njwanjwanjwa
Member
- Jul 28, 2022
- 8
- 11
Ndugu Habari za wakati.
Bila kupoteza muda acha ninielekeze moja kwa moja kwenye maada hapo isemayo : Serikali iwe makini na kuchunguza hizi Sick Sheet za ujauzito kwa watumishi wa Wanawake. % kubwa niza mchongo.
Wadau Sick Sheet ni likizo iliyotolewa kwa sababu ya ugonjwa. Na kwa utaratibu wa nchi yetu sick cheet ya muda mrefu huwa ni ya wiki mbili yaani siku 14. Ambapo mfanya kazi hupewa likizo hiyo ili aendee kujitibu akiwa nyumbani au hospitalini kwa uthobitisho wa daktari.
Kama wiki mbili za sick cheet zitaisha na mgonjwa hajapona basi huongeza wiki mbili nyingine hivo hivo mpaka atakapopona. Na endapo ameugua kwa Mwaka mzima na amekua akijaza sick cheet basi Serikali humstaafisha kwa lazima.
Ndugu wadau, Sick sheet imekuwa kero makazini hasa kwa bad hi y’a wafanyakazi wanawake kwenye kada za Uwalimu, uuguzi (nurses) na mapolisi. Na hii ni hasa hasa kwa watumishi wiopewa ujauzito nje ya ndoa. Yaani mme aliempa mimba ni mchepuko wake.
Wanawake hawa watumishi wagunduapo wamenasa ujauzito na kabla litumbo halijatokeza; basi hufanya mchongo mahospitali na baadhi ya madaktari mauvhwala na kuwarecommend bed rest mpaka ajifungue. Hivo basi yeye atakuwa ni mtu wa kujaza sick sheet kila baada ya wiki mbili mpaka atakapo shusha injini.
Wanawake Hawa hufanya hivo kwa lengo la kuepuka aibu na fedheha , maneno maneno na kusemwa staff, maofisini na mitaani kwa kuwa ana ujauzito wa mme ambae hajulikani (mchepuko) maana Wanawake walio wengi wanapenda kupata mtoto ila hawataki kuolewa.
Wao wanaona wachonge hiyo long bed rest kwa nia hiyo na baada ya kujifungua anaunganisha na likizo ya uzazi ya siku 54 almost miezi 3 just imagine! kitendo ambacho atakaa nyumbani bila kuja kazini kwa makusudi makubwa kwa kipindi cha Mwaka mzima.
Na akirudi kazini, sasa si maneno, masengenyo, aibu, nk havitakuwa tena juu yake ila kwa sasa atakuwa anapongezwa kwa kujifungua (Kitanda hakizai haramu)
My take: Viongozi Serikalini wanaowasimamia makazini mathalani :wakuu wa shule, Waganga wakuu wazimulike hizi bed rest na sick sheets.