Serikali kama imelala kwenye fedha inayoleta kwa ajili ya maendeleo fedha hizo zinaishia mikononi mwa wajanja. Kwani yanayofanyika ni madudu matupu nimepitia baadhi ya halmashauri.
Miradi mingi haijakamilika na pesa zote zimetafunwa na wajanja na bado wako maofisini mpk sasa. serkli haitumi wakaguzi. Mfano ni kwenye ujenzi wa mahosiptali na madarasa ujenzi haujakamilika na umejengwa chini ya kiwango na pesa zote zimeliwa.
Mfano ni wilaya Uyui pamoja na ilemela wamekula pesa karibia na zote wasimamizi waliopewa kusimamia wakishirikiana na wakuu wao idara.Na pia wanaisubiri miradi mingine kwa hamu.
Serikali tumeni wakaguzi kwenye halmashauri hizo mungalie madudu yaliofanyika