Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

E- commerce bongo? Kila siku mnarundikana kwenye magenge kununua nyanya na dagaa mchele.
Acha utani. Hivi unajua ni kiasi gani sasa watu tunanunua mahitaji kwa njia ya mtandao? Mtu ana bidhaa mkoa fulani mnawasiliana anakutumia? Mimi ndiyo huwa nafanya. Na kipindi cha corona ndiyo wengi walijifunza na sasa elimu ya online marketing platforms ndiyo mwake.
 
Sio kijijini mkuu hili ni dubwana jingaa. Linadhan kila kitu ni mapambio. Now uchaguzi umeshapita hakuna threat yoyote to the government, hali ni Shwari, nadhani hata serikali iko mbioni kurudisha network.

Yaani mpaka nahisi walibana baadhi ya social media, ila kwa sasa wanashindwa kuirejesha kwa njia ya kawaida.
 
Hapa mnabishana na lijinga jinga... Bora mnyamaze tu.
Wewe na mpuuzi mwenzako ambae mnajifanya hamjui Tanzania inarasimali gani adimu na muhimu na maadui wengi wanaionea wivu ndio mnafikiri kwa makalio na vichwa vimejaa kinyesi
Kwa swali hili inaonekana aidha ww ni mzee, au kijana unayejifanya mzalendo uchwara.
Soma vitabu kijana achana na mitandao,kwani kusoma mpaka utumie soft copy?
 
Ndio maana mtabaki kuwa nyuma mnadhani bado mnaomgoza watanzania wa 1970's na mambo mnafikiri ndio yale ya zama za TANU huku mkija kushtuka mmetia watu hasara za mamilioni..
 
Ndio maana mtabaki kuwa nyuma mnadhani bado mnaomgoza watanzania wa 1970's na mambo mnafikiri ndio yale ya zama za TANU huku mkija kushtuka mmetia watu hasara za mamilioni..
Hasara? Serikali inaji usalama wa nchi na watu wake.
 
Kama hajaelewa hadi hapo basi pale lumumba kuna shida kubwa.
Na hawezi kuelewa kwa sababu huo upeo wenyewe hana!!

Lenyewe lipo hapa kwa sababu ya hiyo hiyo intanet anayotaka isiwepo... hivi atakuwa na akili sawa sawa huyu!!!
 
Acha utani. Hivi unajua ni kiasi gani sasa watu tunanunua mahitaji kwa njia ya mtandao? Mtu ana bidhaa mkoa fulani mnawasiliana anakutumia? Mimi ndiyo huwa nafanya. Na kipindi cha corona ndiyo wengi walijifunza na sasa elimu ya online marketing platforms ndiyo mwake.
Piga simu ya mkononi si mlishakuwa wateja na mnafahamiana! Acha uzuzu
 
Duh! Kwahiyo Polepole kazamisha bomba kwenye kinyeo chako na bomba limeingia lote?! No wonder unaongea uharo... atakuharibu huo mtaro kwa tamaa zako boya wewe!
Usigeuze betri za radio ukidhani itaongea kinyumenyume. Lingine tena....
 
Wewe na mpuuzi mwenzako ambae mnajifanya hamjui Tanzania inarasimali gani adimu na muhimu na maadui wengi wanaionea wivu ndio mnafikiri kwa makalio na vichwa vimejaa kinyesi

Soma vitabu kijana achana na mitandao,kwani kusoma mpaka utumie soft copy?

Raslimali gani za kuonewa wivu na wazungu ambazo haziko popote duniani isipokuwa Tanzania tu? Hebu nitajie raslimali yoyote ambayo iko Tanzania tu na haipo popote ambapo wazungu wakikosa maisha yao yatasimama. Halafu hizi siasa za kuendekeza propaganda za kijinga zimeanza na awamu hii ya washamba. Mbona uchaguzi wa 2015 social media zilikuwa On na hakuna tatizo lilitokea? Au kwakuwa uchaguzi huu mliamua kutembea na kura kwenye mabeg?
 
Raslimali gani za kuonewa wivu na wazungu ambazo haziko popote duniani isipokuwa Tanzania tu? Hebu nitajie raslimali yoyote ambayo iko Tanzania tu na haipo popote ambapo wazungu wakikosa maua yao yatasimama. Halafu hizi siasa za kuendekeza propaganda za kijinga zimeanza na awamu hii ya washamba. Mbona uchaguzi wa 2015 social media zilikuwa On na hakuna tatizo lilitokea? Au kwakuwa uchaguzi huu mliamua kutembea na kura kwenye mabeg?
Kijana umeishia la ngapi? Unadhani Accacia waliondoka kwa kupenda?

