Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.

Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya, na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.

Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.

Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
Mkuu, samahani lakini, ushauri wako ni wa kipuuzi.
 
Huyo bwana wako Trump alikuwa analia kama mtoto. Kaibiwa kura amesahau warussia ndio walimsaidia kuingia madarakani baada ya kudukua e mail za Clinton.
Mkuu just forget about those blaa blaa blaa sijui Clinton.
Nidhahiri kwamba your such an idiot, mtu mwenye akili huwezi kuandika upupu kama huo ,halafu ukute ni baba jitu zima na midevu juu.
 
Mkuu just forget about those blaa blaa blaa sijui Clinton.
Nidhahiri kwamba your such an idiot, mtu mwenye akili huwezi kuandika upupu kama huo ,halafu ukute ni baba jitu zima na midevu juu.
Tatizo mashoga wengi mnajiuza kwenye mitandao, ndio maana mnalalamika na kujifanya mnajua kutukana watu. Pole kwa kukosa wateja wa biashara haramu ya ushoga.
 
Sio kijijini mkuu hili ni dubwana jingaa. Linadhan kila kitu ni mapambio. Now uchaguzi umeshapita hakuna threat yoyote to the government, hali ni Shwari, nadhani hata serikali iko mbioni kurudisha network.
We shoga unaipangia serikali,hakuna threat sasa hivi kumbe huko nyuma kulikuwa na threat! Unatakiwa upigwe singe katikati ya makalio yako.
 
Kwa hili hapana, ila limetendeka, dola imekosea sana sana, zaidi ya kukosa mapato, imewakosesha mapato raia wake, na kama raia anakupenda na wewe wajiamini umewafanya cha maana, basi waache raia wakuchaguwe, ila ukianza kuingilia kwenye uhuru wao wa kusema na kujipatia riziki basi wewe lazima uitwe dikteta, ushasema chama tawala ni namba wani, ushindi utakuja mnono, sasa woga wa nini?
 
Tatizo mashoga wengi mnajiuza kwenye mitandao, ndio maana mnalalamika na kujifanya mnajua kutukana watu. Pole kwa kukosa wateja wa biashara haramu ya ushoga.
Usitumie neno ushoga kuficha ujinga ulionao kichwani. Wewe ni dubwana jinga. Kubali tu wewe kichwani hazimo. Ndio maana hadi sasa unatumia VPN piga kifua mara tatu sema mimi ni mjinga ass/hole
 
Kwa hili hapana, ila limetendeka, dola imekosea sana sana, zaidi ya kukosa mapato, imewakosesha mapato raia wake, na kama raia anakupenda na wewe wajiamini umewafanya cha maana, basi waache raia wakuchaguwe, ila ukianza kuingilia kwenye uhuru wao wa kusema na kujipatia riziki basi wewe lazima uitwe dikteta, ushasema chama tawala ni namba wani, ushindi utakuja mnono, sasa woga wa nini???!!!
Mapato ya kwenye kibubu yanafaida gani zaidi ya usalama wa nchi yetu? Uhuru wa kujieleza na kufanya biashara mnapewa ila mnautumia vibaya.

Je Amsterdam na mabwana zake wangefanya udukuzi na kuvuruga uchaguzi mngelifurahi?
 
Unajua wewe kilaza ni bora unyamaze kuficha matope uliyonayo kichwani unajiaibisha tu bure. Yaani Professional hackers uwazuie kwa kuzima internet? kilaza kama wewe umeweza kubaypass hizo restrictions kutoka tcra kwa kutumia hako ka vpn sembuse wadukuzi?
 
Halafu fununu wameshindwa ku Ublock!
Funga mitandao kwa makini halafu uwe na uwezo kufunguwa..Ama sivyo utaonekana .....
 
Biashara, maswala mbalimbali ya kitaaluma, vyote vinategemea intaneti kwa kiasi kikubwa katika nyakati hizi.
Ni kweli kabisa upo sahihi. Lakini, unafanyaje biashara ama unafanyaje maswala mbalimbali ya kitaaluma huku, nyumba zinachomwa moto, wanafunzi wako bize kutafuta mikuki, upinde na mishale, mabomu ya kufutia machozi yanalindima nakadhali!
 
Halafu haya ndio matatizo ya kukimbia shule, athari zake zinakuja unekana baadae ungekuwa unajua hata sheria ya tanzania inasemaje kuhusu ushoga ungenyamaza tu asee, maana naona umekosa hoja umabakiza neno moja tu kichwani ,ushoga
Sheria inasemaje?
 
Unajua wewe kilaza ni bora unyamaze kuficha matope uliyonayo kichwani unajiaibisha tu bure. Yaani Professional hackers uwazuie kwa kuzima internet? kilaza kama wewe umeweza kubaypass hizo restrictions kutoka tcra kwa kutumia hako ka vpn sembuse wadukuzi?
VPN inakupa access ya kupata server za nje ya nchi ili upate unachokitaka. Sasa kama server za ndani zimezimwa na kulindwa utadukua vipi? Bora mimi sina shule ila wewe ni mpuuzi na shoga.
 
Sheria inasemaje?
Ukimaliza kusoma hapa, kazitafute ,elimu ,elimu ,elimu
Screenshot_20201107-060405_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom