Serikali iwe moja na iitwe Zanzibar, capital iwe ZNZ Town kama ilivokuwa 1700s

Serikali iwe moja na iitwe Zanzibar, capital iwe ZNZ Town kama ilivokuwa 1700s

Nyati,

Kikawaida, Wazanziabri hawana tatizo na watanganyika, isipokuwa wana tatizo na sera ya serikali ya tanganyika inayofanyakazi katika kijivuli cha muungano.

Kwa wazanziabri walio wengi hawataki muungano wa aina yoyote na tanganyika

Pia wapo wazanzibari kama sisi tunaodhani tangayika ni nchi yetu sisi wanzanzibari na kuna umuhimu wa kuichukuwa tena, na njia pekee ya kufanya hilo ni kuifanya dola ya znz ifufuke na iwepo badala ya tanzania.
 
I can see clearly the SLAVE ROUTES.......disgusting map......never show it again here!
 
Nina mashaka sana na hiyo Historia yako kwa sababu:

1/Kisiwa kidogo sana kama Zanzibar kilichoko zaidi ya Km 300 kutoka bara kavu kinawezaje kumiliki na kutawala nchi kubwa sana ya Tanganyika yenye makabila zaidi ya 120, watawala wa kijadi zaidi ya 500, tamaduni tofautitofauti? Unless utuambie Tanganyika lilikuwa koloni la Wazanzibar kama lilivyokuwa koloni la wajerumani na waingereza.

2/Kuna utofauti mkubwa sana wa kiasili na kiutamaduni kati ya Zanzibar na Tanganyika, Hivyo haiwezekani kabisa kuwa zamani zilikuwa ni nchi moja.

*Hilo wazo la kutaka Muungano wa Tanzania iwe wa serikali moja nenda kwanza kawaambie wazanzibar na kama wakikubali tu, sisi watanganyika tuko tayari hata sasa, na makao makuu yawe popote pale unapotaka wewe au wazanzibar.
 
Tanganyika ilikuwa sehemu ya Zanzibar? Mbona kama mkate unameza chai? Ngoja niendelee kukusoma vizuri bin Faza.
 
Njilembera,

Nitaanza kukujibu kuanzia chini

kabla kuja kwa mjerumani tanganyika haikuwa dola, ilikuwa ni sehemu ya zenj empire. wajerumani waliipora tanganyika kutoka katika mikono ya zanzibar.

walopigania uhuru kutoka kwa mjerumani waliongozwa na wazanzibari. tena walikuwa mashekhe wakubwa, kwanini mashekhe wa kizanzibari wajaribu kuikombowa tanganyika ikiwa haikiwa nchi yao?

kwahivo hayo majina yaliandikwa katika vitabu vya historia ya tanganyika pengine yalikuwepo kweli lakini uongozi wa ukombozi ulotokea znz
 
What slave root has to do with Zanzibar as a country????
 
Scooby-Doo-tv-02.jpg
 
Njilembera,

Nitaanza kukujibu kuanzia chini

kabla kuja kwa mjerumani tanganyika haikuwa dola, ilikuwa ni sehemu ya zenj empire. wajerumani waliipora tanganyika kutoka katika mikono ya zanzibar.

walopigania uhuru kutoka kwa mjerumani waliongozwa na wazanzibari. tena walikuwa mashekhe wakubwa, kwanini mashekhe wa kizanzibari wajaribu kuikombowa tanganyika ikiwa haikiwa nchi yao?

kwahivo hayo majina yaliandikwa katika vitabu vya historia ya tanganyika pengine yalikuwepo kweli lakini uongozi wa ukombozi ulotokea znz

Hao Unaowaita wazanzibari unamaanisha waarabu wa Oman? Poor you,Berlin Conference ndiyo ilikuja kuchora mipaka ya Zanzibar na German East Africa sasa upimbi wako unaofundishwa kwenye vijiwe vya urojo kuwa kabla ya 1886 kulikuwa na Tanganyika Inayomilikiwa na wazanzibari sijui unashindwa kutumia common sense tu kujua kuwa unatapeliwa?

Thanks Allah i'm Tanganyikan maana kuwa Mzenji ni janga la karne.
 
Njilembera,

Nitaanza kukujibu kuanzia chini

kabla kuja kwa mjerumani tanganyika haikuwa dola, ilikuwa ni sehemu ya zenj empire. wajerumani waliipora tanganyika kutoka katika mikono ya zanzibar.

walopigania uhuru kutoka kwa mjerumani waliongozwa na wazanzibari. tena walikuwa mashekhe wakubwa, kwanini mashekhe wa kizanzibari wajaribu kuikombowa tanganyika ikiwa haikiwa nchi yao?

kwahivo hayo majina yaliandikwa katika vitabu vya historia ya tanganyika pengine yalikuwepo kweli lakini uongozi wa ukombozi ulotokea znz

mimi nilifikiri udebwedo uko kwenye nguvu ya mwili (yaani physically) kumbe hata vichwani wameathirika
 
Kwa hiyo ikishaitwa dola ya Zanzibar matatizo ya Wazanzubar yataisha mkuu? Fikra zako naona umeilegeza mno hadi kujadili mambo ambayo hayana msaada ya unachokiita Zanzibar! Tukisema turudi katika mipaka yetu kabla ya ukoloni tutapata zaidi ya mataifa 120 ndani ya Tanzania kwani kila kabila lilikuwa na utawala wake ambao ulikuwa state kamili! :nod:
 
LUMUMBADAR,

Inaoenakana upeo wako wa historia na mwendendo mzunguko wa tawala duniani ni mfupi sana. Kwani nchi moja kuitawala nchi nyengine inategemea ukubwa au udogo wa ardhi zao? Hebu soma kitabu kiitwacho THE ARABIC KILWA CHRONICLES kiloandikwa na Sheikh Muhidin Ibn Abdullah Al Qahatan. Sheikh mkuu au kadhi Mkuu wa Zanzibar 1832.

Zanzibar ndio uliokuwa ikiitawala Tanganyika kabla kufika mjerumani, nitakupa mifano hii...

labda umesahau lakin mavazi ya nguo yamefika majuzi tu huko tanganyika, kabla hapo vazi kubwa lilikuwa kaniki. Vazi la kaniki lilifika tanganyika baada ya mfalme wa zanzibar kuweka mkataba na serikali ya india. Leo eti tanganyika inatafuta vazi asili wakati ni kaniki.

Umeme umefika Tanganyika kwa mara ya kwanza katika mji wa bagamoyo, umemem huo ulitokea zanzibar. Zanzibar ni nchi ya tatu duniani kutumia umeme.

Machifu wote wa tanganyika wakapelekwa mavazi rasmi ya kiserikali ...kanzu za msikitini na joho, hadi leo wahaya vazi lao rasmini la kale ni kanzu za msikitini...hiii ni ihsani ya zanizbar

Magavana wazanziabri katika Zenj Empire

1. Ahmed Ibrahim alopekwa Uganda 1852, kasome kitabu SPEED OF ISLAM IN UGANDA kiloandikwa na Pro abdul B kasozi , Makerere

2. Sheikh Salim Bin Andallah alipelkwa Malwai, ikiitwa nyasa siku hizo

3. Mohammed Bin Amhed Murjib umaarufu wake Tiputipu alipekwa kasongo Congo.

4. Sheikh Mohammed Khalfan alipekwa Rwanda na Burundi

5. Sheikh Mohammed Khalfan Al barwani akapelakwa Karenga Iringa akashirikiana na Chief Abdullah Mkwawa chief wa wahehe chini ya dola ya zanzibar.

6. Thunei Bin Amir Al harthy alipelekwa Tabora

7. Mji wa dar umejengwa na Mzanzibari. Dar Es Salaam maana yake ni kinyume cha mzizima

8. Abushir Bin Salim Al Harty alipelkwa Pangani Tanga. Huyu ndie mtu wa mwanzo kupigana na Wajerumani akiitetea nchi yao Zanzibar. Ali abdallah Kinjeketile alikuwa chini ya uongoziu wa Wazanzibari wenzake katika kuitetea dola ya Zanzibar.