Kampuni ngapi za mabeberu wanagombania kuja kuchimba dhahabu?

Nickel,uranium,chuma cha Liganga ni mifano tu ya vitu ambavyo wazungu wanavitaka kwa udi na uvumba.

Usa wana mafuta lakini wanagombania mafuta Iraq na Libya,huu ni mfano tu. Kuwa na dhahabu haifanyi mabeberu kutoitamani Tanzania. Ila nafikiri ni vijana wa 1995-2020 ambao elimu yako ni ya kupata A lakini kichwani una 0
 
Wewe na mpuuzi mwenzako ambae mnajifanya hamjui Tanzania inarasimali gani adimu na muhimu na maadui wengi wanaionea wivu ndio mnafikiri kwa makalio na vichwa vimejaa kinyesi

Soma vitabu kijana achana na mitandao,kwani kusoma mpaka utumie soft copy?
Angalia ulivyo mpumbavu!!!

Eti raslimali!! Ni Tanzania peke yake ndo yenye raslimal hadi muonewe wivu kiasi hichoi?

Na watu wawaonee wivu kiasi hicho mngeendelea ku-survice?

VERY STUPID
 
Kijana umeishia la ngapi? Unadhani Accacia waliondoka kwa kupenda?

Kampuni ngapi za mabeberu wanagombania kuja kuchimba dhahabu?

Nickel,uranium,chuma cha Liganga ni mifano tu ya vitu ambavyo wazungu wanavitaka kwa udi na uvumba.

Usa wana mafuta lakini wanagombania mafuta Iraq na Libya,huu ni mfano tu. Kuwa na dhahabu haifanyi mabeberu kutoitamani Tanzania. Ila nafikiri ni vijana wa 1995-2020 ambao elimu yako ni ya kupata A lakini kichwani una 0
Kwa hiyo hivyo ulivyotaja viko Tanzania tu, na wakivikosa maisha yao yatasimama? Kwani mpaka sasa vitu hivyo havichimbwi na hao hao wazungu? Au hawa wazungu wanaovichimba hivi sasa, ni tofauti na hao mnaolishana propaganda mfu?
 
Biashara za kuuza kupitia mtandao bongo? Nyumba hazijapangiliwa na hao ndio huwa wa kwanza huko uswahilini kuuana kwa kusiliza uongo wa kwenye mitandao.

Kusoma kwa kutumia internet ni uvivu wa kusoma vitabu ndio maana ubongo wako unawaza uharo
Lini Serikali ilitangaza imezuia mitandao? Wewe huu ujumbe ungeufikisha hapa bila mtandao kufanya kazi? Kwanini usiengeandika OP-ED Kwenye Majira au Mzalendo kupitia SLP tukasoma huko?
 
Kwa hiyo hivyo ulivyotaja viko Tanzania tu, na wakivikosa maisha yao yatasimama? Kwani mpaka sasa vitu hivyo havichimbwi na hao hao wazungu? Au hawa wazungu wanaovichimba hivi sasa, ni tofauti na hao mnaolishana propaganda mfu?
Umesahau kuwa leseni nyingi zilifutwa na kuanzia 2017 ilitungwa sharia mpya ya madini? Hujui kampuni nyingi ziliondoka na sasa ndio zinakuja kivingine.

Unajua una maswali kama mtu ambae hata hajui kusoma na kuandika hawezi kuuliza. Unajua Usa wana reserve ya gold kiasi gani na kwa nini?
 
Ni kweli kabisa upo sahihi. Lakini, unafanyaje biashara ama unafanyaje maswala mbalimbali ya kitaaluma huku, nyumba zinachomwa moto, wanafunzi wako bize kutafuta mikuki, upinde na mishale, mabomu ya kufutia machozi yanalindima nakadhali!
Si mmesema watanzania sio wajinga hawawezi kufanya fujo wala kuandamana?Woga huu wa nini sasa?
 
Hili jukwaa lifutwe halina maana Bora warudishe jukwaa letu pendwa
 
Back
Top Bottom