Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
- Thread starter
- #41
Hoja haihusu kufungwa au kufunguliwa soma vzurUnaposema masters ya ualimu unamaanisha nini? Au unamaanisha Master's in Education? Nijuavyo, wengi wa walimu wanaoenda kuchukua masters ni wale wanaochukua one of major teaching subjects. Kwa mfano: kama anafundisha Advanced Mathematics na Physics, akienda kuchukua masters, ataenda kuchukua moja kati ya hayo mawili. Tuchukulie amechukua master's ya Physics, huyu atakuwa na options mbili; either arudi kufundisha au anaweza kwenda kufanya kazi kwenye institutions zinazotumia applied Physics. Kwa hiyo hawafungwi!
Sent using Jamii Forums mobile app