Serikali iweke msimamo wake wazi kuhusu chanjo ya Corona

Corona haipo ilishakwisha ule ulikuwa ni mpango wa kuzimu kuongeza idadi ya watu waliowahitaji kuzimu baada ya kuzimu kupigwa kombora moja zito sana thus wakaleta corona Ili kuvuna kwa kasi watu wengi sana kwa kipindi kifupi Ili kujaza gap la kuzimu.Ni ajenda iliyotoka kwa lusifa kupitia black pope ambae yupo vatican ghorofa ya saba kwenda chini.Magufuli anajua hilo thus akagoma ajenda zao akawaambia watu waombe waondoe hofu so corona ni upepo umepita na watu wake.
 
Kwaiyo mkuu baada ya kuchanja umeshakufa au umeshageuka zombie ?

Tuwahamasishe tunaowajali, tukachanje, tuache ushamba na ukanjanja.
 
Kweli mkuu, hii sio chanjo tuu, ina mengi ndani yake, ukimuuliza Mungu serious kuhusu hii chanjo unaona yaliyomo, ukiipata hii chanjo direct kuzimu
Ni hadi uwe na elimu ya mambo yasiyoonekana ukiwa nayo utayajua mengi na utohangaishwa na dunia.
Ukimwi umeletwa lengo kuu ni kuwavuna vijana kwa wingi kabla ya kufika miaka 40 umri wa kuanza kumtafuta Mungu Ili shetani asipate hasara.
 
Watu tuko Ukraine we unaongelea chanjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…