Salamu za kidini bali za ubinadamu

3. Kusiwe na Mavazi ya kidini

4. Kusiwe na majina ya kidini

5. Kusiwe na kutekwa hisia za kupenda nchi za wenye Dini.

Kusiwe na salama mawili kwenye ngozi wala uvaaji wa viashiria vya kidini, mfano unaijua.

6. Kusiwe na mikudanyiko ya kidini bali wahubiriane kwa kusomeana maandiko kwa level za kaya tu.

7. Mahakama, Police, Bunge na Sovereign States wasiulize wala kuapisha watu kwa Dini zao!

Tamaduni za asili katika, kula kuvaa, na Sherehe kuimarishwe ili kuondoa viashiria vya Dini.

Kila Lakheri kwa kila nchi yenye mwenendo huu!
Umesahau moja, watu wasikusanyike kidini kwa ajili ya ndoa na kuzikana. Safi sana.
 
Jidu La Mabambasi naamini unajua mengi ya upande mmoja. Ndio maana umeuchagua huo upande kama uko sahihi.

Hii waweza ifananisha na yale maamuzi ya Magufuli, kuhamishia makao makuu Dodoma.

Sema uzuri yeye alikuwa na dola.
Tusizunguke mbuyu, viongozi kwa kidini uhalali wao ukibaki kwa sababu ya katiba tu halafu wanatafuta mob phsycology ili kujihalalisha wakijua wamevurunda na watu hawapendi tena, hapo kanisa halipo.
 
Siku zote wanao lifuruga hili kanisa pendwa Ni maskofu kutoka mbeya hao watu Ni wabinfsi sna

Enti unyakyusa fln HV aise inanikera hyo kitu
 
Muandishi naomba unieleze kwanza upo dayosisi ya konde ama la ndo tuanze kujadiliana. Ila infact nimesikitika sana Dr shoo kushiriki kwenye maamuzi ya kihuni kama yale
 
Muandishi naomba unieleze kwanza upo dayosisi ya konde ama la ndo tuanze kujadiliana. Ila infact nimesikitika sana Dr shoo kushiriki kwenye maamuzi ya kihuni kama yale
Yatawagharimu sanaa hayo maamuzi
 
Malalamiko ya aina hii yametamalaki sana KKKT na Anglikana!

Shida iko wapi? Ni aghalabu kusikia Maaskofu wa Kanisa Katoliki wanagombania mali za Kanisa/ wanalumbana na Walei.
Nafikiri katoliki lile swala la kuishi kifukara na kutomiliki mali kwa padre ndo linalofanya kusiwe na maswala kama hayo ila hawa ndugu zetu wenyewe wanahodhi mali na kujitajirisha...🤣🤣🤣
 
Kuna Maaskofu wamelifanya Kanisa ,hasa Dayosisi kuwa mali zao na familia zao, na kuteteana hata kama maovu ya dhahiri yanaonekana.[emoji29][emoji29][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Arusha kkkt ni mali ya wamasai😀😀
 
Malalamiko ya aina hii yametamalaki sana KKKT na Anglikana!

Shida iko wapi? Ni aghalabu kusikia Maaskofu wa Kanisa Katoliki wanagombania mali za Kanisa/ wanalumbana na Walei.
Katoliki kwanza wanachaguliwa na Pope au Papaa
Wewe upo Tanzania unasikia Tuu umeteuliwa
Anglican na Lutheran wanapigiana kura hapa hapa nchi
 
Malalamiko ya aina hii yametamalaki sana KKKT na Anglikana!

Shida iko wapi? Ni aghalabu kusikia Maaskofu wa Kanisa Katoliki wanagombania mali za Kanisa/ wanalumbana na Walei.
Tatizo ni moja, Askofu, Mchungaji au Muinjilisti wa hayo makanisa mawili uliyoyataja akipelekwa sehemu anaweza kuanzisha familia na akapata watoto hadi wakafikia level ya undergraduate degree wakiwa palepale alipoajiriwa baba yao.

Hii ni miaka mingi sana chief huyo mtumishi wa Mungu kuna misingi na miradi ya ndani ya kanisa na nje ambayo atakuwa ameianzisha kwa maslahi yake binafsi mfano ununuzi wa magari kwa michango ya waumini ili yatende kazi ya kanisa na wanayatumia kibinafsi n.k

Huyu ukimuhamisha umpeleke dayosisi nyingine ni vita kubwa na atakuwa na backup ya waumini wengi tu
 
Hasa Bagonza, Jack of All Trades

Sikubaliana na wewe kwa hilo kuhusu Askofu Bagonza. Je ni kosa Askofu kuwatetea waumini wake wanapoonewa na watawala? Watawala wanatumia ignorance ya wananchi kuwahujumu kwa kuwanyima haki zao na hapo ndio askofu kama kiongozi wa waumini wake lazima ajitokeze kuyasemea yale ambayo ni mapungufu kutoka kwa watawala!!

