Serikali iwapandishe madaraja Walimu wenye Shahada ya Pili (Masters Degree) mara tu baada ya kumaliza masomo yao

Hoja haihusu kufungwa au kufunguliwa soma vzur
 
Hivi mwalimu unaenda kusoma masters, ama phd ili iweje, inasaidia kitu gani serikali maana sifa ya mwisho kwa mwalimu ni first degree. Na huwa hakuna mshara wa mwalimu wa masters ila kuna posho tu. Mfano ukiwa headmaster unalipwa posho
Ndyo Hakuna mshahara ndo maana nimeandika huo uzi
 
Na wakiruhusu hilo vyuo vitafurika wanafunzi wa masters. Unadhani serikali haioni, masters unasoma kama unamchongo.Ila kama huna,na vimbwengo wanakuchukia, ukiwa na masters ndio wanakutupa porini kabisa. Kumb ishu ya walimu wa sekondari kupelekwa msingi. Kilichotokea mtwara girls, mwl mwenye masters ndio alipelekwa msingi. Fanya kazi,tafuta pesa. Masters ukiwaza umepoteza pesa na huonwi, utakufa na kihoro.
 
Umeongea point Sana.
 
Mwl wa diploma akijiendeleza akapata degree hspati chochote,sembuse hiyo masters,Tena mwajir haitambui,
 
Hiyo masters inaitwaje?
Mfano: masters ya cybercrime and automated software
Itaje kwa jina:
 
Aisee we jamaa kumbe kupambanua Mambo sifuri kabisa, unapimaje tija na hyo production, unahoja hopeles kabisa[emoji1787]
Kumbe huwezi kupima tija kwa kuangalia production!

No wonder umekua mwalimu wa primary na ukasoma masters ili upandishiwe salary!
 
Kumbe huwezi kupima tija kwa kuangalia production!

No wonder umekua mwalimu wa primary na ukasoma masters ili upandishiwe salary!
Hujui lolote hata hyo tija unaiongea tu huijui, mbumbu we!
 
Ndyo Hakuna mshahara ndo maana nimeandika huo uzi
Serikali ni kabaila shida unataka kula mkia why ununue ngurue mzima halafu ukate mkia ule ingine unatupa, just kata mkia mwache ngurue aende zake
 
Serikali ni kabaila shida unataka kula mkia why ununue ngurue mzima halafu ukate mkia ule ingine unatupa, just kata mkia mwache ngurue aende zake
Ufafanuzi plz
 
Huw wanasogezwa kam yupo dara D1 nakuendelea. anapelekwa had mshahara ambao n maximum kwa D nazn D4 hv
Kwahyo ndio hvyo ninavyojua mimi kuptia wadau
 
Aisee we jamaa kumbe kupambanua Mambo sifuri kabisa, unapimaje tija na hyo production, unahoja hopeles kabisa[emoji1787]
Jamaa yuko sahihi ila unampinga bure tu au pengine hujamwelewa logic yake.
Yaani anamaanisha hivi kwa mfano wewe ni mwalimu wa primary kisha ukajiendeleza hadi Masters lakini bado unaendelea kufundisha watoto"a e i o u" kisha unataka ulipwe tofauti na walimu wengine.
Je hapo Masters yako imeleta impact gani?
 
Hiv ninavyojua serikali inatambua degree katika miundo ya kiutumish na mishahara sasa mengine bado hayajapew miongoz ata huko afya mnaposema mtu wa masters anaongezew daraja sizan kama n kweli....
 
Hiv ninavyojua serikali inatambua degree katika miundo ya kiutumish na mishahara sasa mengine bado hayajapew miongoz ata huko afya mnaposema mtu wa masters anaongezew daraja sizan kama n kweli....
Kwenye afya Dr. Mwenye masters anaitwa Dr bingwa. Upo sahihi miundo ya kiutumishi ya walimu inaishia degree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…