Hata TV zanzibar ni yamwanzo kuliko tanganyika.

Na uchimi wa Tanganyika katika biashara uko katika mikono ya wanziabri....
Unataka zaidi
 
images
images

9k=

na hizi ndio Coin za mwanzo za tanganyima

Z
V
images

you got it ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!
 
Dina

na wewe inaoenakana upeo wako wa historia na mwendendo mzunguko wa tawala duniani ni mfupi sana. Kwani nchi moja kuitawala nchi nyengine inategemea ukubwa au udogo wa ardhi zao? Hebu soma kitabu kiitwacho THE ARABIC KILWA CHRONICLES kiloandikwa na Sheikh Muhidin Ibn Abdullah Al Qahatan. Sheikh mkuu au kadhi Mkuu wa Zanzibar 1832.

Zanzibar ndio uliokuwa ikiitawala Tanganyika kabla kufika mjerumani, nitakupa mifano hii...

labda umesahau lakin mavazi ya nguo yamefika majuzi tu huko tanganyika, kabla hapo vazi kubwa lilikuwa kaniki. Vazi la kaniki lilifika tanganyika baada ya mfalme wa zanzibar kuweka mkataba na serikali ya india. Leo eti tanganyika inatafuta vazi asili wakati ni kaniki.

Umeme umefika Tanganyika kwa mara ya kwanza katika mji wa bagamoyo, umemem huo ulitokea zanzibar. Zanzibar ni nchi ya tatu duniani kutumia umeme.

Machifu wote wa tanganyika wakapelekwa mavazi rasmi ya kiserikali ...kanzu za msikitini na joho, hadi leo wahaya vazi lao rasmini la kale ni kanzu za msikitini...hiii ni ihsani ya zanizbar

Magavana wazanziabri katika Zenj Empire

1. Ahmed Ibrahim alopekwa Uganda 1852, kasome kitabu SPEED OF ISLAM IN UGANDA kiloandikwa na Pro abdul B kasozi , Makerere

2. Sheikh Salim Bin Andallah alipelkwa Malwai, ikiitwa nyasa siku hizo

3. Mohammed Bin Amhed Murjib umaarufu wake Tiputipu alipekwa kasongo Congo.

4. Sheikh Mohammed Khalfan alipekwa Rwanda na Burundi

5. Sheikh Mohammed Khalfan Al barwani akapelakwa Karenga Iringa akashirikiana na Chief Abdullah Mkwawa chief wa wahehe chini ya dola ya zanzibar.

6. Thunei Bin Amir Al harthy alipelekwa Tabora

7. Mji wa dar umejengwa na Mzanzibari. Dar Es Salaam maana yake ni kinyume cha mzizima

8. Abushir Bin Salim Al Harty alipelkwa Pangani Tanga. Huyu ndie mtu wa mwanzo kupigana na Wajerumani akiitetea nchi yao Zanzibar. Ali abdallah Kinjeketile alikuwa chini ya uongoziu wa Wazanzibari wenzake katika kuitetea dola ya Zanzibar.

Hata TV zanzibar ni yamwanzo kuliko tanganyika.

Na uchimi wa Tanganyika katika biashara uko katika mikono ya wanziabri....
Unataka zaidi
 
Kikombe1,

sina la kukujibu zaidi ya hili,

inategemea sana na vitabu ulivosoma, au ulivosomeshwa mashuleni kwenu.

Lakini ukweli ni kwamba Tanganyika ilikuwa ni sehemu ya zanzibar hadi alopofika mjerumani.

Ukweli wa pili ni kwamba fukwe za tanganyika na kuingia ndani mile 10 ni sehemu waliyokodishwa wajerumani kwa muda wa miaka 99 na kwa taarifa yako nyaraka zipo. Ilikuwa ni mwaka huo wa 1886, bahati nzuri map hiyo nimekuonesheni, ilichorwa map hiyo kabla ya mkataba wa kukodishwa eneo hilo.

