YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana