Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Yah...huwezi pata bila kuchanja..vina QR codesKama vipo tu si kila mtu angekuwa ana download na kuonesha airport! Kwanini lazma mpaka uchanje ndio upewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah...huwezi pata bila kuchanja..vina QR codesKama vipo tu si kila mtu angekuwa ana download na kuonesha airport! Kwanini lazma mpaka uchanje ndio upewe?
Kwaiyo mkuu baada ya kuchanja umeshakufa au umeshageuka zombie ?Mi nilikua nishaapa kutochanja....nikapata kisafari cha nje nikaulizia kama naweza pata cheti bila chanjo jamaa akanilengesha hospital moja hivi kufika wakanichenjia kuwa hiyo kitu haipogo. Daah. Nikapigwa Jansenn ambayo ni single dose bila kupenda..yani mabeberu manina zao
Ni hadi uwe na elimu ya mambo yasiyoonekana ukiwa nayo utayajua mengi na utohangaishwa na dunia.Kweli mkuu, hii sio chanjo tuu, ina mengi ndani yake, ukimuuliza Mungu serious kuhusu hii chanjo unaona yaliyomo, ukiipata hii chanjo direct kuzimu
Watu tuko Ukraine we unaongelea chanjoNaomba serikali iweke wazi msimamo wao kama kuchanja ni lazima au hiyari,kwani hivi sasa kuna mkanganyiko mkubwa kati ya viongozi wa kisiasa ambao wanasema kuchanja ni hiyari lakini huko mahospitalini wagonjwa wanapigiwa hadi simu kwenda kuchanja kwa lazima kwa madai kwamba kuna utafiti mpya unaonesha watu wenye magonjwa sugu kuchanja ni lazima,
Sasa sijui kuna mpango gani!
Hongera kwa kuchanja kwa lazima ili usafiri.Watu tuko Ukraine we unaongelea chanjo