Huyo Mwaikali na mapungufu yake mnayajua nyinyi wasokile huko kwenu kwani huyo Askofu wenu hana National exposure kama Askofu Bagonza!!
 
Nafikiri katoliki lile swala la kuishi kifukara na kutomiliki mali kwa padre ndo linalofanya kusiwe na maswala kama hayo ila hawa ndugu zetu wenyewe wanahodhi mali na kujitajirisha...🤣🤣🤣
Nani kakudanganya mapadre wa kikatoliki hawamiliki Mali? Tena Bora unyamaze kabisa hao ndo hawafai kabisa wengi wao kila siku kuzalisha wanawake hovyo na kuwajengea nyumba
 
Sikubaliana na wewe kwa hilo kuhusu Askofu Bagonza. Je ni kosa Askofu kuwatetea waumini wake wanapoonewa na watawala? Watawala wanatumia ignorance ya wananchi kuwahujumu kwa kuwanyima haki zao na hapo ndio askofu kama kiongozi wa waumini wake lazima ajitokeze kuyasemea yale ambayo ni mapungufu kutoka kwa watawala!!

na mapungufu yake mnayajua nyinyi wasokile huko kwenu kwani huyo Askofu wenu hana National exposure kama Askofu Bagaonza!!
Hakuna lolote uliloongea.
Wapempa tu wanaoteteana hao Maaskofu.
Na wote wana scandal zinazolingana kimaadili.
Sema waumini wanawahifadhi tu, na wala si ukondoo.
Na kwa Tukuyu/Mbeya mtu hata uwe nani, ukileta za kuleta unapigwa za usoni.

Bagonza ana exposure gani zaidi ya kubwabwaja kila uchao.
Na ana scandal ya kuwa na watoto wawili nje ya ndoa yake na kuwatelekeza watoto.
Huyo ndio role model kimaadili kwako!

Huyo Mwaikali ana exposure nzuri tu ya usomi.
Amefundisha Ruaha Catholic Univerity muda kabla hajapewa Uaskofu.
Ni Dr wa falsafa.
Kimsingi Mwaikali angewaomba radhi tu waumini wake na kurudi Tukuyu, wangemsamehe tu, nawafahamu watu wa kwetu.
Kashupaza shingo, na sasa imekatika.
 
Jidu La Mabambasi naamini unajua mengi ya upande mmoja. Ndio maana umeuchagua huo upande kama uko sahihi.

Hii waweza ifananisha na yale maamuzi ya Magufuli, kuhamishia makao makuu Dodoma.

Sema uzuri yeye alikuwa na dola.

kuwa mtoto hujui chochote makufuli hakuamishia makao makuu dodoma alihamisha ni nyerere makufuli katekeleza amri
 
Hakuna lolote uliloongea.
Wapempa tu wanaoteteana hao Maaskofu.
Na wote wana scandal zinazolingana kimaadili.
Sema waumini wanawahifadhi tu, na wala si ukondoo.
Na kwa Tukuyu/Mbeya mtu hata uwe nani, ukileta za kuleta unapigwa za usoni.

Bagonza ana exposure gani zaidi ya kubwabwaja kila uchao.
Na ana scandal ya kuwa na watoto wawili nje ya ndoa yake na kuwatelekeza watoto.
Huyo ndio role model kimaadili kwako!

Huyo Mwaikali ana exposure nzuri tu ya usomi.
Amefundisha Ruaha Catholic Univerity muda kabla hajapewa Uaskofu.
Ni Dr wa falsafa.
Kimsingi Mwaikali angewaomba radhi tu waumini wake na kurudi Tukuyu, wangemsamehe tu, nawafahamu watu wa kwetu.
Kashupaza shingo, na sasa imekatika.
Ndio mambo yenu kuwapalia watu kuhusu kuwa na watoto nje ya ndoa. Mwaikali mmesema hivyohivyo. Kwani Malasusa yeye ni mtakatifu hadi kaja kuwa mwenyekiti? Na huyo Shoo je mbona ana issues nyingi tu.
 
kuwa mtoto hujui chochote makufuli hakuamishia makao makuu dodoma alihamisha ni nyerere makufuli katekeleza amri
Bro kumbe hujui kwamba ilishakubaliwa huko nyuma, Makao Makuu ya Dayosisi kuhamishiwa Mbeya mjini? Mwaikali ni mtekelezaji tu.
 
Back
Top Bottom