Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #41
Mi Mluteri tena wa Dar.Muandishi naomba unieleze kwanza upo dayosisi ya konde ama la ndo tuanze kujadiliana. Ila infact nimesikitika sana Dr shoo kushiriki kwenye maamuzi ya kihuni kama yale
Haya yaliyotokea konde ndio maana miaka hiyo ya 90 Meru waliamua kuingia front wenyewe. Baadhi ya viongozi wa kanisa wako kimaslahi zaidi na waumini wameshajua na kuchoshwa na hilo.Muandishi naomba unieleze kwanza upo dayosisi ya konde ama la ndo tuanze kujadiliana. Ila infact nimesikitika sana Dr shoo kushiriki kwenye maamuzi ya kihuni kama yale
Mi Mluteri tena wa Dar.
Askofu yeyote kushindwa kupatana kiroho na kiutawala NDANI ya Dayosisi yake, huko ni kushindwa Kazi na imani aliyoitiwa kuitenda.
Mpaka waje wengine watu wa nje ili upatane na watu wako basi HUFAI kabisa.
Tunachoanza kuona ni Maaskofu wakorofi wenye issues mbaya kwao wakienda kumsaidia mwenzao naye aliyeshindwa kazi.
Mkuu wa kanisa Akofu Shoo amejaribu muda sasa kuwapatanisha NDANI ya Dayosisi ya Konde, leo anaonekana mbaya.
Walaaniwe hao wavaa majoho ya unafiki.
Lakini serikali isiache migogoro kama hii ikaendelea na kuzusha vurugu na ukosefu wa amani.
OK nimekuelewa ngoja nikupe taswira ya huu mgogoro uelewe hili jambo limekaajeMi Mluteri tena wa Dar.
Askofu yeyote kushindwa kupatana kiroho na kiutawala NDANI ya Dayosisi yake, huko ni kushindwa Kazi na imani aliyoitiwa kuitenda.
Mpaka waje wengine watu wa nje ili upatane na watu wako basi HUFAI kabisa.
Tunachoanza kuona ni Maaskofu wakorofi wenye issues mbaya kwao wakienda kumsaidia mwenzao naye aliyeshindwa kazi.
Mkuu wa kanisa Akofu Shoo amejaribu muda sasa kuwapatanisha NDANI ya Dayosisi ya Konde, leo anaonekana mbaya.
Walaaniwe hao wavaa majoho ya unafiki.
Lakini serikali isiache migogoro kama hii ikaendelea na kuzusha vurugu na ukosefu wa amani.
Ndiyo maana nasema mtu ni kwao...sasa huyu Mwaikali karuhusu mamlaka yake kuingiliwa na wengine kwa sababu KASHINDWA KABISA zoezi la kiutawala , upatanishi na unyenyekevu kwa waumini wa kwao, tena waliomchagua Uaskofu.Askofu Mwaikali kihistoria aliheshimika kwa misimamo mikali na ni mtu asiye yumbishwa. Nakumbuka wakati Nikiwa muumini betheri sae alichaguliwa hapo hapo uyole alipovuliwa katika uchaguzi uliochukuliwa na wengi kama ushindi kwa kanisa. Hata hivi alibadilika sana baada ya uaskofu.... akawa mtu mnyenyekevu mno na misimamo ya chini chini Nadhani ndio busara za kiaskofu.
Ni vyema pia ni vyema ukamfahamu hasimu wake mwanafalsafa Askofu mteule daktari msomi mwakihaba... Huyu alihudumu kama askofu msaidizi tangu nyakati za askofu mwakyolike. Warutheri humuheshimu sana kwa uhodari wake wa mahubiri. Nilimfahamu kama mtu mtulivu sana maana hata baaada ya kukikosa kiti cha u askofu Aliendelea kuhudumu kwa nafasi ya usaidizi kwa askofu Mwaikali.
Mpasuko Ulianza baada ya askofu Mwaikali kuisimamia kidete agenda ngumu iliyokwama kwa miaka mingi ya kuhamishia dayosisi Jiji kutokea Tukuyu. Alipata uungwaji mkono mkubwa mbeya jiji na kyela huku akipingwa na watu wa Tukuyu. Hapo ndipo Mwanafalsafa mbobezi mwakihaba alipotumia nafasi hiyo kujishikiza upande wa Tukuyu na kujitoa mamlakani, Askofu mwaikali asiyeyumbishwa alichagua msaidizi wake na kazi ya kuhamia jiji iliendelea....
[emoji848][emoji848]Nani kakudanganya mapadre wa kikatoliki hawamiliki Mali? Tena Bora unyamaze kabisa hao ndo hawafai kabisa wengi wao kila siku kuzalisha wanawake hovyo na kuwajengea nyumba
Okay afadhali,manaake mi hata sielewi!Muandishi naomba unieleze kwanza upo dayosisi ya konde ama la ndo tuanze kujadiliana. Ila infact nimesikitika sana Dr shoo kushiriki kwenye maamuzi ya kihuni kama yale
OK nimekuelewa ngoja nikupe taswira ya huu mgogoro uelewe hili jambo limekaaje
Wangewahamisha hamisha tu, kitendo cha kumvua askofu joho na kuwavua wachungaji wote hao kola ni kama maamuzi magumu zaidiYatawagharimu sanaa hayo maamuzi
Okay, yaani kuhamisha dayosisi kutoka tukuyu kuja mbeya mjini?Askofu Mwaikali kihistoria aliheshimika kwa misimamo mikali na ni mtu asiye yumbishwa. Nakumbuka wakati Nikiwa muumini betheri sae alichaguliwa hapo hapo uyole alipovuliwa katika uchaguzi uliochukuliwa na wengi kama ushindi kwa kanisa. Hata hivi alibadilika sana baada ya uaskofu.... akawa mtu mnyenyekevu mno na misimamo ya chini chini Nadhani ndio busara za kiaskofu.