Tatu, siku yoyote zanzibar ikikomboka kutoka katika makucha ya tanganyika na kuwa taifa kamili na huru, fukwe za tanganyika walizokodishwa wajerumani zitadaiwa kisheria huko UN, usiifute email hii kama kumbukumbu yako.

Kumbuka Hong Kong na Macau, wazungu na wareno walibidi wazirejeshe kwa wachina baada ya muda wa kodi wa miaka 99 kumalizika.

Pia nakuomba ujuwe kwamba ndio maana Malimu Nyerere akauhamisha mji mkuu kutoka Dar hadi Dodoma, akijuwa wazi kwamba ipo siku Zanzibar itakomboka na itaidai sehemu yake na hakuna budi ila kutolewa tu.

ahsante
dah, hiki kichwa maji tupu... hizi elimu zenu za madrasa huko zanzibar za kukalilishwa zitawauwa na kuwadharilisha...kwahiyo unatafuta uhalali wa mipaka ya waume zenu. kwani hao si binadamu tena waliweka kwa benefits zao? wanatatofauti gani na hiyo mipaka iliyowekwa na Belin conference?kwanini usiitambue hii ambayo ni current zaidi ya hiyo unayoililia....tambua mipaka ya taifa lako kuanzia lilipo pata uhuru kutoka kwa hao magaidi wenzako.. Na ngoja mtakufa njaa muungano ukivunjika, no umeme, no nyanya zinazotoka Iringa, la sivyo mkizipata kwa bei kubwa si tunazi export tutaweka kodi ya kutosha< No nyama la sivyo mle ng'mbe wenu hao mnao wabebesha matofali mnawapa na mabofro na punda wenu, Mikopo ya vyuo vikuu end up from now.Na mje mjaribu muone tutawapiga for only one night hivyo visiwa viteketee vyote... kama mlikuwa mnajivunia mafuta hayo mafuta yako mpakani, so wote tutayachimba....si unajua taratibu na makubaliano ya mipaka ya kimataifa kwa nchi mbili zinazo pakana zikitenganisha ya maji mpaka unakuwa katikati? Zanziba inahadhi gani ya kuwa capital town!!!!!!! au au umesha kula urojo umekuchanganya.........
 
Dean

Huwezi kuwa na uhakika kwasababu wanaohusika kukueleza wewe ukweli wamekudanganya ili kupata maslahi yao binafsi ya kukutawalaeni kama wanyama pori tu

Angalia na hizi sasa, kumbuka tu ramani za duni azilichorwa na wazungu na sio sisi

9k=
 
dah, hiki kichwa maji tupu... hizi elimu zenu za madrasa huko zanzibar za kukalilishwa zitawauwa na kuwadharilisha...kwahiyo unatafuta uhalali wa mipaka ya waume zenu. kwani hao si binadamu tena waliweka kwa benefits zao? wanatatofauti gani na hiyo mipaka iliyowekwa na Belin conference?kwanini usiitambue hii ambayo ni current zaidi ya hiyo unayoililia....tambua mipaka ya taifa lako kuanzia lilipo pata uhuru kutoka kwa hao magaidi wenzako.. Na ngoja mtakufa njaa muungano ukivunjika, no umeme, no nyanya zinazotoka Iringa, la sivyo mkizipata kwa bei kubwa si tunazi export tutaweka kodi ya kutosha< No nyama la sivyo mle ng'mbe wenu hao mnao wabebesha matofali mnawapa na mabofro na punda wenu, Mikopo ya vyuo vikuu end up from now.Na mje mjaribu muone tutawapiga for only one night hivyo visiwa viteketee vyote... kama mlikuwa mnajivunia mafuta hayo mafuta yako mpakani, so wote tutayachimba....si unajua taratibu na makubaliano ya mipaka ya kimataifa kwa nchi mbili zinazo pakana zikitenganisha ya maji mpaka unakuwa katikati? Zanziba inahadhi gani ya kuwa capital town!!!!!!! au au umesha kula urojo umekuchanganya.........

Ndugu umetowa hoja nyingi za gengeni style, lakini nitajitahidi kukujibu, hili ni kuonesha dhahiri kwamba upeo wako wa ufahamu ni ule ule tu unaousikia ukiwa bar unalewa

Elimu za madrasa ni bora kuliko za Bar na nitakuthibitishia hapa.

