Serikali iwashawishi matajiri wa kichina wainunue vodacom

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
 
Agreed totally
 
Waanze kuwauzia TTCL Kwanza ambayo ni Yao kabla kuanza kutolea macho Mali za Wanaume
 
Unasema Wachina ni ndugu zetu kajifunze Zambia, sababu ya madeni wamelichukua shirika la umeme na wako mbioni kuumiliki uwanja wa ndege, leo wamelazimisha hadi wameajiriwa ndani ya jeshi la polisi.

unnamed.jpg
 
Ndio mlikimbilia kununua hisa za Vodacom poleni
 
Waanze kuwauzia TTCL Kwanza ambayo ni Yao kabla kuanza kutolea macho Mali za Wanaume
vodacom asilimia kubwa wanamiliki watanzania au hilo hujui.TTCL haikunzishwa kama kampuni ya kuuza na kununua dukani.Vodacom n kampuni bidhaa iliyoko dukani kama bidhaa zingine za maharage,njegele nk yaweza nunuliwa au uzwa anytime na anybody
 
Think twice!
Contact Zambian people before tabling your conclusion!
ya zambia achia wazambia wao walikopa wakaweka dhamana au collatteral airport na shirika lao la umeme walposhindwa kulipa mikopo ulitegemea nini? sisi mikopo yetu hatuweki dhamana mali za umma acheni kukariri.Mtu anakopa halafu anaweka dhamana ya mkopo bandari yake ana akili huyo.Acha kutulinganisha na wazambia tuombe msamaha
 
Unasema Wachina ni ndugu zetu kajifunze Zambia, sababu ya madeni wamelichukua shirika la umeme na wako mbioni kuumiliki uwanja wa ndege, leo wamelazimisha hadi wameajiriwa ndani ya jeshi la polisi.

View attachment 879459
kwanza hao wachina unaoita polisi uongo ni kampuni ya ulinzi ya binafsi ya wachina hata hapa tanzania ipo inaitwa china security inalinda vituo vya mabasi ya mwendo kasi.

ya zambia achia wazambia wao walikopa wakaweka dhamana au collatteral airport na shirika lao la umeme walposhindwa kulipa mikopo ulitegemea nini? sisi mikopo yetu hatuweki dhamana mali za umma acheni kukariri.Mtu anakopa halafu anaweka dhamana ya mkopo bandari yake ana akili huyo.Acha kutulinganisha na wazambia tuombe msamaha
 
ya zambia achia wazambia wao walikopa wakaweka dhamana au collatteral airport na shirika lao la umeme walposhindwa kulipa mikopo ulitegemea nini? sisi mikopo yetu hatuweki dhamana mali za umma acheni kukariri.Mtu anakopa halafu anaweka dhamana ya mkopo bandari yake ana akili huyo.Acha kutulinganisha na wazambia tuombe msamaha
N:B mikataba ni siri!!
Mkija kubakwa msilalamike
 
vodacom asilimia kubwa wanamiliki watanzania au hilo hujui.TTCL haikunzishwa kama kampuni ya kuuza na kununua dukani.Vodacom n kampuni bidhaa iliyoko dukani kama bidhaa zingine za maharage,njegele nk yaweza nunuliwa au uzwa anytime na anybody
Akili za Maiti hizi
 
ya zambia achia wazambia wao walikopa wakaweka dhamana au collatteral airport na shirika lao la umeme walposhindwa kulipa mikopo ulitegemea nini? sisi mikopo yetu hatuweki dhamana mali za umma acheni kukariri.Mtu anakopa halafu anaweka dhamana ya mkopo bandari yake ana akili huyo.Acha kutulinganisha na wazambia tuombe msamaha

Kaa kimya, unajua ile mikataba 16 ya siri JK aliyoingia na wachina walikubalina nini?
 
kwanza hao wachina unaoita polisi uongo ni kampuni ya ulinzi ya binafsi ya wachina hata hapa tanzania ipo inaitwa china security inalinda vituo vya mabasi ya mwendo kasi.

ya zambia achia wazambia wao walikopa wakaweka dhamana au collatteral airport na shirika lao la umeme walposhindwa kulipa mikopo ulitegemea nini? sisi mikopo yetu hatuweki dhamana mali za umma acheni kukariri.Mtu anakopa halafu anaweka dhamana ya mkopo bandari yake ana akili huyo.Acha kutulinganisha na wazambia tuombe msamaha

Dogo unaongea ujinga gani wewe, Acacia tumeambiwa sio kampuni iliyosajiliwa hapa nchini, lakini mpaka leo ipo na inaendelea na shughuli zake. Sasa kama bado ipo na wewe hujui viongozi wamesaini nini na Acacia unabwata nini hapa jukwaani?
 
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
Siku wakinunua utafurahi na roho yako.
 
kwanza hao wachina unaoita polisi uongo ni kampuni ya ulinzi ya binafsi ya wachina hata hapa tanzania ipo inaitwa china security inalinda vituo vya mabasi ya mwendo kasi.

ya zambia achia wazambia wao walikopa wakaweka dhamana au collatteral airport na shirika lao la umeme walposhindwa kulipa mikopo ulitegemea nini? sisi mikopo yetu hatuweki dhamana mali za umma acheni kukariri.Mtu anakopa halafu anaweka dhamana ya mkopo bandari yake ana akili huyo.Acha kutulinganisha na wazambia tuombe msamaha
Basi umeshauriwa anzeni kuwapa TTCL.
 
Nitoe elimu ya bure hapa. Mmiliki wa vodacom ni voda phone ya uingereza. Sababu ya kuanza kuuza hisa zake Tanzania sio kwasababu wanahitaji pesa bali ni kwa maombi ya serikali ya Tanzania. Sababu ya kwanza serikali iliomba ili kuwe na share za Watanzania na wenyewe waweze kumiliki sehemu ya kampuni. Sababu ya pili ni kwamba kampuni ikiwa inauza hisa inalazimishwa kufungua vitabu vyake na kueleza uma mapato ya kampuni, kodi nk na hii itawezesha serikali kuhakikisha wanapata kodi bila kuibiwa. Kabla ya hapo sheria ilikuwa hailazimishi kampuni kueleza kwa uwazi hivi vitu. Sasa kuuza share kwa nchi nyingine ambazo zilitegwa kwa wananchi wa kawaida ni bora zisingeuzwa maana voda hawana shida ya pesa hata wenyewe serikali ikieuhusu wanaweza kununua hizo share zao. Lakini ki kubwa kwa serikali ilikuwa ni uwaza hasa kwa sababu ya kodi. Huwezi kuwauzia tena China hata voda hawatakibali maana china wanaweza kwenda kununua kwenye soko la hisa london
 
Vodacom imesajiliwa soko la hisa la Tanzania mchina hana haja ya kwenda soko la hisa la uingereza.Anaenda soko la hapa ananunua .basi.
 
Back
Top Bottom