Ni vyema pia ni vyema ukamfahamu hasimu wake mwanafalsafa Askofu mteule daktari msomi mwakihaba... Huyu alihudumu kama askofu msaidizi tangu nyakati za askofu mwakyolike. Warutheri humuheshimu sana kwa uhodari wake wa mahubiri. Nilimfahamu kama mtu mtulivu sana maana hata baaada ya kukikosa kiti cha u askofu Aliendelea kuhudumu kwa nafasi ya usaidizi kwa askofu Mwaikali.
Mpasuko Ulianza baada ya askofu Mwaikali kuisimamia kidete agenda ngumu iliyokwama kwa miaka mingi ya kuhamishia dayosisi Jiji kutokea Tukuyu. Alipata uungwaji mkono mkubwa mbeya jiji na kyela huku akipingwa na watu wa Tukuyu. Hapo ndipo Mwanafalsafa mbobezi mwakihaba alipotumia nafasi hiyo kujishikiza upande wa Tukuyu na kujitoa mamlakani, Askofu mwaikali asiyeyumbishwa alichagua msaidizi wake na kazi ya kuhamia jiji iliendelea....
Utovu wa nidhamu ni addiction kama ya cocaine nk! Wenye akili tulijua Bagonza hawezi kuishia kwa Jiwe tu atenda mbali zaidi....Askofu bagonza ni moja ya maaaskofu wabovu na waovu Sana basi tu
Milele Amen.Tumsifu Yesu Kristo.
Nani kakuthibitishia huwa wanaishi kifukara.Nafikiri katoliki lile swala la kuishi kifukara na kutomiliki mali kwa padre ndo linalofanya kusiwe na maswala kama hayo ila hawa ndugu zetu wenyewe wanahodhi mali na kujitajirisha...🤣🤣🤣
Ndio
Askofu Mwaikali amekuja kuitoa kwenye ramani shule iliyopo kwenye Diocese yake ya Konde iliyoanzishwa miaka ya 1980 hukoinayoitwa Manow Lutheran Junior Seminary kwa kula pesa za shule na misaada ya shule kutoka UjerumaniWeka facts mezani wamefanya makosa gani hayo hatarishi??
Kama kuna jinai ni police case.Askofu Mwaikali amekuja kuitoa kwenye ramani shule iliyopo kwenye Diocese yake ya Konde iliyoanzishwa miaka ya 1980 hukoinayoitwa Manow Lutheran Junior Seminary kwa kula pesa za shule na misaada ya shule kutoka Ujerumani
Askofu Mwaikali alihamisha makao makuu ya Diocese kutoka Mjini Tukuyu ambao ndio chanzo cha dayosisi hiyo kwa muda mrefu sana na kuipeleka mbeya mjini bila kushirikiana na waumini wake
Na wengine watakuja kukupa makosa yake kibao ikiwemo ya ubadhirifu wa pesa za kanisa pamoja na kupangisha jengo lililokuwa la makao makuu ya dayosisi mjini Tukuyu kwa Benki ya CRDB
Huyo huyo Mwaikali ameua shule yangu ya kilutheri niliyosoma na iliyokuwepo muda mrefu sana ya Manow Lutheran Junior SeminaryAskofu Mwaikali kihistoria aliheshimika kwa misimamo mikali na ni mtu asiye yumbishwa. Nakumbuka wakati Nikiwa muumini betheri sae alichaguliwa hapo hapo uyole alipovuliwa katika uchaguzi uliochukuliwa na wengi kama ushindi kwa kanisa. Hata hivi alibadilika sana baada ya uaskofu.... akawa mtu mnyenyekevu mno na misimamo ya chini chini Nadhani ndio busara za kiaskofu.
Ni vyema pia ni vyema ukamfahamu hasimu wake mwanafalsafa Askofu mteule daktari msomi mwakihaba... Huyu alihudumu kama askofu msaidizi tangu nyakati za askofu mwakyolike. Warutheri humuheshimu sana kwa uhodari wake wa mahubiri. Nilimfahamu kama mtu mtulivu sana maana hata baaada ya kukikosa kiti cha u askofu Aliendelea kuhudumu kwa nafasi ya usaidizi kwa askofu Mwaikali.
Mpasuko Ulianza baada ya askofu Mwaikali kuisimamia kidete agenda ngumu iliyokwama kwa miaka mingi ya kuhamishia dayosisi Jiji kutokea Tukuyu. Alipata uungwaji mkono mkubwa mbeya jiji na kyela huku akipingwa na watu wa Tukuyu. Hapo ndipo Mwanafalsafa mbobezi mwakihaba alipotumia nafasi hiyo kujishikiza upande wa Tukuyu na kujitoa mamlakani, Askofu mwaikali asiyeyumbishwa alichagua msaidizi wake na kazi ya kuhamia jiji iliendelea....
Haya ni masuala ya dini ndio maana serikali inakuwaga makini ktk kuingilia na ktk kumbukumbu zako ni lini serikali iliingilia migogoro ya dini ili kuisuluhishaKama kuna jinai ni police case.
Nendeni Takukuru mkareport huo ubadhilifu huko ndiyo sehemu sahihi pakushuhulika na hilo jambo.