1. Unasema ninatafuta mipaka ya uhahali ya waume zetu..............Sasa tizama historia kidogo.....sisi wa zanzibari ndio tuliowaowa bibi zenu ....Kilwa Kivinje, Bagaoyo, tanga na kadhalika......hadi leo mtanganyika atakuwa happy zaidi kuolewa na mzanzibari na mzanzibari hawezi kuwa happy kuolewa na mtanganyika.

2. Umetaja mipaka. Labda ndio kama nilivosema upeo wako ni mdogo sana, mipaka ipo na zanzibar haitoweza kuidai Burundi na Rwanda au Uganda au dodoma na tabora kwasababu wazungu waliziteka nyara sehemu hizo na kuzifanya makoloni yao baadae zikawa nchi huru. Lakini fukwe za Tanganyika katika bahari ya Hindi ZILIKODISHWA, sijui kama unajuwa maana ya neno hilo au sijui unajuwa maana ya kinachokodishwa kina haki ya kurejeshwa kwa mwenyewe, dunia bado ipo na sheria. maamuzi ya dunia hayafanywi dodoma au huji pia hilo???????

3. Umesema muungano ukikatika tutakufa njaa....kwa taarifa yako yako mashaka ya znz na dhiki iliyopo sasa hivi ni kwasababu kuna huu MUUNGANO. Umeme, kwa mara ya kwanza tanganyika kupata umeme ulitokea znz hadi bagamoyo soma kidogo kama kumbu kumbu munazo huko. Lakini leo wakiondoka wazanzibari hapo dar watanganyika mutakufa na njaa, sisi ndio mabwana zenu, sisi ndio tunaokuvikeni nguo, sisi ndio tunaokuuzieni magari, sisi ndio tunaokuuzieni kila kitu. Wazaramo kazi yenu kucheza mdundiko na kuwacheza wari wenu.....hawaya kazi yenu ikiwa si umalaya kuhubiri makanisani......wamasi kazi yenu kuuza mizizi manjiani muliobakisha kazi yenu kulewa na kuzini ovo ovo tu. nusu robo ya tanganyika inasumbuliwa na ukimwi...pesa ziko mikononi mwa wazanzibari, tukiteremsha makontena bandarini dar tunalipa ushuru tunavotaka kwasababu tumewanunu wawembe watanganyika maofisa, TRA wakija tunalipa tunavotaka kwasababu tumewanunu wazembe watanganyika ..wapenda sterehe wasiozimiliki.

3. Unasema nitambue mipaka ya taifa langu.....na ndio hiyo niliokuonesha....moyoni mwangu hakuna taifa liitwalo tanzania...na huu ndio ukweli wa wazanzibari walio wengi......ASP/CCM inalazimisha tu lakini hakuna anayataka kushirikiana na walevi

4. Wewe taifa lako lipo wapi? taifa lako si tanganyika? iko wapi serikali yeke? Uko huru wewe? huna serikali huna utambulisho wowote. Unasema nini hapa. Mimi ijapokuwa ndio nipo katika utawala wa mkolonimweusi kw amuda huu lakini bado nina utaifa wangu na ninayo serikali yangu ya ZANZIBAR. SERIKALI YAKO IPO WAPI WEWE?????

5. Zanzibar ndio ilikuwa capital ya East Africa, kwasababu ni sehemu ambayo ustaarabu umetokea na kusambaa east afrika nzima.

6. Tukiamua hatutaki muungano hamuna uwezo wa kufanya lolote. Dunia inakwenda kwa sheria au unadhani tupo kariakoo hapa, walevi kupigana ovo ovo.

7. Jambo lengine ambalo hujUi ni kwamba zanzibar ikitokana na tangayika, haitofika miaka miwili znz itarejea hadhi yake ya asili katika east afrika, iweke imel hii. sisi tupo mkono mmoja sana, kuna jumuiya inaitwa zanzibar foundation, sitokwambia ipo wapi.....imeweka standby 3 billion US$ hizi zinaitwa immediate injection fund ...muda tu znz ikitoka katika mikono ya kishenzi ZANZIBAR ITAPATIWA FUNDS HIZO. Mkuu wa jumuiya hiini personal friend of mine.

8. Umezungumzia mafuta.....unasema yapo mpakani......kumbe boss umelala usingizi dororo, mafuta si yapo baharini......nenda kasome tena ni nani anaeimiliki bahari ya tanzania....ikiwa hujui bahari yote ni ya znz kwahivo nyinyi hamuna mpaka wa bahari na nchi yoyote duniani, fukwe zilipokodishwa kwa mjerumani bahari haikuwemo...juzi tu watanganyika wakafanya ujanja wao wa kutaka baraza la wawakilishi waiotowe bahari ili iwe ya muungano...yaaani tanganyika likapigwa na chini hilo.

Naona yanakutosha haya ukitaka zaidi njoo tena
 
Naona unatoa tu mapovu hapa.
Subiri dawa iingie taratibu acha papara.

Serikali tatu hizo zinakuja, Tanganyika itaonekana wazi na Zanzibar itaonekana wazi, msianze kulalamika njaa.
Nakushauri muanze mapema kuandaa makazi ya wapemba ambao watarudi huko Zanzibar kwenu.
 
Wanzanzibar mlizoea sana vya bure kutoka Tanganyika, soon vya bure vitaisha.
Uchumi wa Nazi na Urojo wa huko Zanzibar ndio staili yenu itakayowafaaa.
 
Maphie

Kwani ni kipi kinachoweza kuisaidia znz kwa muda huu????

Ikiwa tanzania itaitwa kwa jina lake la asili yaani zanzibar, na capital city kuwa znz town, badiliko hilo, kitu ambacho ninauhakika dodoma na wapambe wao hawawezi kulikubali forever, lakini ni sehemu kubwa ya solution kwasabau ndio ilivokuwa kabla hapo.

Ninauhakika unajuwa wazi kwamba Mtanganyika hana uwezo wa kujiongoza mwenyewe, na mfano tizama Mwalimu Nyerere alipoifikisha Tanganyika. Tizama hawa walokuja baada ya Mwalimu wamefanya nini la maana, zaidi ya kuwakandamiza raia kwa njia moja au nyengine.

Hayo mataifa ya zamani yalikuwa wamewekewa magavana wa kizanzibari, ukitaka baadhi ya majina nitakupa. Yaani kila sehemu ilokuwa kubwa na umuhimu wa kiuchumi ilikuwa na gavana wa kizanzibari, mfano tanga, tabora, na kusini kule

Sasa zaidi ni kwamba ikiwa nchi imeitwa zanizbar na makao makuu yapo znz, basi maendeleo ya kiuchumi yatatokea tena znz kama ilivokuwa siku hizo, ikiwa wewe ni mwana uchumi unajuwa kwamba znz ipo katika sehemui munasibu sana katika uchumi wa dunia kwa kutumia bahari ...strategic geographical location. Mimi binafsi niliwaandikia business proposal ya world level transit Sea Port, lakini imefika katika mikono ya nani? CCM, nikawapa proposal ya marine fish farming system...wana ccm hata hawakuwahi kusikia kwamba samaki wanafugwa, ndio impression niliyoipata. Unajuwa ukiwekeza 10 M US$ baada ya miaka mitano thamani yake inafikia 1 Billion, kwasababu samaki wanaofugwa ni wa kuchakuliwa kwa aina na bei zao katika soko la dunia.

Nadhani umenifahamu vipi znz inaweza kunufaika na kurejea kwa dola ya zanzibar

ahsante
 
mkuuu hii mada peleka jukwaa la historia au kama halipo, tutaomba Mods wajaribu kufungua jukwaa la historia. Historia safi sana, hapa inanikumbusha mwalimu wangu wa Historia alipokua akinishushia nondoz, hivyo basi nashauri, na biashara ya utumwa irudi, pamoja na utawala wa kifalme wa Oman, hapo historia itakua imekamilika...hongera sana kwa somo lako.
 
Back
Top Bottom